Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 1,766
- 5,894
Habarini,
Unakutana na mdada unamuona mzuri, na personality yake inaridhisha kiasi, unaanza kumtongoza (anakubali) mnakua kwenye courtship phase, jinsi mnavokaa na kuongea nae miezi kadhaa inapita, jinsi muda unavoenda, interest yako kwake inashuka (hapo hujala mzigo) mwishowe mtu unaanza kujiuliza ilikuaje nikamtongoza huyu mdada, akili yangu ilikuwa wapi? wakati mda namtongoza nlikuwa sijalewa pombe.
Unakuta muonekano wa mdada uko vile vile, hajakukosea chochote ila upendo uliokua nao mwanzoni juu yake haupo tena, unamuona kama dada yako, hata kumuomba mzagamuo hutaki.
Hii hali imenikuta mm mpaka najihisi kuna mahali nina shida, mdada nliekuwa namuona pisi Kali miezi michache iliopita, baada ya kuongea nae kwa mda mrefu sahivi sijui namuonaje interest yangu kwake yoooote imeisha.