baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hasara ya kuvunja mikataba ni baada ya kupuuzwa ushauri wa Tundu Lissu

    Sina mashaka na uzalendo wa Tundu Lissu kwa Taifa. Kinachomponza ni kuwaambia watu tusikombe mboga ili tushibe wote. Kuna watu hawataki kuambiwa usikombe mboga, wanachofurahia ni wao wakombe peke Yao wengine mle ugali kwa kuchovya tongue au mle bilà mboga kabisa. Tundu Lissu aliwaonya watu...
  2. JamiiForums Tanzania Oscar Academy: Baada ya Smith kumpiga Rock, aliombwa aondoke akagoma, tutachukua hatua za kinidhamu dhidi yake

    Waandaaji wa tuzo za Oscar wanasema baada ya smith kufanya fujo na kumpiga Rock, aliombwa aondoke lakini akagoma. Oscar Academy wanasema watamchukulia smith hatua za kinidhamu kwa kufanya fujona pia kudhalilisha hadhi ya tuzo hizo za kimataifa. Watu wengi wanasema alichokifanya Smith kimezidi...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu Msingi, Sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu Waongezeka

    Nianze kwa kumpongeza Prof Adolf Mkenda kwa kazi nzuri aliyoifanya Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu msingi, sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu wa kufundisha madarasa ni Waongezeka. Hii ni baada ya malalamiko mengi kuandika Jf sasa...
  4. JamiiForums Tanzania Ni wilaya gani ambayo unadhani baada ya miaka 15 itakuwa Manispaa?

    Hellow wakuu, Hili ni swali muhimu sana kwa watu wenye mipamgo mirefu, pia linanufaisha kiuchumi kwa mtu mjanja. Mfano mwaka 2007 wilaya ya KAHAMA ilikuwa ni wilaya ya kawaida sana maeneo mengi ya pembeni ilikuwa ni vichaka leo hii miaka 15 imepita hakuna tena vichaka ni majumba tu wajanja...
  5. JamiiForums Tanzania Urusi wathibitisha shambulizi la ghala la mafuta Lviv

    Jeshi la Urusi, Limethibitisha kwa njia ya video SHAMBULIZI lao huko Magharibi mwa lviv karibu na mpaka wa Poland ambalo shambulizi hilo lilipigwa kwa njia ya Rocket lililenga ghala la mafuta (fuel Depot) jumamosi. Wazili waulinzi wa Urusi alisema eneo hilo lilikuwa likihudumia majeshi y...
  6. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Rais Samia Kadanganywa na Kikosi kazi cha Demokrasia, hatukukubaliana vile

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ameoneshwa kusikitishwa na baadhi ya masuala yaliyowasilishwa na Kikosi Kazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Nchini kinachoongozwa na Mwenyekiti Prof. Rwekaza Mukandala kwa kueleza kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mbeya: Watelekeza bastola na risasi kumi baada ya kushtukiwa na askari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limekamata bastola na mkasi mkubwa zilizotelekezwa na watu wawili ambao bado wanaendelea kutafutwa na jeshi hilo. Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Mbeya, Ulrich O. Matei amesema leo Machi 28., 2022 majira ya saa 06:30 asubuhi maeneo ya Uhindini, Kata na Tarafa ya Sisimba...
  8. JamiiForums Tanzania Watu watano wafariki dunia baada ya Lori kufeli breki kwenye mlima Mbalizi, Mbeya

    Watu watano wamefariki Dunia na wengine wanne kujeruhiwa mkoani Mbeya baada ya Lori la Mizigo kufeli breki kwenye mteremko wa Mlima Mbalizi na kuyagonga magari madogo matatu, Bajaji na watembea kwa mguu. ========================== Akizungumzia kuhusu taarifa hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  9. JamiiForums Tanzania Tanga: Ashikiliwa kwa tuhuma za kuua baada ya kumfumania mkewe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Mohamedi Bakari Lukindo, mwenye umri miaka 43 kwa tuhuma za kumuua Athumani Dolly baada ya kumfumania na mke wake nyumbani kwake majira ya saa tisa usiku wa kuamkia leo, nyumbani kwake Mtaa wa Vunja Bei Wilayani...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya Trump, Bilionea Namba Moja Duniani Elon Musk anafikiria kuja na mtandao wake wa kijamii

    Baada ya Trump kuzundua mtandao wake wa kijamii mwezi uliopita, Tajiri Elon Musk anafikiria kuzindua mtandao wake mpya ambao utawapa watu uhuru kamili wa kutoa maoni. Ikumbukwe kwamba hata Trump analaumu kwamba mitandao iliyopo inaminya uhuru wa watu kujieleza, inapangia watu waandike nini...
  11. JamiiForums Tanzania Mwajiriwa achana na staff wenzio baada ya muda wa kazi

    Leo nataka kuwapa ushauri waajiriwa. Malalamiko ya mishahara kutokutosha yamekuwa mengi, hasa kwa waajiriwa na Mama Samia. Malalamiko yenu ni ya msingi kabisa. Lakini inabidi mjiongeze. Najua hata mkiongezewa mshahara shida ziko pale pale. Simaanishi msiongezewe, la hasha!! Naona kuna tatizo...
  12. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Ukraine wajisalimisha baada yakuishiwa chakula na silaha

    Commanding post ya Jeshi la ukraine mjini kyieve yenye wanajeshi wengi maafisa yajisalimisha kwa majeshi ya urusi. Wanajeshi hao 61, wamepatiwa huduma muhimu, kama chakula na matibabu toka kwa jeshi la urussi. Inasemekana wamejisalimisha baada ya kuishiwa chakula, risasi na siraha, hii ni moja...
  13. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam wanawake wengi ni madada poa ila wanajificha kwenye kivuli cha uanafunzi, niligundua hili baada ya kuingia sita kwa sita

    Wanawake wengi wanaojiuza (wasimbe) wanajificha katika kivuli cha uanafunzi, wiki kadhaa zilizopita nilipata dharula nikawa nahitajika Dar es Salaam. Baada ya kumaliza kazi zangu nikaamua kusogea katika moja ya migahawa mikubwa tu hapa katika wilaya ya Kinondoni na ndipo nikabahatika kukaa na...
  14. 5

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Urusi Sasa yaamua kuhamisha majeshi yake na kulinda Donbas baada kipigo kizito

  15. JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

    Habari Waheshimiwa wa JF. Samahani kama nitamkwaza mtu kwa swala ninalotamani kulifahamu. Rafiki yangu wa Shuleni O Level, hata sasa nipo nae karibu ktkharakati za kupambania tonge, alifanikiwa kwenda KUHIJI Makka, miaka kama 7/8 sasa. Aliporudi, akawa na katabia ka kuwasomea watu Dua kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya utata wa ndoa mpya ya Mrema, je, ni kweli ndoa zinaruhusiwa Kipindi cha Kwaresma?

    Baada ya mzee Lyatonga Mrema kufunga ndoa mpya Machi 24, 2022 mitandaoni kukaibuka maneno mengi kuwa inakuwaje mwanasiasa huyo mkongwe anafunga ndoa wakati wa kipindi cha mfumo wa Kwaresma, imebidi niingine chimbo kutafuta majibu. MDAU WA KWANZA (KATEKISTA) Kwanza kabisa nimewasiliana na...
  17. JamiiForums Tanzania Mtwara: Watu watatu wamefariki baada ya kushambuliwa na nyati wakiwa shambani

    Watu watatu wakazi wa kijiji cha Mahurunga kilichopo wilayani Mtwara, Mkoani Mtwara wamefariki baada ya kushambuliwa na nyati wakiwa shambani Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani humo ACP Nicodemus Katembo ametoa taarifa hiyo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo ameeleza kuwa tukio hilo...
  18. JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Tamko baada ya Diwani, Watetezi wa haki za binadamu kukamatwa na Polisi

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeelezewa kusikitishwa na matukio ya kukamatwa kwa watetezi wa haki za binadamu, jana Machi 23, 2022 Wilayani Ngorongoro. ----------------------------------------------------------------------------------------- NGORONGORO: TAMKO...
  19. JamiiForums Tanzania Wahukumiwa kifungo cha nje miezi sita kwa kufanyiana usaili ulioratibiwa na Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma

    Mahakama ya Wilaya ya Dodoma imewatia hatiani waombaji kazi wawili Mabula Edward Kanga pamoja na Joel Johnson Kimatare baada ya kufanya udanganyifu wakati wa zoezi la usaili kwa nafasi za Uhandisi Ujenzi uliofanyika tarehe 08 Mei, 2021 katika Ukumbi Wa Chuo Kikuu cha UDOM. Kutokana na umakini...
  20. JamiiForums Tanzania Dakika 30 baada ya kuzikwa

    Maisha yana Fumbo kubwa lakini Kifo kina Fumbo Pana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…