Atatoka akiwa na miaka 54, sio 64.... at the age of 64 sio mchezo. Hata njia ya nyumbani atakuwa ameisahau. Tenda haki ridhika na alichokupa Mungu.
Dunia hadaa ulimwengu shujaa.
Tuweke akiba ya maneno....
JELA HAINA MWENYEWE....
Ni kweli ila sabaya alifanya juhudi kubwa mno kuitafuta jela, tuishi kwa kumtegemea Mungu na si mwanadamuTuweke akiba ya maneno....
JELA HAINA MWENYEWE....
... tupatie formula Mkuu.Atatoka akiwa na miaka 54, sio 64.
Muda wote wa kuzifaidi nyapu atakuwa ameumalizia Gerezani hahaaAtatoka akiwa na miaka 54, sio 64.
haya ndio matatizo yenu nyinyi nazichadema, mnashangilia na yakwenu yako motoni, kweli nyie ni big time foolsMuda wote wa kuzifaidi nyapu atakuwa ameumalizia Gerezani hahaa
Uvccm mlijue hilo.Tuweke akiba ya maneno....
JELA HAINA MWENYEWE....
Pole kwa maumivu,Jambazi lenu litanyea Debe kwa miaka Salasini ijayo😆😆haya ndio matatizo yenu nyinyi nazichadema, mnashangilia na yakwenu yako motoni, kweli nyie ni big time fools