The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.
Naomba kwanza tumsikilize Mkuu wa Mkoa.
Video clips zinachelewa kupanda lakini In shaa Allah tutazipandisha, ni muda tu.
Baada ya kumsikiliza mkuu wa mkoa na tatizo la uchafu na biashara kuwa kiholela mitaa ya Dar. AlhamduliLllah Madrassatul Abaraar darasa la vifaa vya ujenzi tumekuja na...
Umuofia kwenu!!
bado hiyo document haipatikani mtandaoni mpaka leo. maisha yetu ni kukopa na kulipa kila leo.....mwezi julai unakuja, mwezi wa kusomesha vijana wetu. jana nimefika kwenye taasisi ninayokopea wanataka na salary slip ya mwezi mei 2021 na si vinginevyo. naipata wapi, dar au dodoma?!!!
Leo 16/06/2021 12:45
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Seth kulipa fidia ya Sh26.9 bilioni baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia Sh309 bilioni kwa njia ya udanganyifu.
Pia, mahakama hiyo imemhukumu kifungo cha...
Habari waungwana!
Kuna muda nilikuwa nafanya kazi then umeme ukakatika.
Baada ya umeme kurudi nilipojaribu kuwasha, monitor ikawa haioneshi chochote. Baada ya ya karibu dakika moja hivi, feni ikaanza kuzunguka kwa kasi sana. Hilo tatizo lilijirudia kila nilipojaribu kuwasha.
Je, tatizo ni nini...
Baada ya kuona kimya, imemlazimu P-Funk aifute tu, huenda ni kuhisi kadharaulika
ila pia huenda WCB hawajafurahishwa na dogo Rapcha kuwashisha mara 2.
Majuzi kazi ya Rapcha Lisa iliachiwa, ikawa trending namba 1 huku ikiipindua video ya Mboso na Baba levo
Hayakupita masaa mengi WCB wakaachia...
Baada ya Serikali kupunguza kulipia umeme Hadi 27,000 tanesco kwenye baadhi ya mikoa ,limeibuka tatizo la kukoseka kwa watumishi wanaojulikana kama ' surveyor, mfano kule Kilimanjaro ofisi ya tanesco mkoa ,kuna surveyor wawili, anaohudumia ofisi ya mkoa . Hii imechangia kuongezeka kwa...
1. Ben Saanane pole sana huko uliko.
2. Azory Gwanda pole sana huko uliko.
3. Binti Akwilina Akwilina pole sana huko uliko.
4. Clouds tv hasa hasa Marehemu Ruge na Watangazaji wa Shilawadu akina Soudy Brown na Kwisa, poleni sana.
5. Mwanamuziki Roma Mkatoliki pole sana.
6. Yusuf Mehboob...
Kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Mjumbe wa Taifa wa China na Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi amesema China inaona uwezo wa Afrika wa kusimamia COVID-19 ni muhimu katika kusaidia dunia kufufua biashara na uchumi wake.
Serikali ya China imesema Beijing inaiunga mkono Afrika kufufuka...
Naona wameingia mitini na ile kasi waliyoingia nayo sasa imepotea kabisa, tunaemuona ni Rais Samia na Waziri Mkuu kunani hizi ziara zilitakiwa kufanywa na mawaziri au mmenuna kwa kuwa kuna jicho linaangaza posho zenu?
Mishahara mlipwe posho mzikwapue kwa kazi gani kubwa kihivyo? Mkitumbuliwa...
Habarini za leo marafiki.
Ndugu zangu mwenzangu ana tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka.
Anaondoaje tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka.
Kulikuwana ajira 5000 ambazo tulizoaahidiwa na Hayati Magufuli aliyekuwa Rais wetu mpendwa muda ukayoyoma na zikapotea bila majibu ya kueleweka mara wamesharipoti in PM voice bungeni nayo ikapita.
Kipenzi chetu Mungu akamchukua kazi ya Mungu haina makosa (RIP Rais Magufuli)
Tukaja mama...
Inakuwaje wanajamvi!
Wananch Marekani wamewalalamikia Polisi kwenda kinyume na miiko ya kazi kwa kupiga picha na jambazi waliomkamata na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii. Jambazi hilo lilijaribu kuiba benki likashindwa na kutokomea vichakani ambapo polisi walimfukuzia hadi kumkamata.
Wadau nina tatizo la kupoteza msisimko ninapovaa mpira kuanzia bao la pili. Bao la kwanza ninaenda bila shida, ila bao la pili na kuendelea nikivaa mpira msisimko huwa unapotea nikizubaa kupachika.
Awamu ya tano ndiyo iliyoasisi ajira za kifichoni. Taratibu hazikufuatwa kabisa kabisa. Awamu hiyo ilipoingia tu Taasisi za Serikali kwa kiasi kikubwa ziliacha kushindanisha wafanyakazi. Ikawa ni kuchukua tu mtoto wa dada weka pale.
Ndugu yake Spika weka pale, nk. Ndugu yangu alisafiri na Mkwe...
Habari wapendwa!
Mimi si mwandishi mzuri na huwa ni mzito kuandika jumbe ndefu. Habari ni kwamba viongozi wa kisiasa chini ya serikali ya CCM hawawezi kushitakiwa kwa makosa yao waliyotenda kipindi cha uongozi wao.
Wanawaza kuwajibishwaa kwa namna tofauti ila sio kuwapandisha kizimbani. CCM ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.