azam

  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini Azam Tv Max haikubali kuplay kwenye Bluestacks?

    Kila ninapojaribu kuplay Azam Tv Max kupitia Bluestacks huwa inaniletea ujumbe huu. Nmejaribu ku-update App but bado kila napojaribu napata huu ujumbe. Solution yake inaweza kuwa nini? Lengo ni kutumia Azam Tv App kwenye Laptop.
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku connect Simu Android kudisplay kwenye Laptop (Hasa Azam TV)

    Wadau nmekuwa nikisafiri sana ndani na nje ya nchi kutokana na nature ya kazi zangu. Changamoto ninayoipata ni kuangalia VPL kupitia Azam. Mara nyingi natumia App yao kuangalia mpira kupitia kwenye Simu.nikapata wazo la ku connect na laptop iwe ndo display ili niwe naangalia kwa ukubwa zaidi...
  3. hp4510

    JamiiForums Tanzania Ni ombi tu kwa Serikali, kwenye dhifa za kitaifa Azam wawe warushaji wa tukio

    Salaaam TBC wanatuangusha Sana kwenye kufanya live coverage Naangalia dhifa ya kitaifa live kutoka Ikulu, Yan dah aisee ni full makelele Ni bora wangeacha bila kutafsiri coz hatusikii maneno ya Rais wa Malawi wala maneno ya translator I think Azam wako vizuri sana kwenye hizi mambo
  4. K

    JamiiForums Tanzania AZAM TV mjitathimini kwa upendeleo wa wazi wa kubagua katika kuonesha habari za Kampeni za Wagombea Urais

    Hawa jamaa nimejaribu kuwafuatilia saana tokea kampeni za Urais zianze wamekuwa wakitoa upendeleo wa wazi kwa mgombea wa chama tawala kwa kupamba mno taarifa zake huku wakikatakata habari za wagombea wa upinzani hasa za mpizani number moja wa Jiwe (Tundu Lissu) . Na pale siku Jiwe anapokuwa...
  5. Madish Installers

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuhama kifurushi kwenye Azam TV

    Vifurushi vilivyopo: - Tsh 10,000 lite - Tsh 18,000 pure - Tsh 23,000 plus - Tsh 28,000 play Washa king'amuzi chako kisha ndipo ufanye malipo! Ikiwa upo kifurushi kidogo hakijaisha mf: Tsh 10,000 na unataka kuongezea hela ili upate kifurushi kikubwa cha Tsh 18,000 LAZIMA iwe umelipia Tsh 10,000...
  6. May Day

    JamiiForums Tanzania Azam Tv na ulimbukeni wa 'replays'

    Huwa mnapoonyesha Mechi kumekuwa na timing mbovu pale mnapotaka kurudia tukio fulani kama la faulu, kosakosa ya goli, Golikipa kuokoa mpira wa hatari n.k. Sidhani kama ni mara zote kuna ulazima wa kurudia papo hapo haswa kama kuna movement inaendelea. Mnaweza kusubiria hata baadae mpira...
  7. kidadari

    JamiiForums Tanzania Azam wana haki ya kuonyesha Ligi Kuu Bara tu! TFF mlitumia kifungu gani kuwaruhusu Azam kuamua au kupanga ratiba ya Ligi Kuu?

    Baada ya Azam media kuonyesha mechi chache za ligu kuu bara msimu uliopita ambapo Azam wana haki ya kuonyesha mechi hizo. Wadau wa michezo wakawataka TFF kuwabana Azam ili watimize vigezo vya kuonyesha walau 90 % ya michezo yote itakayochezwa. Wadau wa michezo walitegemea Azam media kuongeza...
  8. CK Allan

    JamiiForums Tanzania TFF, Bodi ya Ligi na Azam TV wanahujumu soka la Bongo

    Kwa akili ya kawaida sana katika hali tuliyo nayo ya kiangazi na joto kali. Unalazimisha vipi timu zicheze saa 8 kamili mchana wakati wa jua kali, na wakati huo huo kuna timu zinakaa siku 6-8 bila kucheza. Ulazima huu wa saa 8 unatokea wapi? Kama ni suala la mechi zote kuonyeshwa kwanini...
  9. CK Allan

    JamiiForums Tanzania azam kutoa la-liga, na kuleta bundasilga ,nini maoni yako?

    kwangu mimi naona huku ni kuchemka kabisa kama EPL imeshindikana ni bora tungebaki Spain, na la liga yetu, ambapo walau kuna mabingwa wawili, Barcelona na Real Madrid, kuliko huku ambapo unaona kabisa Bayern anatawala peke yake, wewe unaonaje
  10. N

    JamiiForums Tanzania Azam Tv: sipati Trace Mziki na channels zote za watoto

    Mada hapo juu, tangu kuhama kwa satellite ya eutelsat 7b kwenda 7c nimepoteza channel ya Trace Mziki na zote za nickelodeon, baby tv, mbc3 nk, msaada pliz
  11. Madish Installers

    JamiiForums Tanzania Kwanini dish (king'amuzi) chako kinasumbua signal mara kwa mara!?

    1.Ufungwaji wa Dish - Uimara wa sehemu ilipofungwa - Fundi amefungaje je kama huyu - Fundi alitumia signal finder? (kifaa cha kutafuta signal) - kwenye dish (lnb) tundu inayofungwa cable inayopeleka signal kwenye king'amuzi imefunikwa ili maji yasiingie n.k? 2.Cable kama imeungwa (ilikuwa...
  12. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Azam TV wafanyakazi Customer Care kuna tatizo kubwa

    Hawa wadada wanaopokea simu zetu kutusaidia matatizo mbalimbali ya decoder za azam kiukweli waliopo azam wanasikitisha sana. Wadada hawa wanapokea simu kama vile hawataki kuzungumza na mteja. Hawaonekani kama wana tabasamu au wanaipenda kazi yao. Unaongea na mdada anakukatisha au anamalizia...
  13. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Azam TV Satellite yenu Eutelsat 7A ºE haifanya kazi

    Watu wa azam tv satellite mnayotumia 7A haifanyikazi channel hazionekani, jaribuni kuangalia connection zenu, watu tumelipia halafuhatupati channel zilizofanya tulipiie Kama kuna watu wa Azam Huku, fanyaeni kazi. customer care yenu mbovu unamsubiri mhudumu dk 10
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Azam FC haikuonyesha professionalism kwa Sure Boy

    Mpira wetu ni semi- professional, yaani bado ni vuluvulu. Kumzuia mchezaji anayetaka kuondoka hakuisaidii club wala mchezaji. Kama akicheza chini ya kiwango kwenye club yako majibu utakuwa nayo tayari hata kama sababu siyo hiyo.
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Uongozi wa Azam FC na Safi sana 'Wakazieni' hivyo hivyo huku 'Mkiwamokoa' pia kwani wana 'Dharau' mno na GSM yao

    Tamko la mwisho la Azam FC kwenda kwa Yanga FC kama wanamtaka Mchezaji Wao Abubakary Salum 'Sure Boy' ni hili hapa..... " Leteni Tsh Milioni 70 Cash na mtupe Mchezaji wenu wa Kiungo tegemeo Feisal Salum Fei Toto tuwapeni Sure Boy hamtaki acheni na tusisumbuane " Kudadadeki 'Ubaya Ubayani' tu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania AZAM TV kama mlivyoonekana leo live zaidi ya saa 3 na 8 August, 2020 Lissu akija hapo tuwaone live

    Pamoja na mitambo kukata kata..bado AZAM TV mmeendelea kurusha picha zisizoonekana vizuri ili mradi lengo lenu la kumrusha Mubashara Mgombea wa CCM. Tunaomba mfanye hivi pia siku ya Jumamosi atakapokuja kuchukua fomu mgombea wa chama kikuuu cha upinzani.
  17. H

    JamiiForums Tanzania Azam amfunga Singida United goal 7-0 ashika nafasi ya pili

    Azam imeishindilia goal 7 timu ya Singida United kwa nunge huku chirwa akitupia goal 4 mawili akifunga nado na 1 Ni lakujifunga.Kwa maana hiyo Azam amerudi kwenye nafasi yake ya pili na kumtoa Yanga.
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi Elly Sasii afungiwa baada ya kushirikiana na Yanga kuihujumu Azam

    My Take Hii adhabu haitoshi na haimalizi tatizo la waamuzi. Adhabu sahihi ni kumpokonya leseni arudi kijijini akalime. Halafu yule mwamuzi Shomari Lawi aliyeshirikiana na Yanga kuihujumu Kagera Sugar mnasubiri nini? Huyu apelekwe Takukuru moja kwa moja na afungiwe maisha. Msipofanya hivyo...
  19. Kim12

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Azam Tv decoder Tsh 75,000/=

    Ni Mpya haijawai kutumika Ina kadi yake mpya kabisa Ina wire wa kuunganisha dishi Ina dish lake. Inapatikana Mbezi Luis Wasiliana nami: 0789 830396
  20. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Michezo Clouds FM Kipindi cha Sports Extra, Prisca Kishamba Wewe 24/7 anayekutumia Meseji Kipindini ni Mfungo Patrick wa Zimbabwe pekee?

    Yaani sasa mpaka Wasikilizaji wako huwa tunabeti kwamba ni lazima tu ukiwa katika Zamu ya Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM basi mwishoni ukiwa unasoma Meseji za Wasikilizaji wako ni lazima tu utamsoma Mfungo Patrick kutoka Harare Zimbabwe. Ina maana huyu Mfungo Patrick ndiyo...
Back
Top Bottom