kwangu mimi naona huku ni kuchemka kabisa kama EPL imeshindikana ni bora tungebaki Spain, na la liga yetu, ambapo walau kuna mabingwa wawili, Barcelona na Real Madrid, kuliko huku ambapo unaona kabisa Bayern anatawala peke yake,
wewe unaonaje
Mada hapo juu, tangu kuhama kwa satellite ya eutelsat 7b kwenda 7c nimepoteza channel ya Trace Mziki na zote za nickelodeon, baby tv, mbc3 nk, msaada pliz
1.Ufungwaji wa Dish
- Uimara wa sehemu ilipofungwa
- Fundi amefungaje je kama huyu
- Fundi alitumia signal finder? (kifaa cha kutafuta signal)
- kwenye dish (lnb) tundu inayofungwa cable inayopeleka signal kwenye king'amuzi imefunikwa ili maji yasiingie n.k?
2.Cable kama imeungwa (ilikuwa...
Hawa wadada wanaopokea simu zetu kutusaidia matatizo mbalimbali ya decoder za azam kiukweli waliopo azam wanasikitisha sana. Wadada hawa wanapokea simu kama vile hawataki kuzungumza na mteja. Hawaonekani kama wana tabasamu au wanaipenda kazi yao.
Unaongea na mdada anakukatisha au anamalizia...
Watu wa azam tv satellite mnayotumia 7A haifanyikazi channel hazionekani, jaribuni kuangalia connection zenu, watu tumelipia halafuhatupati channel zilizofanya tulipiie
Kama kuna watu wa Azam Huku, fanyaeni kazi. customer care yenu mbovu unamsubiri mhudumu dk 10
Mpira wetu ni semi- professional, yaani bado ni vuluvulu. Kumzuia mchezaji anayetaka kuondoka hakuisaidii club wala mchezaji. Kama akicheza chini ya kiwango kwenye club yako majibu utakuwa nayo tayari hata kama sababu siyo hiyo.
Tamko la mwisho la Azam FC kwenda kwa Yanga FC kama wanamtaka Mchezaji Wao Abubakary Salum 'Sure Boy' ni hili hapa.....
" Leteni Tsh Milioni 70 Cash na mtupe Mchezaji wenu wa Kiungo tegemeo Feisal Salum Fei Toto tuwapeni Sure Boy hamtaki acheni na tusisumbuane "
Kudadadeki 'Ubaya Ubayani' tu...
Pamoja na mitambo kukata kata..bado AZAM TV mmeendelea kurusha picha zisizoonekana vizuri ili mradi lengo lenu la kumrusha Mubashara Mgombea wa CCM.
Tunaomba mfanye hivi pia siku ya Jumamosi atakapokuja kuchukua fomu mgombea wa chama kikuuu cha upinzani.
Azam imeishindilia goal 7 timu ya Singida United kwa nunge huku chirwa akitupia goal 4 mawili akifunga nado na 1 Ni lakujifunga.Kwa maana hiyo Azam amerudi kwenye nafasi yake ya pili na kumtoa Yanga.
My Take
Hii adhabu haitoshi na haimalizi tatizo la waamuzi. Adhabu sahihi ni kumpokonya leseni arudi kijijini akalime. Halafu yule mwamuzi Shomari Lawi aliyeshirikiana na Yanga kuihujumu Kagera Sugar mnasubiri nini? Huyu apelekwe Takukuru moja kwa moja na afungiwe maisha.
Msipofanya hivyo...
Yaani sasa mpaka Wasikilizaji wako huwa tunabeti kwamba ni lazima tu ukiwa katika Zamu ya Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM basi mwishoni ukiwa unasoma Meseji za Wasikilizaji wako ni lazima tu utamsoma Mfungo Patrick kutoka Harare Zimbabwe.
Ina maana huyu Mfungo Patrick ndiyo...
Sasa ni rasmi Simba itakumbana na Yanga katika nusu fainali ya Azam Cup. Ni baada ya Simba kuishinda Azam mabao 2-0 hivi punde.
Nawatahadharisha watani zetu wa Simba, mtajuta kuifahamu Yanga na kushinda leo. Tutawatandika tena bila huruma. Mtafute sare!
Kila mara huwa nawaambia watani zangu...
Leo Ni Leo Waweza Kusema Hivyo!
Pale Mida Ya 1;00 Usiku Katika Uwanja Wa Taifa, Timu Mbili Zenye Ushindani Mkubwa Zaidi Bongo Mnyama/ Wekundu Wa Msimbaz/ Wanalunyas/ Taifa Kubwa Timu Ambayo Inasakata Kabumbu Lakiwango Kilichothibitisha Na Shirikisho La Mpira Wa Miguu Africa Caf Dhidi Ya Azam...
Yah poleni mlioumia jana ndio hivyo maisha yanaendelea
Nawatakia heri Azam FC kwenye ushindi wao wa leo
Simba wataingiza baadhi ya wachezaji wa benchi na wale wasiocheza
Wale ndugu zangu mnaobet muwe makini msijekosa mboga za wenenu
Katika msimu ambao Simba wameandwamwa na vyombo vya habari kuwa wanabebwa na waamuzi ni msimu huu.Waandishi bila kujadili maadili yao ya kazi waliweka ushabiki mbele kuwa Simba inashindwa kwa kubebwa bila kuangalia upande wa pili ambao mechi zao nyingi zimekuwa na maamuzi yenye utata.
Ilifikia...
Wanayanga msiwe na mashaka Hatimaye kocha mzungu kakubali tuendelee na mila zetu. Matokeo tunayo Yanga 2 Azam 0.
Hii itatuweka nafasi nzuri katika kuusakama Ubingwa. Simba wanaenda Poteza Mechi 5 nasi mkakati wetu ni kushinda mechi zote. Tumerudi kushirikiana na KAMATI YA WAZEE.
Habari zenu jamani,nina king'amuzi cha Azam,Upande wa picha kuna muda inaonyesha na kuna muda picha inakata,na picha picha inapokata kuonyesha inaleta maneno haya,Smartcard is not Correctly,je nifanyaje kuliondoa hilo tatizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.