azam

  1. Shark

    JamiiForums Tanzania Rasmi, leo ndio siku ya kuanza kudhulumiwa na Azam TV

    Wakuu, Azam Media wamekua wakijitangaza kua wameshusha Bei ya vifurushi vyao kuanzia leo. Asubuhi hii nimelipia kifurushi Cha 20,000/- ambayo ndio iliyokua 23,000/- lakin nimekuta channels kadhaa hazionyeshi. Baby TV, ESPN1, ESPN2, MBC4, Nickoledion Zote hizi nilikua nazipata kwenye kifurushi...
  2. Rchesse

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa frequency mpya za Azam Tv

    King'amuzi changu kina Eutelsat 7B frequency, baada ya kuformat. Nasikia wamehamia Eutelsat sat 7C. Kwahiyo nikisearch channel zinazokuja ni Bloomberg, Universal Tv na Imaan Tv. Kwahiyo naomba anaejua frequency zao mpya anijuze.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Azam Tv na janja janja za bei za vifurushi vipya

    Ni ukweli usiopingika hawa jamaa wana vipindi vizuri vinavyopendwa na watanzania walio wengi.Hata hivyo ujio wa king'amuzi kipya mwezi ujao pamoja na mambo mengine ulizinduliwa na "uwongo" wa kile kilichodaiwa kushusha bei ya malipo ya vifurushi kwa mwezi. Hata hivyo, wakati nikiwasikiliza...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Azam hawakufanya utafiti kabla ya kumfukuza kocha

    Kocha aliyefukuzwa ndiye huyohuyo ambae aliiwezesha Azam kuongoza ligi kabla ya mechi na Yanga. Yanga walifukuza kocha lakini matokeo yamebaki yaleyale ya ushindi mwembamba kila mechi. Mtibwa, Ihefu, Namungo, KMC, Mbeya City wamebadilisha mabenchi ya ufundi lakini matokeo kwenye club yamebakia...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Azam yamfuta kazi kocha wake

    diramakini.co.tz Goli la Yanga SC lamng'oa kocha Azam FC Diramakini 3 minutes Baada ya ushindi wa Novemba 25, 2020 ambao Yanga SC iliuchukua nyumbani kwa Azam FC katika uwanja wao wa Azam Complex uliopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, wachambuzi wa soka...
  6. kidadari

    JamiiForums Tanzania Azam kama mmetoa LaLiga mkatuletea Bundasiliga tuongezeeni na Serie A

    Baada ya kuondoa La liga kwenye listi ya ligi mnazoonyesha sasa msisismko umepungua maana Bundasiliga hakuna ushindani sana na mashabiki wengi . Kama itakua heri mtuletee Serie A ya Italy ili kukidhi haja ya wateja wenu maana vifurushi mmeongeza bei wakati hakuna mabadiliko yoyote ya kuongeza...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Haji Manara Siku zingine uache Kiherehere cha Kumsifia Mchezaji Mnafiki wa Azam FC Aboubakary Salum 'Sure Boy' mwenye Uyanga mno!

    Nilikushangaa sana Wiki hii nzima nilipokuwa kila nikipitia Kurasa zako za Mitandaoni na ukawa unamsifia kwa Mikogo yote huku ukimpamba mno Mchezaji wa Kiungo wa Azam FC Aboubakary Salum 'Sure Boy' tena ukimtia Ndimu kabisa ( ukimchochea ) kuwa katika Mechi ya Leo dhidi ya Yanga SC apambane na...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Vodacom Premier League: Yanga yaichapa Azam 1-0 na kukamata usukani wa ligi

    Yanga leo wamekwea daladala kuelekea Chamazi wakipitia Mbagala kucheza na Azam FC. Mechi itaanza saa moja jioni. Dube atakuwepo. Sure Boy atakuwepo shimoni pale. Usiondoke Mashine za Azam Matokeo Goli lililofungwa na Deus Kaseke katika dakika ya 49, lilitosha kufanya Yanga kuchukua points...
  9. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Azam TV wamepandisha bei ya vifurushi vyao!

    hatimaye mzigo umefika! Sasa kuona Ligi ya bongo itakupasa kulipia 20,000 kwa mwezi badala ya 18,000 kwa mwezi iliyokua hapo awali. Vile vile ili kuona Ligi yetu ya hapa bongo kwa wiki utalipa 9,000 badala ya 7,000 ya hapo awali.. Huo ndio ukweli ingawa wenyewe wanajinasibu kuwa wamepunguza...
  10. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua sifa za kisimbuzi kipya cha Azam cha antena ukilinganisha na cha dish cha Azam

    Habarini wakuu, nataka kununua kisimbuzi cha Azam na ninaweza kununua cha dish na cha antena maana bei elekezi nasikia ni 130000 cha dish na 99000 cha natena, ila sijajua icho cha antena utofauti wake na cha dish ni kwenye nini, mtu akiwa na dish anafaidika na nini ambacho mwenye antena hapati...
  11. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Azam FC kwa Taifa Stars

    Kikosi kilichoanza ajana ni wachezaji wa wili tu ndio hawajawahi kuvaa jezi ya azam fc (Mkude na Nondo) Walioingia sub ni moja tu ndio hana DNA na Azam fc nae ni fei Toto Wachezaji regularly national team wanaotoka azam ambao Jana hawakucheza Agrey Morris Chilunda Mudathir Mwantika Vile vile...
  12. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Live from Azam complex :Simba vs Mlandege (friend match)

    Karibu ujionee pira biriani ,pira ngamia hadi timu flani zimeamua kuhama nchi
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini Azam Tv Max haikubali kuplay kwenye Bluestacks?

    Kila ninapojaribu kuplay Azam Tv Max kupitia Bluestacks huwa inaniletea ujumbe huu. Nmejaribu ku-update App but bado kila napojaribu napata huu ujumbe. Solution yake inaweza kuwa nini? Lengo ni kutumia Azam Tv App kwenye Laptop.
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku connect Simu Android kudisplay kwenye Laptop (Hasa Azam TV)

    Wadau nmekuwa nikisafiri sana ndani na nje ya nchi kutokana na nature ya kazi zangu. Changamoto ninayoipata ni kuangalia VPL kupitia Azam. Mara nyingi natumia App yao kuangalia mpira kupitia kwenye Simu.nikapata wazo la ku connect na laptop iwe ndo display ili niwe naangalia kwa ukubwa zaidi...
  15. hp4510

    JamiiForums Tanzania Ni ombi tu kwa Serikali, kwenye dhifa za kitaifa Azam wawe warushaji wa tukio

    Salaaam TBC wanatuangusha Sana kwenye kufanya live coverage Naangalia dhifa ya kitaifa live kutoka Ikulu, Yan dah aisee ni full makelele Ni bora wangeacha bila kutafsiri coz hatusikii maneno ya Rais wa Malawi wala maneno ya translator I think Azam wako vizuri sana kwenye hizi mambo
  16. K

    JamiiForums Tanzania AZAM TV mjitathimini kwa upendeleo wa wazi wa kubagua katika kuonesha habari za Kampeni za Wagombea Urais

    Hawa jamaa nimejaribu kuwafuatilia saana tokea kampeni za Urais zianze wamekuwa wakitoa upendeleo wa wazi kwa mgombea wa chama tawala kwa kupamba mno taarifa zake huku wakikatakata habari za wagombea wa upinzani hasa za mpizani number moja wa Jiwe (Tundu Lissu) . Na pale siku Jiwe anapokuwa...
  17. Madish Installers

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuhama kifurushi kwenye Azam TV

    Vifurushi vilivyopo: - Tsh 10,000 lite - Tsh 18,000 pure - Tsh 23,000 plus - Tsh 28,000 play Washa king'amuzi chako kisha ndipo ufanye malipo! Ikiwa upo kifurushi kidogo hakijaisha mf: Tsh 10,000 na unataka kuongezea hela ili upate kifurushi kikubwa cha Tsh 18,000 LAZIMA iwe umelipia Tsh 10,000...
  18. May Day

    JamiiForums Tanzania Azam Tv na ulimbukeni wa 'replays'

    Huwa mnapoonyesha Mechi kumekuwa na timing mbovu pale mnapotaka kurudia tukio fulani kama la faulu, kosakosa ya goli, Golikipa kuokoa mpira wa hatari n.k. Sidhani kama ni mara zote kuna ulazima wa kurudia papo hapo haswa kama kuna movement inaendelea. Mnaweza kusubiria hata baadae mpira...
  19. kidadari

    JamiiForums Tanzania Azam wana haki ya kuonyesha Ligi Kuu Bara tu! TFF mlitumia kifungu gani kuwaruhusu Azam kuamua au kupanga ratiba ya Ligi Kuu?

    Baada ya Azam media kuonyesha mechi chache za ligu kuu bara msimu uliopita ambapo Azam wana haki ya kuonyesha mechi hizo. Wadau wa michezo wakawataka TFF kuwabana Azam ili watimize vigezo vya kuonyesha walau 90 % ya michezo yote itakayochezwa. Wadau wa michezo walitegemea Azam media kuongeza...
  20. CK Allan

    JamiiForums Tanzania TFF, Bodi ya Ligi na Azam TV wanahujumu soka la Bongo

    Kwa akili ya kawaida sana katika hali tuliyo nayo ya kiangazi na joto kali. Unalazimisha vipi timu zicheze saa 8 kamili mchana wakati wa jua kali, na wakati huo huo kuna timu zinakaa siku 6-8 bila kucheza. Ulazima huu wa saa 8 unatokea wapi? Kama ni suala la mechi zote kuonyeshwa kwanini...
Back
Top Bottom