Mwamuzi Elly Sasii afungiwa baada ya kushirikiana na Yanga kuihujumu Azam

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
29,929
2,000
Screenshot_20200703-210627_Chrome.jpg

My Take
Hii adhabu haitoshi na haimalizi tatizo la waamuzi. Adhabu sahihi ni kumpokonya leseni arudi kijijini akalime. Halafu yule mwamuzi Shomari Lawi aliyeshirikiana na Yanga kuihujumu Kagera Sugar mnasubiri nini? Huyu apelekwe Takukuru moja kwa moja na afungiwe maisha.

Msipofanya hivyo tutawafungia nyinyi wenyewe TFF
 
bwege nazi

JF-Expert Member
Sep 25, 2018
702
1,000
View attachment 1496809

Subiria uto fc waje kupinga na hili wakati kila mtu kaona ile game!
 
Noti bandia

JF-Expert Member
May 3, 2020
451
1,000
TFF badilisheni azabu za waamuzi lasivyo ligi yetu itaendelea kuwa mbovu kila wakati. Hv tuchulie mfano mtu kahongwa milioni tano apindishe matokeo afu tff inamuazibu kufungiwa miezi mitatu na faini ya laki tano hv kweli hapo kunaadhabu yenye maumivu kwa mtenda makosa kweli?. Hao waamuzi wataishia kuchezesha mechi za ndani au cecafa lakini kwenda kimataifa itakuwa ndoto
 
zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
6,052
2,000
ivi wale waamuzi wa offside za ajabu zikaachwa anzia kwa namungo vs nyau walifungiwa muda gani .

hadi waziri aliingilia kati lile sakata la magoli ya offside leo nyau mnapata wapi nguvu ya kulalamika .

umenufaika na point zaid ya 15 toka kwa waamuzi leo wasema mabingwa wa kihistoria wanamuhujumu lambalamba
 
zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
6,052
2,000
TFF badilisheni azabu za waamuzi lasivyo ligi yetu itaendelea kuwa mbovu kila wakati. Hv tuchulie mfano mtu kahongwa milioni tano apindishe matokeo afu tff inamuazibu kufungiwa miezi mitatu na faini ya laki tano hv kweli hapo kunaadhabu yenye maumivu kwa mtenda makosa kweli?. Hao waamuzi wataishia kuchezesha mechi za ndani au cecafa lakini kwenda kimataifa itakuwa ndoto
ni kweli mkuu hata timu zetu zinazonufaika na maamuzi haya zikienda nje goli kuanzia 3-5 ni kawaida
 
zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
6,052
2,000
View attachment 1496809

My Take
Hii adhabu haitoshi na haimalizi tatizo la waamuzi. Adhabu sahihi ni kumpokonya leseni arudi kijijini akalime. Halafu yule mwamuzi Shomari Lawi aliyeshirikiana na Yanga kuihujumu Kagera Sugar mnasubiri nini? Huyu apelekwe Takukuru moja kwa moja na afungiwe maisha.

Msipofanya hivyo tutawafungia nyinyi wenyewe TFF
kweli mkuu kuna wale waamuzi walikuwa wanaacha offside za ajabu hadi waziri mwakyembe akakemea tff wako kimya unawakumbuka
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
101,868
2,000
Huu ujinga unakwamisha sana maendeleo ya soka Nchini. Nyang’anya leseni ili kutoa ONYO KALI kwa waamuzi wengine.

View attachment 1496809

My Take
Hii adhabu haitoshi na haimalizi tatizo la waamuzi. Adhabu sahihi ni kumpokonya leseni arudi kijijini akalime. Halafu yule mwamuzi Shomari Lawi aliyeshirikiana na Yanga kuihujumu Kagera Sugar mnasubiri nini? Huyu apelekwe Takukuru moja kwa moja na afungiwe maisha.

Msipofanya hivyo tutawafungia nyinyi wenyewe TFF
 
mtwa kinte

Senior Member
Sep 2, 2015
131
250
Wasiwasahau pia wale waamuzi waliokua wakikataa magoli halali ili tu kumvika nguo mkubwa fulani asizalilishwe
 
Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
23,069
2,000
View attachment 1496809

My Take
Hii adhabu haitoshi na haimalizi tatizo la waamuzi. Adhabu sahihi ni kumpokonya leseni arudi kijijini akalime. Halafu yule mwamuzi Shomari Lawi aliyeshirikiana na Yanga kuihujumu Kagera Sugar mnasubiri nini? Huyu apelekwe Takukuru moja kwa moja na afungiwe maisha.

Msipofanya hivyo tutawafungia nyinyi wenyewe TFF
Acha povu mikia wewe.
 
Che mittoga

JF-Expert Member
Mar 28, 2017
5,291
2,000
Wanawasingiziwa tu.
Waamuzi Elly Sasii, na Shomari Lawi, Kamwe hawajawahi kuibebeba Yanga hata siku moja.

Kwanza timu inayobebwa Sikuzote ni Simba, hata mechi yao ya Mwisho na Azam, Simba ilibebwa sana na kuibuka na ushindi wa 2 : 0 magoli yote ni offside za wazi kabisa.

Mmezidi kuisingiza Yanga wakati wanaobebwa ni Simba.
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
7,229
2,000
Msaidizi mechi ya Namungo na Simba alifungiwa miaka 3 lakini hawa wapuuzi inaelekea hizo pesa mgao ulitembea hadi kwenye kamati za tff ndio maana utetezi ulitoka kabla ya hukumu
 
juan de otaru

Senior Member
May 23, 2013
199
250
View attachment 1496809

My Take
Hii adhabu haitoshi na haimalizi tatizo la waamuzi. Adhabu sahihi ni kumpokonya leseni arudi kijijini akalime. Halafu yule mwamuzi Shomari Lawi aliyeshirikiana na Yanga kuihujumu Kagera Sugar mnasubiri nini? Huyu apelekwe Takukuru moja kwa moja na afungiwe maisha.

Msipofanya hivyo tutawafungia nyinyi wenyewe TFF
HV HUJUI KUWA REFEREE NI KAZI YA PILI?UNADHANI HANA KAZI NYINGINE AU UMEONA KULIMA SIYO KAZI MKUU
 
GEMBESON

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
587
1,000
Refa Sasii ameikosea adabu beji ya Fifa kwa kuibeba Yanga. Wanamfungia miezi mitatu halafu Kagera sugar ilioonewa haifaidiki chochote na hayo maamuzi. Bora wangesema game irudiwe na refa kufungiwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom