Shikamoo Uongozi wa Azam FC na Safi sana 'Wakazieni' hivyo hivyo huku 'Mkiwamokoa' pia kwani wana 'Dharau' mno na GSM yao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,524
108,797
Tamko la mwisho la Azam FC kwenda kwa Yanga FC kama wanamtaka Mchezaji Wao Abubakary Salum 'Sure Boy' ni hili hapa.....

" Leteni Tsh Milioni 70 Cash na mtupe Mchezaji wenu wa Kiungo tegemeo Feisal Salum Fei Toto tuwapeni Sure Boy hamtaki acheni na tusisumbuane "

Kudadadeki 'Ubaya Ubayani' tu.

Kwa wale wana Simba Sports Club msikae mbali na Mitandao au na Redio zenu kwani huenda kuanzia Saa Nane ( 8 ) Mchana BM akatambulishwa.
 
Sasa mkuu huoni kuwa mchezaji ana mkataba wa mwaka 1 na mwakani anakua mchezaji huru ataondoka bure kabisa sasa kama pesa imekuja kwanini usichukue?

Wanachofanya Azam ni kupoteza mda tu maana hata mchezaji hapandi kuwa pale maana kashaomba kuondoka.
 
Ndio atumikie huo mwaka uliobaki sasa then aende anapotaka kama timu zinazomtaka kwa sasa zinashindwa kumnunua
 
Sasa mkuu huoni kuwa mchezaji ana mkataba wa mwaka 1 na mwakani anakua mchezaji huru ataondoka bure kabisa sasa kama pesa imekuja kwanini usichukue?

Wanachofanya Azam ni kupoteza mda tu maana hata mchezaji hapandi kuwa pale maana kashaomba kuondoka.
We unafikiri Sureboy akibaki Azamu fc msimu ukaisha Yanga bado watakua wanamhitaji bado?
 
Kadri siku zinavyoendelea inadhiilisha kocha wenu hakukosea kuwaita uneducated , manyani hivi Azam ndio wanataka kumuuza au nyinyi ndio mnamtaka kumnunua mnataka kila kitu mbebwe au GSM si wanajigamba wanaweza kusajili mchezaji yeyote mbona wanaomba huruma tena
 
Halafu Morison anapenda kuwa yanga lakini mbona mnng'ang'ania mpaka mnafoji saini yake
 
Mkuu umeona upumbavu waliofanya viongozi wetu...walahy nimekereka mno huyu hastahili kuvaa Nyekundu.
IMG-20200808-WA0019.jpg
 
Kadri siku zinavyoendelea inadhiilisha kocha wenu hakukosea kuwaita uneducated , manyani hivi Azam ndio wanataka kumuuza au nyinyi ndio mnamtaka kumnunua mnataka kila kitu mbebwe au GSM si wanajigamba wanaweza kusajili mchezaji yeyote mbona wanaomba huruma tena
Sijui hata kama michezo uafwatilia mkuu ishu ya sure boy sijui hata kama unajua ilianzaje naona umekurupukia tu.

Ishu ni Yanga walipeleka maombi ya kumnunua sababu bado anamkataba wa mwaka 1 na mchezaji akaomba kuondoka katika uongozi wa Azam.

Azam wakawaruhusu yanga kuleta ofa yao na yanga wakapeleka 20m azam wakawajibu hiyo ndogo na gharama ya sure boy ni 40 wakati yanga hawajajibu kitu azam wakaleta pendekezo la 70m + feisal .
 
We unafikiri Sureboy akibaki Azamu fc msimu ukaisha Yanga bado watakua wanamhitaji bado?
Hatuwezi kujua kitakachotokea mbeleni kama ataendelea kuwa kwenye kiwango bora yanga wataendelea kumtaka.
 
Mkuu umeona upumbavu waliofanya viongozi wetu...walahy nimekereka mno huyu hastahili kuvaa Nyekundu.View attachment 1530932
Hii ni sawa na pale CDM walipomchukua EL wakidhani ni mbuzi mwisha wa safari wakakuta ni fisi, leo umeona penati ya kwanza kacheza na mwenzie wakakosa goli na penati ya pili akalenga mtambaa panya bado Simba wana ganda la muwa la jana
 
Luc Eymael alisema sisi ni nyani. Kweli kumbe. Penalty ashawahi kosa Messi, Ronaldo n.k itakuwa Morrison? Jamaa mpira ana uweza.hatuwezi mkosoa MPIRA ANA UWEZA SIMBA WAMETUZIDI.

Hii ni sawa na pale CDM walipomchukua EL wakidhani ni mbuzi mwisha wa safari wakakuta ni fisi, leo umeona penati ya kwanza kacheza na mwenzie wakakosa goli na penati ya pili akalenga mtambaa panya bado Simba wana ganda la muwa la jana
 
Sijui hata kama michezo uafwatilia mkuu ishu ya sure boy sijui hata kama unajua ilianzaje naona umekurupukia tu.

Ishu ni Yanga walipeleka maombi ya kumnunua sababu bado anamkataba wa mwaka 1 na mchezaji akaomba kuondoka katika uongozi wa Azam.

Azam wakawaruhusu yanga kuleta ofa yao na yanga wakapeleka 20m azam wakawajibu hiyo ndogo na gharama ya sure boy ni 40 wakati yanga hawajajibu kitu azam wakaleta pendekezo la 70m + feisal .
Wabaki naye
 
Mkuu umeona upumbavu waliofanya viongozi wetu...walahy nimekereka mno huyu hastahili kuvaa Nyekundu.View attachment 1530932
Sasa unakereka nini? Hukum J3, itareveal vitu vingi sana hasa kama Morrison atakuwa ameshinda. Vichache ni:-

1. Simba, serikali na tff=1
2. Kaimu katibu mkuu na Eng Hersi hawajui mambo ya mikataba. Wa kwanza uwakili wake utatiliwa shaka.
3. Hili limedhihirika. Simba bila makandokando haitoboi kwa Yanga. Ni kuwavuruga Morrison na Papy kulikowapa matokeo
 
Jamaa mpira anauweza ,angalia dribble aliyofanya ya goli ya kwanza,imagine simba pale mbele akikaa miquison ,chama ,morison
Luc Eymael alisema sisi ni nyani. Kweli kumbe. Penalty ashawahi kosa Messi, Ronaldo n.k itakuwa Morrison? Jamaa mpira ana uweza.hatuwezi mkosoa MPIRA ANA UWEZA SIMBA WAMETUZIDI.
 
Sasa unakereka nini? Hukum J3, itareveal vitu vingi sana hasa kama Morrison atakuwa ameshinda. Vichache ni:-

1. Simba, serikali na tff=1
2. Kaimu katibu mkuu na Eng Hersi hawajui mambo ya mikataba. Wa kwanza uwakili wake utatiliwa shaka.
3. Hili limedhihirika. Simba bila makandokando haitoboi kwa Yanga. Ni kuwavuruga Morrison na Papy kulikowapa matokeo
MIPOVU ruksa
 
Sijui hata kama michezo uafwatilia mkuu ishu ya sure boy sijui hata kama unajua ilianzaje naona umekurupukia tu.

Ishu ni Yanga walipeleka maombi ya kumnunua sababu bado anamkataba wa mwaka 1 na mchezaji akaomba kuondoka katika uongozi wa Azam.

Azam wakawaruhusu yanga kuleta ofa yao na yanga wakapeleka 20m azam wakawajibu hiyo ndogo na gharama ya sure boy ni 40 wakati yanga hawajajibu kitu azam wakaleta pendekezo la 70m + feisal .
Kama yanga wanamtaka sure boy watoe pesa ile sio coastal au alliance ya wachezaji wa bei rahisi
 
Back
Top Bottom