azam

  1. N

    JamiiForums Tanzania Video: Azam TV tunzeni heshima yenu, hivi ni vitasa feki

    Kwanza hongereni sana kwa kuleta revolution ya tv hapa bongo. Soka mmefanikiwa, bongo movies pia naona mnakomaa na ndondi pia mmeamua kutuletea. Ila dah ndugu zangu kilichotokea Dodoma kwa Dulla Mbabe ni uhuni. Ni kama vile mnashirikiana na matapeli kuokota walevi mnawaleta hapa waje wapigane...
  2. JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho Azam: Simba kukipiga dhidi ya African Lyon

    Baada ya kutoa kichapo cha goli 1-0 kwa Al Ahly ya Misri katika mchezo wa Klabu Bingwa Afrika, Simba SC hii leo inashuka tena katika dimba la Mkapa kukipiga na African Lyon. Mchezo huo wa Kombe la Shirikisho la Azam Simba itakuwa ugenini na utapigwa majira ya saa moja usiku kwa saa za Afrika...
  3. JamiiForums Tanzania Ligi kuu Tanzania bara: Azam kumenyana na Tanzania Prisons

    Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara inaendelea leo kwa Klabu ya Azam FC kukutana na Tanzania Prisons katika dimbani Nelson Mandela huko Mbeya Mara ya mwisho Azam kukutana na Tanzania Prisons ilikuwa Septemba 26, 2020, katika mchezo ambao Azam ilikuwa ugenini na kufanikiwa kujiwekea kibindoni alama 3...
  4. JamiiForums Tanzania Azam TV ndo kampuni inayoongoza kwa huduma mbaya kwa mteja

    Azam TV japo wanatoa huduma nzuri za TV, lakini linapokuja suala la customer service kwa mtazamo wangu na uzoefu wa kuhudumiwa, ndo kampuni inayoongoza kuwa na huduma mbovu kuliko wote! Kwanza hawaanzi kupokea simu wala kutatua matatizo ya wateja wao mpaka ifike saa 2 asubuhi katika siku za...
  5. JamiiForums Tanzania Timu ya Azam imekumbatia wachezaji na viongozi wanaopenda timu nyingine Tanzania, hawana moyo

    Mfano, kama Sure Boy angetakiwa na Simba angeruhusiwa kwenda Simba na kama Perfect Chikwendwe angetakiwa na Yanga angesajiliwa na Azam. Azam imejaza viongozi na wachezaji wasiokuwa na moyo na Azam, wako Azam kwasababu ya hela tu ya tajiri wao tu. Wachezaji na viongozi wanaihujumu timu kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Azam FC yaangukia pua Mkwakwani

    Michezo miwili ya ligi kuu soka Tanzania bara imemalizika katika viwanja viwili tofauti. Mchezo wa kwanza ambao ulipigwa saa 8 mchana, uliochezwa kati ya Kagera sugar dhidi ya Gwambina umemalizika kwa sare ya bao 1-1. Goli la Kagera sugar lilifungwa na Yusuph Mhilu dakika ya 6, baadaye Mashack...
  7. JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Azam acheni kupotosha jina la Uwanja wa Mkapa

    Ati wanaita estadio de Mkapa, sijui ni mbwembwe au nini? Kiswahili kina misamiati mingi, kwann isitumike badala ya kuweka maneno ya kireno? Mzee kajenga uwanja kwa heshima ya nchi na mpira. Japo hakuwa mtu wa mpira. Kampeni heshima yake hizo mbwembwe za ESTADIO DE MKAPA ZINAKERA WENGI.
  8. JamiiForums Tanzania Simba SC Vs Azam FC: Mechi imemalizika kwa sare ya mabao Mawili kwa Mawili

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL kuendelea kutimua vumbi leo January 7, 2021 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo Mnyama Mkali Simba SC wanaonyesha kazi na Wana lamba lamba Azam FC. Mchezo huu wa aina yake utakuwa mkali na burudani ya kutosha ndani ya muda wote...
  9. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Azam Tv juu ya kurusha mechi za Simba Sc

    Kutokana na pira biriani kuku linalooneshwa na Mnyama pamoja na usajili wa viwango vya SGR, Tunaomba uongozi wa Azam media uhamishie mechi zetu ktk channel ya ESPN1 au ESPN2 Kuendelea kurusha mechi zetu ktk channel za Azam Sports ambapo Uto a.k.a chura nae anarushwa humo humo ni kutoitendea...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Azam Sinema Zetu punguzeni kukatakata tamthilia

    Azam Sinema zetu mmeleta ubunifu mzuri wa kuwapromoti wasanii wa filamu na wengi wanacheza filamu nzuri, tatizo linakuja kwa Wahariri kukata baadhi ya tamthilia na kuweka matangazo ambayo mengine wala siyo ya biashara ambayo hayakupaswa kuingizwa katikati ya tamthilia. Tamthilia ambazo...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Azam TV nitoeni ushamba kuhusu shuti la Dilunga

    Ilikuwa dakika ya 8 tu ila mechi imeisha statistics zenu zinasema simba haina shot on target au zinahesabiwaje hizo shots? Anyway hongerenei deportivo la utopolo maana tangu 2007 hilo kombe hamlijui linafananaje,hongera pia matola kwa kuweza kucheza pira gwaride hakika ilkuwa ni mechi ya ajabu...
  12. JamiiForums Tanzania Mapinduzi Cup: Waandishi wa habari za michezo mnatia aibu,pamoja na wale wa Azam media

    Kwa anayefuatilia michuano ya Mapinduzi Zanzibar atakuwa shahidi wa hili,post match interview kwa makocha,hasa mfano wa yule wa Azam,George Lwandamina anayetumia lugha ya malkia (English),waandishi wanashindwa kumuuliza maswali na hata wakimuuliza unaona kinyaa kabisa ukizingatia inakuwa Live...
  13. JamiiForums Tanzania Fine Living: Kulikoni Azam TV?

    I love this channel, hasa mapishi na real estate including interior design ya nyumba. Toka mwaka uanze Azam wameiondoa. Wameleta "Real Time" ambayo kusema ukweli lo! Kulikoni Azam TV?
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Azam Tv angalieni watangazaji wenu hasa kwenye uchambuzi wa mpira

    Katika siku za hivi karibuni kumetokea wachambuzi wengi katika soka letu la Tanzania, ambapo wengi wao wanatumia forum ya Azam Tv katika kujitafutia umaarufu wakati katika jamii ni watu ambao wanafadhahisha sana jamii katika maeneo yao ya kila siku , ushauri unapikelewa au kukataliwa, angalieni...
  15. JamiiForums Tanzania Vifurushi vya Azam tv sio rafiki kwa maskini

    Ni watu wasiokuwa na sh. 28,000 kwa pamoja (maskini) kwa mwezi ambao watalazimika kulipia vifurushi vya wiki kama vile sh. 9,000 ili waweze kuangalia channels pendwa kwao. Wiki moja ina siku 7 na mwezi mmoja una siku 30. Hivyo basi anaelipa 28,000 kupata kifurushi cha mwezi (tajiri) anatumia...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Azam yampokea Mpiana, Mapengo ya nyota hawa bado yawatesa

    Azam imempokea Mpiana Moziz kutoka FC Lupopo kuziba pengo la mcameroon Thiery Akono aliyeuzwa Malaysia. Imefanya mapokezi yasiyokuwa na 'mbwembwe'. Wakati ikiendelea kujiimarisha Azam imeshindwa kabisa kuziba mapengo ya Bocco, Manula, Nyoni, Wawa na Kapombe na hivyo sasa imekuwa timu mshiriki...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wakristo tuisusie Azam TV, wanatutenga Krismasi

    Wakristo tuwashangae Azam TV wameshindwa kuenzi Xmas yetu kwa kuweka alama au kiashiria cha kuonesha Kristo anazaliwa. Sisi kama wateja ambao wakati wa sikukuu za Kiislam tunavumilia kuona alama zao zinazoashiria sikukuu zao ni vyema tukawasusia TV yao inayoonesha ubaguzi wa dini hadharani...
  18. JamiiForums Tanzania Azam wameleta king'amuzi cha antena

    Habari ya wakati huu! Nimeona tangazo la dekoda ya antena ya azam kwa bei ya 99,000/= tu. Muonekano wa picha ni HD. Bei za vifurushi zimegawanyika kwenye makundi tofauti 8,000/=, 13,000/=, 23,000/= 28,000/=. Natumaini ujio wa azam utaleta changamoto ya kibiashara kwa washindani wake...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada king'amuzi cha Azam

    Nikiwa home muda huu niijulie dunia hali ghafla nakuta madudu AZAM TV. WASAFI TV inaonesha na ndo chanel ya kwanza kufunguka na sijailipia. Nikazima na kuwasha sasa naona inajibonyeza bila mpangilio tena bila hata matumizi ya rimoti. Shida nini wajuvi nisaidieni
  20. JamiiForums Tanzania Azam FC wangeufuata ushauri wa Kikwete yasingewakuta haya.

    Wakuu, nakumbuka mheshimiwa Jakaya Kikwete aliwaasa Azam FC kutoendekeza Usimba na Uyanga kama wanataka kufika mbali zaidi kisoka pale alipoalikwa kama mgeni rasmi miaka zaidi ya saba hivi sasa iliyopita. Inavoonekana ushauri (wosia) huo wameuweka pembeni ndo maana tunaona sasa ni kama 'academy'...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…