Watangazaji wa Azam acheni kupotosha jina la Uwanja wa Mkapa

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,526
13,014
Ati wanaita estadio de Mkapa, sijui ni mbwembwe au nini?

Kiswahili kina misamiati mingi, kwann isitumike badala ya kuweka maneno ya kireno?

Mzee kajenga uwanja kwa heshima ya nchi na mpira. Japo hakuwa mtu wa mpira.

Kampeni heshima yake hizo mbwembwe za ESTADIO DE MKAPA ZINAKERA WENGI.
 
Maana ni ileile "uwanja wa mkapa"

"Tanzania National Main Stadium"iyo lugha ipo pale juu lango kuu,vp aijakukera?
Vitu vidogo visikupe shida.
 
Ati wanaita estadio de Mkapa, sijui ni mbwembwe au nini?

Kiswahili kina misamiati mingi, kwann isitumike badala ya kuweka maneno ya kireno?

Mzee kajenga uwanja kwa heshima ya nchi na mpira. Japo hakuwa mtu wa mpira.

Kampeni heshima yake hizo mbwembwe za ESTADIO DE MKAPA ZINAKERA WENGI.
Unachukia peke yako

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Mumeamua kumpa za uso
20220720_120627.jpg

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom