Habarini wanajamvi,
Hivi kwanini mechi kati ya Simba na Azam ilihamishiwa Uwanja wa Taifa ilihali mechi za Simba zilikuwa zikichezwa Uhuru?
Je, kuanzia sasa mechi zote za Simba zitachezwa Taifa?
Naomba kufahamishwa.
Mechi ya leo ,ni kielelezo cha kiwango cha soka cha Tanzania!
Leo wanaume wanacheza ...wengine make pembeni muone burudani murua!
.... atakaye fanya kosa ndiye atakaye lia!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.