azam

  1. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Azam TV mechi mnazozirejea wekeni na tarehe

    Sasa hivi naangalia Azam Sports 1 HD pana mechi wameweka kati ya Azam FC na Yanga SC, utaitambua tu kuwa ni marejeo ukisoma kwa chini kushoto neno ' HIGHLIGHTS '. Mechi hii huwezi itambua ni ya lini ila imechezwa uwanja wa Chamanzi, nawashauri wawe wanaweka tarehe mechi za marejeo siku...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mechi Ya Azam FC na KMC Wabadilishwa Muda.

    Mchezo Wa Ligi Kuu VPL Kati Ya Azam FC na KMC uliokuwa uanze Saa 10.0 jioni Umebadilishiwa Muda hadi Saa Moja Jioni....! Source: Blog Ya SalehJembe. Kwa Tafrani lililotokea hapo Majuzi katika Mechi Ya watani ni nini Maoni Yako?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kupeleka mbele Ratiba ya Yanga vs Azam na Yanga vs Biashara United kulifuata kanuni!

    Kwanza nianze jambo moja... Kama utanisoma kwa kuongozwa na Think Tank wa Club ya Simba, yaani Haji Manara, katu hutanielewa! Ni bahati mbaya sana nimetafuta barua kutoka TFF au hata Yanga zinazotoa maelekezo ya kupeleka mbele mechi hizo hapo juu! Pamoja na yote hayo, kama utaweza ku-connect...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Scania zaidi ya 20 za kisasa walizonunua Kampuni ya Azam

    Hii ina akisi hali ya matumaini katika sekta ya biashara nchini Tanzania kwa sasa
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aliyemwelewa Zaka za Kazi wa Azam FC anieleweshe

    " Kama Azam FC tukiamua Kumuuza Mchezaji wetu Prince Dube kwa hapa Tanzania ni Klabu moja tu itaweza Bei yetu ila kuna Klabu nyingine isithubutu kwani itauza Jengo lake, Chura walioko Jirani na Magodoro yao yanayododa Madukani " Amezungumza haya leo ( jioni hii ) huko Wasafi FM baada ya...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

    Ni mechi muhimu kwa Yanga kuendeleza matumaini kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara na kurejea kileleni ikiwa imeshinda mechi zake mbili zilizopita. Azam baada ya kusuluhu mechi iliyopita na Dodoma jiji itajitahidi kushinda mechi ya leo. Yanga yenye alama 57 na michezo 26 itaikaribisha...
  7. ras jeff kapita

    JamiiForums Tanzania Wakati Azam anatawanywa leo Simba wajiandae tarehe 8

    Wakuu habari zenu hapana shaka Simba aka Jobo wamekalia kiti cha uongozi wa ligi kwa muda lkn nimeona wana kelele mingi koko hawa....!! Leo jioni tunachukua pointi tatu muhimu kutoka kwa Azam na kurudi kwenye makazi yetu. Meanwhile nawakumbusha Simba wajiandae kisaikolojia tar 8/05/2021...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Leo Azam hatoki Taifa. Yanga tunamchakaza Vibaya sana. Tunashukuru kwa kazi iliyofanyika

    Pamoja na maneno ya kashfa aliyoyasema Saido habari za kula Mayai Viza n.k sisi hatujali na tumemsamehe bado ana utoto. Ila aulize wenzie watamweleza. Na ashukuru kuwa amesafishwa nyota yake sasa anafunga. Angekuwa hataki hayo asingekubali kupelekwa alikopelekwa na wazee.mwenzake Nchimbi si...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Viongozi Yanga wafanikiwa kumshawishi Saido Ntibanzokiza kucheza dhidi ya Azam

    Tunashukuru kwa viongozi kuweza mshawishi Saido kucheza match ya leo dhidi ya Azam. Tena baada ya kumwakikishia kuwa atapangwa kuanzia mwanzo na hatotolewa. Kocha mpya ameambiwa kuwa asiwe anamwacha Saido nje ataleta matatizo kwa team. Saido amekubali kucheza dhidi ya Azam na viongozi pia...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Azam Tv Morning Trumpet Karume Day 2015 Mahojiano Kati ya Irene Kilenga na Mohamed Said

    AZAM TV KARUME DAY: ABEID AMANI KARUME - "THE MASTERMIND" MAHOJIANO NA IRENE KILENGA 2015 Picha hiyo hapo chini ya Mzee Abeid Amani Karume ilipigwa Dar es Salaam mwaka 1948. Kushoto waliokaa ni Hassan Machakaomo, Selemani Mwinyimadi Chambuso, Mohamed ''Mabosti'' Sultan. Waliokaa kwenye viti...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wazee wa masumbwi, ligi ya kick boxing inaendelea Azam

    Vifuti, mateke ya kutosha, Mawashi, yoko na mai gel za kutosha, Leo kutakuwa na mapambano sita, yote ntakuwa naupdate hapa Michezo yote ina rounds Tatu Pambano la Kwanza Frank Moshi Vs Jafari Juma Mshindi Jafari Juma Pambano la Pili Ally Said Vs Patna Ally Mshindi, Ally Said Pambano la...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana decoder DStv kwa Azam

    Nina decoder ya dstv nataka kubadilishana na mwenye Azam. Location: Dar es Salaam
  13. N

    JamiiForums Tanzania Video: Azam TV tunzeni heshima yenu, hivi ni vitasa feki

    Kwanza hongereni sana kwa kuleta revolution ya tv hapa bongo. Soka mmefanikiwa, bongo movies pia naona mnakomaa na ndondi pia mmeamua kutuletea. Ila dah ndugu zangu kilichotokea Dodoma kwa Dulla Mbabe ni uhuni. Ni kama vile mnashirikiana na matapeli kuokota walevi mnawaleta hapa waje wapigane...
  14. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho Azam: Simba kukipiga dhidi ya African Lyon

    Baada ya kutoa kichapo cha goli 1-0 kwa Al Ahly ya Misri katika mchezo wa Klabu Bingwa Afrika, Simba SC hii leo inashuka tena katika dimba la Mkapa kukipiga na African Lyon. Mchezo huo wa Kombe la Shirikisho la Azam Simba itakuwa ugenini na utapigwa majira ya saa moja usiku kwa saa za Afrika...
  15. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Ligi kuu Tanzania bara: Azam kumenyana na Tanzania Prisons

    Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara inaendelea leo kwa Klabu ya Azam FC kukutana na Tanzania Prisons katika dimbani Nelson Mandela huko Mbeya Mara ya mwisho Azam kukutana na Tanzania Prisons ilikuwa Septemba 26, 2020, katika mchezo ambao Azam ilikuwa ugenini na kufanikiwa kujiwekea kibindoni alama 3...
  16. Last emperor

    JamiiForums Tanzania Azam TV ndo kampuni inayoongoza kwa huduma mbaya kwa mteja

    Azam TV japo wanatoa huduma nzuri za TV, lakini linapokuja suala la customer service kwa mtazamo wangu na uzoefu wa kuhudumiwa, ndo kampuni inayoongoza kuwa na huduma mbovu kuliko wote! Kwanza hawaanzi kupokea simu wala kutatua matatizo ya wateja wao mpaka ifike saa 2 asubuhi katika siku za...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Timu ya Azam imekumbatia wachezaji na viongozi wanaopenda timu nyingine Tanzania, hawana moyo

    Mfano, kama Sure Boy angetakiwa na Simba angeruhusiwa kwenda Simba na kama Perfect Chikwendwe angetakiwa na Yanga angesajiliwa na Azam. Azam imejaza viongozi na wachezaji wasiokuwa na moyo na Azam, wako Azam kwasababu ya hela tu ya tajiri wao tu. Wachezaji na viongozi wanaihujumu timu kwa...
  18. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Azam FC yaangukia pua Mkwakwani

    Michezo miwili ya ligi kuu soka Tanzania bara imemalizika katika viwanja viwili tofauti. Mchezo wa kwanza ambao ulipigwa saa 8 mchana, uliochezwa kati ya Kagera sugar dhidi ya Gwambina umemalizika kwa sare ya bao 1-1. Goli la Kagera sugar lilifungwa na Yusuph Mhilu dakika ya 6, baadaye Mashack...
  19. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Azam acheni kupotosha jina la Uwanja wa Mkapa

    Ati wanaita estadio de Mkapa, sijui ni mbwembwe au nini? Kiswahili kina misamiati mingi, kwann isitumike badala ya kuweka maneno ya kireno? Mzee kajenga uwanja kwa heshima ya nchi na mpira. Japo hakuwa mtu wa mpira. Kampeni heshima yake hizo mbwembwe za ESTADIO DE MKAPA ZINAKERA WENGI.
  20. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania Simba SC Vs Azam FC: Mechi imemalizika kwa sare ya mabao Mawili kwa Mawili

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL kuendelea kutimua vumbi leo January 7, 2021 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo Mnyama Mkali Simba SC wanaonyesha kazi na Wana lamba lamba Azam FC. Mchezo huu wa aina yake utakuwa mkali na burudani ya kutosha ndani ya muda wote...
Back
Top Bottom