asubuhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni ngumu kwa mtu ambitious kuridhika na Ukuu wa Mkoa, 2025 Makonda anaingia bungeni kwa kutumia jimbo gani?

    Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge. 2020 alikurupuka ila round hii itakuwa kajipanga vilivyo swali, je atatumia jimbo gani?
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Hustler" awakacha wenzake mapema asubuhi (bottom-up ilikua zuga)

    Hustler aliahidi kuwainua ,(badala yake KAWABINUA Bodaboda na Mama Mboga (bottom-up) Baada tu ya Kuapa akaanza kulamba Asali na kusahau "hustler" wenzake. Sasa hivi wanaandamana wanaitwa WAHAINI
  3. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Nchi inapigwa, kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba

    Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia. Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
  4. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya lakini wenzetu waislamu mnakera na adhana ya asubuhi

    Nipo jirani na msikiti, Kuanzia saa 10 alfajiri, Kuna shehe huyo amekuwa mtangazaji wa muda, "Sasa hivi ni saa 10 dakika 20 ewe muislamu jiandae kuamka, Swala swala,! Na anaendelea kutaja muda mpaka inafika saa 11 alfajiri.." Kwakweli hebu tunaomba msaada wenu, Ni kweli hakuna namna ya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 15 Kikao cha 51, Juni 21, 2024 Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=01RbKSNp7oE https://www.youtube.com/watch?v=ntozLL3q2hc
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anajibu maswali ya Wabunge, Bunge la 12 Mkutano wa 15 Kikao cha 47, Juni 13, 2024 Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=b72QKndzitE
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee ahoji Uwanja wa CCM Kirumba kukarabatiwa kwa Fedha za Umma (Bungeni Juni 10, 2024)

    https://www.youtube.com/watch?v=vpTWLYk9aeU Halima Mdee ahoji Uwanja wa CCM Kirumba kukarabatiwa kwa fedha za umma Mbunge Halima Mdee amehoji uamuzi wa Serikali kuwa na mpango wa kuuboresha Uwanja wa CCM Kirumba kwa fedha za umma licha ya kuwa Uwanja huo unamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi...
  8. Izato

    JamiiForums Tanzania Hakuna umeme toka asubuhi, tatizo ni nini?

    Baadhi ya maeneo ya Kinondoni Kaskazini yamekosa umeme toka saa tatu asubuhi mpaka ninapotuma huu uzi hivi sasa. Je! Kuna changamoto yoyote ile iliyojitokeza, na pengine imekwisha kutolewa taarifa hapo kabla na uongozi wa TANESCO siku ya leo ya tarehe 02-06-2024. Pengine taarifa hiyo imenipita...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa anawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ujenzi (2024/25) , Mei 29, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=k-4gMGsHRAk SERIKALI YAIAGIZA TCRA KUFATILIA WANAOUZA VOCHA TOFAUTI NA BEI ELEKEZI Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema Serikali imetoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Saa 3 usiku mpaka saa 11 asubuhi simu inatumika

    Wadau naomba ushauri wenu. Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi. Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message lakini hazikujibiwa. Ilivyofika saa 12 na robo asubuhi akanipigia. Akasema eti aliblock namba yangu kwa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Leo asubuhi nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa badala ya chai naomba ushauri wenu

    Wadau hamjamboni nyote? Asubuhi ya leo badala ya kunywa chai na vitumbua nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa. Naomba mnishauri ikiwa ni vema niendelee na utaratibu huu au niandae utaratibu mwingine mbadala Asubuhi njema kwenu nyote
  12. Antennah

    JamiiForums Tanzania Binafsi namshukuru Mungu nimeamka nikiwa salama salimini

    Goood Morning, Habari za asubuhi wapendwa wana JF. Kabla sijajinyanyua kutoka hapa kitandani asubuhi hii ya leo, nimepokea taarifa mbili usiku wa kuamkia leo, taarifa za vifo watu wawili ambapo mmoja ni jamaa tu jirani yangu katika mtaa huu tunao ishi. Na jana nimeonana nae maeneo ya car wash...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wakati unakua, nini kwenu mlikuwa mnatoaga nje asubuhi na kukirudisha ndani jioni muda wa kufunga mlango kabla ya kulala?

    Kwetu bwana , kulikuwaga na pikipiki ya babu, miaka hiyo mzee alishindwa kulitengeneza, likawa limekaa tu, sasa linalazwa ukumbini. Asubuhi mnaamka nalo kulitoa kwanza liwapishe, jioni ndo kitu cha mwisho kuingizwa, hata kama umelala bahati mbaya mzee atakuamsha ukaingize piki piki yenu. Basi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kelele za Matangazo (PA) zinatutesa wikiendi Asubuhi Jijini Mbeya

    Kumekuwa na kero ya Watu wanaopita na magari ya matangazo (PA) Mbeya Mjini tena wanatabia ya kuanza matangazo yao mida ya Saa Kumi na Mbili kasoro asubuhi siku za mapumziko wakati tumelala. Hii ni kero na kwa sababu jiji linapokea silimia kadhaa kwenye haya matangazo tunaona hawakemai hili...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ng'ombe kuacha kutoa maziwa ghafla inatokana na nini? Nifanye nini arudi katika hali ya kawaida?

    Madaktari wa Mifugo: Ng'ombe amekata maziwa ghafla to zero level All of a sudden amekata maziwa. Mchungaji anasema uchangamfu aliokuwa nao umepungua. Inaweza kusababishwa na nini? And what is the remedy? Wakati alikuwa natoa lita 6 asubuhi na 5 jioni.
  16. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Hakuna umeme toka Asubuhi

    TANESCO Kwani huwa mnaangalia nini au kuconsider nini? Kukata umeme, tena siku nzima ya jumapili? Hii kero kubwa sana kwa sisi watanzania. Kweli tuwashe magenerator siku kama ya leo Jumapili. This is not fair.
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Katika Matumizi ya Dozi ya Dawa 1x3 = kila baada ya Saa 8. Sio Asubuhi, Mchana na Jioni

    Katika Mahojiano Maalum na Mwananchi, Aprili 7, 2024, Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Tumaini Nagu amesema moja ya sababu kubwa za Usugu wa Vimelea dhidi ya Dawa ni kutokumaliza au kutotumia Dawa vizuri hasa za Antibayotiki. Prof. Nagu amesema mtindo wa kuwaandikia Wagonjwa Dawa 1x3 au 1x2...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Marufuku kunywa pombe asubuhi Singida

    Wadau hamjamboni nyote? #HABARI Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego amepiga marufuku wananchi wa mkoa huo kuanza kunywa pombe asubuhi badala ya kufanya shughuli za maendeleo na za kiuchumi hali ambayo inaweza kusababisha kudumaa kwa shughuli za kiuchumi kwa wananchi. Mkuu wa mkoa ametoa...
  19. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mashabiki na wanachama wa Yanga mnaalikwa Soup Day Jumapili hii saa3 asubuhi

    Wapenzi wote na wanachama wa Yanga,soup day jangwani.
  20. AmKATRINA

    JamiiForums Tanzania Kuna 10,000(elfu 10) cash kabla ya saa 06:00 asubuhi kwa atakayeonesha picha full nyumba yenye paa hili

    Hii picha inatrend sana hasa Tanzania ikizungumziwa masuala ya mvua na mafuriko. Naomba picha hii ikiwa full. Yaani nyumba full. Kuna 10,000/= cash kabla ya saa 06:00 asubuhi. Nipe picha ya hii nyumba ikiwa full na paa lake hili linaloonekana kama lilivyo Karibuni kwenye mpambano. 10,000...
Back
Top Bottom