arusha

  1. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Barakoa za mafungu nyoso

    Bongo nyoso sana
  2. N

    JamiiForums Tanzania Video: Mtu kaanguka Arusha watu wanampita, maneno ya mke wa Bill Gates yanatimia

    Sina ya kusema kwa kweli,wananchi wenyewe washaona serikali yao vuluvulu,ni mwendo wa kuachwa ufe pale unapoanguka barabarani KWA CHANGAMOTO YA UPUMUAJI. So sad hii clip ni karibu na soko la Samunge Arusha, wengine wanadai kwenye comments huyo ni mlevi na kwamba ni ya siku nyingi hiyo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania RC Gambo: Mazishi yoyote yatakayofanyika mkoani Arusha yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10 bila kujali ugonjwa uliomuuwa marehemu

    Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema mazishi yoyote yatakayofanyika mkoani Arusha yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10 hata kama marehemu hajafa kwa ugonjwa wa Corona. Gambo amesema mkoa umechukua hatua hiyo ili kudhibiti misongamano ya watu katika kipindi hiki cha janga hili la Corona...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Waandishi Clouds 360 wamshukia kama mwewe wakili Msando kwa kupotosha kuwa Arusha hali ni mbaya kwa Corona

    Watangazaji wa Clouds tv Sasali, Kabaye na Ngoma wamesema wakili msomi Albert Msando hana haki ya kuwasemea wananchi wa Arusha kuhusu Corona. Ngoma amesema RC Gambo ndio anajua hali halisi ya mkoa wake, Msando anapaswa kuelezea waliofisadi mali za CCM waliowachunguza na siyo Corona. Amesisitiza...
  5. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Albert Msando ‘amwaga’ vifaa vya Corona kwa wanahabari Arusha, adai hali ni mbaya sana

    Wakili wa Kijitegemea, Alberti Msando ametoa msaada wa barakoa 100 pamoja na vitakasa mikono 100 kwa waandishi wa habari Mkoa wa Arusha ili kujikinga na maambukizi ya Covid-19 kutokana na kazi yao kuwa na mwingiliano wa watu. Akikabidhi msaada huo leo kwenye Ofisi za Chama cha Waandishi wa...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Afisa Elimu Arusha afariki dunia na kuzikwa na Serikali

    Aliyekuwa afisa elimu Arusha! Ndugu ndiyo wamemaliza kuona amezikwa na serikali Pumzika mwalimu
  7. H

    JamiiForums Tanzania Naishauri Serikali ya Tanzania, watu wasiruhusiwe kuingia wala kutoka Dar, Arusha na Mwanza

    Huu ni mtazamo wangu katika kuunga mkono juhudi za Serikali kupambana na COVID-19. Watu wasikae ndani moja kwa moja lakini, ili kupunguza kuenea kwa tatizo nchi nzima, ni vizuri Serikali ikaamua watu wa dar wafanyie Shughuli zao Dar, Arusha na Mwanza kadhalika...Hii ni mikoa ya biashara hivyo...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Ingrid mjini Arusha mpaka Dar-es-Salaam

    Ingrid msichana mrembo, alianza kuishi ghetto baada ya kukorofishana na mama yake. Baba yake alifariki Ingrid akiwa bado mdogo. Ghetto waliishi maisha ya fighting for survival. Kitanda kimoja na ilikuwa ni marufuku kurudi na mwanaume. Siku moja Jumamosi akiwa club alikutana na Damian kijana...
  9. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha imebadilika kabisa

    Wakuu Amani iwe nanyi., Peace and love 😍 wana jf. Jambo ambalo nataka kusema ni kuwa Arusha imebadilika kwa kiasi kikubwa sana tangu hili gonjwa liingie yaani ni balaa. Arusha ni mji uliojaa wazungu kila Kona utafikiri tupo South Africa 🌍 na tushazoea kufanya biashara au mazungumzo ya hapa na...
  10. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Meya mpya wa Arusha anapatikana?

    Kwa wale wajuzi wa serikali za mitaa, ninaomba kujua kama sheria zinaruhusu kupata Mwenyekiti mwingine kwa muda uliobaki baada ya yule aliyekuwa Mwenyekiti kuunga juhudi. Mwenye majibu yeyote ya kufanyika uchaguzi au kutokufanyika ninaomba anisaidie na vifungu vya sheria vinavyosapoti hoja...
  11. displayname

    JamiiForums Tanzania Ndege ya shirika la ndege la Kenya Airways (KQ) yatua kwa dharura uwanja wa ndege wa Arusha

    Pana tetesi kwamba ndege ya shirika la ndege ya kenya ikiwa inatokea Lusaka Zambia, imeshindwa kutua uwanja wa ndege Jomokenyatta na hatimae kutua kwa dharura Arusha airport. Wenye kufahamu zaidi hili sakata watujueze isijekuwa kuna namna. Kama ni dharura kwa nini asingetua Mombosa au KIA...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfanyabiashara wa zao la ulezi kutoka Mwanza, Arusha au Kilimanjaro

    Habari za humu? Nina ulezi tani zaidi ya ishirini, natafuta mnunuzi wa uhakika kutoka mikoa ya Arusha, Mwanza au Kilimanjaro. Kama una nia ya kununua nipm tufanye biashara. Hakuna bei fixed, ni maelewano.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kienyeji halisi(pure) siyo chotara - Arusha

    Habari wanabodi, nauza Mayai ya KIENYEJI HALISI- PURE SIYO CHOTARA. BEI NI SHILINGI 13,500/ KWA TREI MOJA. PUNGUZO LIPO KWA ATAKAYECHUKUA MENGI. KWA MAWASILIANO:- *Piga/text/WhatsApp* 0765894955/0693100453 Arusha Tanzania
  14. Jeceel

    JamiiForums Tanzania Diwani wa Kata ya Ngarenaro jijini Arusha ajiuzulu !

    Tunakisafisha chama
  15. Nemesis

    JamiiForums Tanzania Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini ya umiliki wa Serikali Kuu au Halmashauri husika?

    Uwanja wa CCM Kirumba ambao unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) Enzi za chama kimoja, majengo na maeneo yote ya umma yalikuwa chini ya Serikali. Ujenzi na uendelezaji wa maeneo hayo ulifanya na Serikali kupitia kodi za wananchi, michango, fedha za wafadhili na wahisani mbalimbali. Kwa...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Je niende Arusha au aje Dar?

    Kuna msichana nampenda sana japo tumepotezana kama miaka miwili yeye yupo Arusha mimi nipo Dar. Sasa nikimcheki aje Dar anadai mimi niende Arusha ila naona akija Dar ndio nakuwa confortable kwani nakuwa kwangu kuliko kwenda Arusha. Ushauri wenu wandugu.
  17. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli jenga viwanja vya michezo kama vya majiji ya Mwanza, Arusha, Tanga na Mbeya

    Nimewaza na kuona ni vema tumuombe RAIS wetu wa JMT, pesa kwa ajili ya ujenzi wa viwanja vya michezo kwa majiji ya Mwanza, Arusha, Tanga na Mbeya. Najua DODOMA tulipata ofa za wahisani. Naomba na kushauri hivyo maana namna ya kukuza michezo kwa ngazi za kimataifa ni kuwa na miundo mbinu...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Niulize hivi utaratibu wa Hospitali kwa wagonjwa hapa Mount Meru Arusha umebadilika au kulikoni

    Leo nimefika Hospitali ya Mount Meru kumuona shangazi yangu haki nimechoka sana. Kwa sasa Pale Hospitali ya Mount Meru Arusha, ukilazwa Daktari anakuandikia dawa ukanunue umletee ndio amtibu mgonjwa, utaratibu wa zamani ulikuwa hivi hospitali ina dawa, daktari anakuja na dawa anamtibu mgonjwa...
  19. Jile79

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Wasichana wa Arusha

    Kuna vitu vingi sielewi kuhusu mademu wa Arusha. Hawa mademu wa Arusha wanashida gani? Nipo nakunywa kaunta hapa Kuna demu ndio yupo kaunta. Nimemchombeza kidogo kajimwambafy kinoma na kaniwekea clip fulani ya kibabe sana hata sielewi anataka kunionesha nini aisee. Huku kujiamini kunatokana...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi The School of St Jude Arusha

    Position: Facilities Officer Ref: TSOSJ/ HR/BO/PR/FT/01/20 Location: Moshono Business Office, Arusha, TANZANIA. Job Summary The School of St Jude is an educational institution, entirely funded by charitable donations, that provides free, high-quality primary and secondary scholarships to...
Back
Top Bottom