Ndege ya shirika la ndege la Kenya Airways (KQ) yatua kwa dharura uwanja wa ndege wa Arusha

displayname

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,949
1,037
Pana tetesi kwamba ndege ya shirika la ndege ya kenya ikiwa inatokea Lusaka Zambia, imeshindwa kutua uwanja wa ndege Jomokenyatta na hatimae kutua kwa dharura Arusha airport.

Wenye kufahamu zaidi hili sakata watujueze isijekuwa kuna namna.

Kama ni dharura kwa nini asingetua Mombosa au KIA maana nijuavyo Arusha Airport ni ndogo kwa kuchukua ndege kubwa, au ni dharura, hivyo hakukuwa na namna?

=====

Ndege ya Shirika la Kenya KQ 708 kutoka Lusaka Zambia kwenda Nairobi Kenya imetua kwa dharura jijini Arusha, Tanzania baada ya kushindwa kutua mara mbili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta.

Kenya Airways flights from Lusaka Zambia headed for Nairobi lands in Arusha Tanzania

kq-pic.jpg

Flight KQ708 fails to land twice at JKIA due to bad weather.

Monday morning saw a Kenya Airways (KQ) flight headed for Nairobi land in Arusha Tanzania, because of bad weather

This followed several unsuccessful attempts to land at the Jomo Kenyatta International Airport.

Expected to land at JKIA at 7:35 am, the flight KQ708 left Lusaka at 03:45 am, but failed due to thick fog covering the airport.

The tracking site shows data of the flight trying to land twice at JKIA without any success. Finally, it diverted to Kilimanjaro International Airport and landed safely at 8:25 am.
Corporate affairs official from Kenya Airways while confirming the incident to Kenyan News said. “It is true that the aircraft had to divert to Arusha as per our safety protocols. It couldn’t land at the airport (JKIA) due to a heavy fog cover in the morning.”

Kenya Airways flights from Lusaka Zambia headed for Nairobi lands in Arusha Tanzania – Kenyan News
 
Una hisi kuna "namna" ipi?

Namna isiyoeleweka labda! Arusha Airport ni ndogo kulinganisha na KIA na hata umbali si zaidi ya 50km tena kwa ndege ni chini ya dakika 10 tu kutua so WHY Arusha?
 
Sheria hii inayotumika Kenya hata hapa kwetu ipo pia. Hivyo ninawatahadharisha wazee wa tetesi zisizokuwa na kichwa wajihadhari vinginevyo watakwenda kulalia vilalo vya wazee waliojilipia faini hivi karibuni.

"A person who knowingly publishes information that is false in print, broadcast , data or computer system that is calculated or results in panic, chaos, or violence among citizens of the republic, or which is likely to discredit the reputation of a person commits an offence and shall on conviction shall be liable to a fine not exceeding KSh 5 million or to imprisonment for a term not exceeding ten years or to both," reads section 23 of the act. The DCI has since cautioned Kenyans asking them to be responsible and desist from authoring, publishing or sharing unconfirmed information that may cause panic or anxiety.
 
Wajaribu kusema nini? Tetesi ni habari yeyote isiyothibitika, kuna mdau hapo amefafanua vizuri tu! hizo sheria ni zipi zilizokiukwa kwenye hii tetesi?
 
Kama ni dharura kwa nini asingetua Mombosa au KIA maana nijuavyo Arusha Airport ni ndogo kwa kuchukua ndege kubwa, au ni dharura, hivyo hakukuwa na namna?

Huo uwanja ishawahi tua lile dude la Ethiopia na likapaa hapo hapo, sembuse hiyo KQ!!!
 
hawa wa Kenya hawa hawana lolote, walikuwa wanatuletea CORONA, media zao zitakuwa zinaandika CORONA negativity kwa TZ utadhani kwao hakuna CORONA
 
Back
Top Bottom