Video: Mtu kaanguka Arusha watu wanampita, maneno ya mke wa Bill Gates yanatimia

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Sina ya kusema kwa kweli,wananchi wenyewe washaona serikali yao vuluvulu,ni mwendo wa kuachwa ufe pale unapoanguka barabarani KWA CHANGAMOTO YA UPUMUAJI.

So sad hii clip ni karibu na soko la Samunge Arusha, wengine wanadai kwenye comments huyo ni mlevi na kwamba ni ya siku nyingi hiyo clip,angalia vizuri utaona watu wamevaa mask,pia leo ulikuwa na clip nyingine ya trafiki kaanguka na mwenzake kasimama mbali mita kama 10 anamshangaa tu.

Nfikiri hadi mwezi wa sita itakuwa ni disaster kubwa nchi hii, handling ya hii issue imewashinda kabisa ,watawala wenyewe kina Gambo n Bashite,hopeless kabisa
 
Hii nayo ya kweli?
IMG-20200430-WA0010.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samunge ya mkoa gani hiyo? Mbona mazingira sio aisee. Halafu sio kila anaedondoka sasa ndiyo mkamuhusisha na corona.
Hao mateja wa sokoni kudondoka kwao ni kawaida tu, kuna siku mie Kilombero ule upande wa Levolosi Hosp teja kadondoka mbele yangu nahisi sababu ni njaa tu au madawa yanakuwa yamewazidi.
 
Back
Top Bottom