Position: Facilities Officer
Ref: TSOSJ/ HR/BO/PR/FT/01/20
Location: Moshono Business Office, Arusha, TANZANIA.
Job Summary
The School of St Jude is an educational institution, entirely funded by charitable donations, that provides free, high-quality primary and secondary scholarships to...
Natafuta mteja wa kumuuliza Xbox One, nipo Arusha . Ina memory ya 500gb pia ina inakuja na pads zake mbili na games tatu. Bei ni 550,000 ila inapungua kdg.
Kwa maelezo zaidi njoo PM.
Asalaam Wadau,
Ni matumaini yangu mko salama na hongereni na kazi! Katika pitapita zangu nimeona kwa Sasa kuna ongezeko kubwa la uhitaji wa Mbegu za maboga baada ya kubainika kuwa zinamsaada mkubwa katika afya zetu na kuwa saidia wenye maradhi ya shinikizo la damu(BP),Wenye kisukari etc.
Sasa...
Kwa mara ya kwanza Treni ya Abiria kwa ajili ya majaribio ya njia yawasili katika jiji Arusha Leo tarehe 26 Februari 2020.
Ni baada ya reli hiyo kuacha kufanya kazi kwa muda wa zaidi ya miaka 30
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuna wapinzani wanasogeza muda wao wa lala salama ni Mhe. Godbless Lema
Namshauri Mhe. Lema yale maneno ya Mhe. Spika kama kweli kakopa hajalipa ajiandae kulipa mapema 2020 asahau ubunge wala udiwani hapo Arusha
Vyema nikatoa tahadhari kuliko Kuja kusubiri mpaka Benki Zinaanza kuuza vitu...
Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Nsa Kaisi amefariki dunia leo Alhamisi Februari 13, 2020 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alikokuwa akipatiwa matibabu.
Kaisi aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na mkuu wa Wilaya, Mkoa katika Serikali ya Awamu ya Kwanza...
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Majeshi ya Israeli, Generali Joab Zeruiah alikuwa ni mtu ambaye hakujiamini katika nafasi aliyokuwa nayo. Kila wakati alihofu kuwa angeliondolewa katika nafasi ile hivyo alitumia njia za hila ili kulinda nafasi na masilahi yake! Kuna wakati alipohofia kuwa Mkuu wa Majeshi...
Arusha. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Arusha imewakamata askari watano akiwamo mmoja wa Uhamiaji kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa.
Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Arusha, Frida Wikesi akizungumza na Mwananchi leo Februari 11, 2020 ofisini kwake amesema polisi hao...
Habari wakuu?
Ninanyenyekea mbele zenu bila bughudha nina shida ya mawasiliano ya VETA Hotel and Tourism Training Institute - VHTTI kwa ambaye anafahamu, na pia hata kama hauna mawasiliano naomba unijuze kwa kozi ya Tour Guide ina bweni ama ni kutwa pekee? Maombi wanaanza kutuma lini na ada...
The Arusha Urban Water Supply and Sanitation Authority (AUWSA) is a legally established entity responsible for the overall operations and management of water supply and sanitation services in Arusha City. It is among of the best Authorities in Tanzania.
The core function of the Authority is to...
Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Jonathan Shanna amesema kikosi cha jeshi la polisi Mkoani humo kimewaua majambazi sugu watano wakati wakijibizana risasi na polisi na kuwakuta na silaha aina ya Shotgun Pump Action 32265,Chinese Pistol,Bastola 1 bandia,risasi 11 pamoja na simu 2 & pikipiki 3...
Kampuni ya Sino hydro inajenga mradi wa maji taka jijini Arusha pamoja na maeneo ya jirani. Hata hivyo kampuni hii imekuwa kero kubwa kwa wakaazi wa Arusha kwa kuharibu miundombinu ya barabara za mitaani na mifumo mitaro ya maji ya mvua.
Baadhi ya maeneo kama Njiro kuna mitaa haipitiki kabisa...
Hii ofisi kwanza haina mpangilio, wafanyakazi ni wazi hawapo organised au hawana experience au huenda hata hawajui daily to do list ya ofisi!
Utoaji wa elimu niwe tu mkweli wale watoto mmejaza pale bado sana hawana uelewa huo wapigeni msasa, wapeni semina angalau.
Ofisi haina hadhi yaani...
Arusha. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) mkoa wa Arusha imewafikisha mahakamani watuhumiwa 22 kwa tuhuma mbalimbali za vitendo vya rushwa katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2019.
Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Arusha, Frida Wikesi akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake...
Mkoa wa Arusha ni moja kati ya mikoa yenye mzunguko mkubwa wa pesa ila una tatizo moja.
Arusha ikiwa ni jiji lina tatizo la kuwa na asilimia kubwa ya vipanya (hiece) ambazo madereva wake nusu wazawa na nusu nyingine ni wale wa kuja wasambaa.
Fursa: Usafiri kwenye jiji hilo unakuwa kero sababu...
Tangia mwezi Desemba nauli ya kutoka Loliondo kwenda Arusha ilipanda kutoka 20,000 hadi 25,000.
Mabadiliko haya hayakutangazwa na SUMATRA. Miaka miwili iliyopita nauli ya kutoka Loliondo mto wa mbu kwa bus ilikuwa 17,500 ikaja kubadilika kimya kimya ikawa 20,000 na sasa ni 25,000.
Naomba...
Katika "Harakat National ID" nilipita Uhamiaji mapema saa tatu na hii ni Hali ya vyoo vyao.
Bibi Afya na Bwana Afya wakija kukagua kampuni binafsi wanatoza mi faini mikubwa huku vyoo vya serikali Hali Ni mbaya zaidi!
Bwana Adrian hapo Uhamiaji nakukubali Sana kiutendaji hasa namna...
Jamani napenda kuuliza kama Mount Meru University ina valid and reliable website? Maana inakuwa online siku tatu kisha mwezi mzima offline. Na hiki huo ubora wa elimu kina ubora gani ikiwa hata website hawawezi kuimaintain?
Nitakua safarini kutoka Arusha kwenda Dar Es Salaam kesho jumatano tarehe 8/1/2020 mwenyewe kwa usafiri/gari binafsi. Nahitaji kampani ya kusafiri nayo (kampani utachangia mchango wa mafuta) katika safari hiyo. Kampani ikijua kuendesha au kuwa na uzoefu wa kusafiri mara kwa mara itapendeza zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.