arusha

  1. JamiiForums Tanzania Nipo Arusha natafuta kazi yoyote

    Kama wahenga walivyosema kwenye miti huwa hapakosi wajenzi Mimi ni kijana umri wangu miaka 25 natafuta kazi jamani ya Aina yoyote elimu yangu ni kidato Cha sita ni kijana muaminifu na mtiifu pia jamani nataka kufungua ukurasa mpya kwenye maisha yangu ukweli ni kwamba. Nilikuwa kwenye moja ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tusaidie; DED Monduli na RC wa Arusha wametupora fidia ya ardhi Makuyuni

    DED wa Halmashauri ya Monduli pamoja na RC wa sasa wa Arusha Idd Kimanta wamepora fidia ya ardhi kwa taasisi za dini ya Kikristo na Kiislam pamoja na mwanamke mmoja waliopitiwa na umeme wa Kilovolt 400 kutoka Singida -Namanga katika Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha. Mwaka...
  3. JamiiForums Tanzania CPA ya viwango vya kimataifa (ACCA) kuanza kufundishwa katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A)

    Habari za wakati huu jamiiforums C.P.A ya viwango vya kimataifa (A.C.C.A) kuanza kufundishwa katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A) Soma>>> Wahasibu, kwanini yanayofundishwa mitihani ya CPA yasiingizwe kwenye mitaala ya vyuoni? Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf...
  4. JamiiForums Tanzania Nilihitimu elimu ya juu katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A) mwaka 2009. Is this purely coincidental?

    Habari zenu jamiiforums Nilihitimu elimu ya juu katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A) mwaka 2009. Is this purely coincidental? ========== Soma>>> Kwanini Tanzania inashindwa kuzalisha tena wachezaji ambao ni "University Graduates" kama akina Engineer Leodgar Tenga? Tunakwama wapi kama taifa...
  5. JamiiForums Tanzania Tunanunua Mayai ya Kuku wa kisasa (Arusha)

    GREAT DISTRIBUTION AND MARKETING SERVICES iliyopo Arusha inanunua mayai kwa bei ya 5500 kuanzia trei 100. Tupo Arusha Mjini Kama una mayai wasiliana kwa namba zifuatazo 0622887399 au 0622115570 Karibuni
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye contacts za wachina Arusha naomba msaada

    Wakuu natumaini mu wazima. Naomba kwa yeyote mwenye contacts za wafanyabiashara wa kichina au Japan waliopo Arusha anisaidie. Nataka kuangalia products zipi naweza kuwauzia kwa soko la China. Natanguliza shukrani za dhati.
  7. JamiiForums Tanzania TRA Arusha wanahujumu mapato ya Serikali

    Kwa utafiti wa siku nne niliofanya TRA Arusha hususani idara ya Dept Management ambao pia nimehusisha baadhi ya wateja waathirika wenzangu nime note deliberate sabotage ya mapato ya serikali inayofanywa na wafanyakazi haswa kwenye issue ya TAX clearence. Katika utafiti wangu nimebaini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje niolewe na mwanaume wa Arusha ambaye ni Muislam?

    Jamani napenda mbegu za kiarusha Mimi ni mtu wa Morogoro (Mluguru)short and beatiful. Young girl 23 years. Nipeni mbinu za kuwa na Muarusha au Moshi Boys ambaye ni Muislam wapo maeneo gani?
  9. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini

    Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia. Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside. Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nimemuelewa DC Sabaya, inawezekana kabisa Godbless Lema alisaidiwa na CCM Arusha kwenda uhamishoni!

    DC Ole Sabaya amesema mambo mawili makubwa: Mosi, CCM Arusha kuna kandarasi ya majungu ambayo mradi wake mkubwa ni kuwapiga vita wazalendo wa kweli kama yeye. Pili, Kuvuka mpaka na kwenda kupata ukimbizi nchi nyingine siyo jambo rahisi na mtu mwepesi mwepesi kamwe hawezi kupata fursa kama...
  11. J

    JamiiForums Tanzania DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

    Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mh Ole Sabaya amesema wanaccm wa Arusha wana kandarasi za majungu na ikitokea siku wakamshangilia au kumpongeza atajua anguko lake la kisiasa liko karibu. Sabaya amesema Greenhouse za Mbowe kule Hai zilikuwa zinatiririsha maji yenye kemikali kwenye vyanzo vya maji...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kirung'u/kichui ni ugonjwa wa aina gani, ugonjwa huu ni common maeneo ya Moshi, Arusha!

    Kwa kichaga (cha kwetu) Rung'u maana yake ni chui, kwa hiyo sijajua kwa lugha nyingine unaitwaje na unaweza kua na majina mengine maeneo mengine kwa hiyo hilo sio jina rasmi nje ya kwetu Uko kama pumu/sio, pumu/tb/ sio tb yaani kifua kinabana mwanzo mwisho na kukohoa sana( kwangu haikua kikavu)...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Arusha: Watoto 104,000 wachanjwa chanjo ya kichocho na minyoo

    Jumla ya watoto 104,000 wenye umri kati ya miaka 5 hadi 14 wamechanjwa Chanjo ya kichocho na minyoo mkoani Arusha. Source Upendo tv Maendeleo hayana vyama!
  14. L

    JamiiForums Tanzania Polisi kitengo cha loss report Arusha hili limekaaje?

    Poleni na kazi ya kupambana na uhalifu, iko hivi nilipoteza simu yangu ilikuwa na line 2 basi nikajitahidi kwenye saa saba mchana nikafika pale Central police haraka haraka ili ni report kupotelewa na simu pamoja na line. Kuingia nikaelekezwa dawatini (wanaposhughulikia hizo loss report)...
  15. JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wafariki na kuacha simanzi Arusha

    Arusha. Jiji la Arusha, limekumbwa na simanzi kufuatia vifo vya madaktari bingwa wawili ambao ni maarufu katika jijini hapa, mmoja akiwa ni mmiliki wa hospitali ya St Thomas jijini Arusha. Madaktari hao ni Dk Lamweli Henry Makando, mmoja wa wamiliki wa hospitali ya St Thomas ambaye alikuwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna Wiki Ngumu kwa Yanga SC basi ni hii kwani tayari Umafia umeshamalizwa huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili

    Waende kwa Tahadhari zote huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili kwani kwa Umafia ambao umefanyika huenda Wiki hii ikiwa Ngumu Kwao kwa Michezo yao. Nawaonea sana Huruma Kocha Kaze, Boss wa GSM Hersi na Mwenyekiti Msola. Kwa yaliyofanywa huko Watu watauwana.
  17. JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyabiashara Andrew Mollel afariki dunia (mmiliki wa Happy Sausages)

    Mfanyabiashara maarufu mkoani Arusha, Andrew Mollel ambaye alikuwa mwanzilishi na Mkurugenzi wa kampuni mbalimbali mkoani Arusha amefariki dunia na kuibua simanzi kwa wakazi wengi wa jiji hilo. Akizungumza na Mwananchi leo, Februari 28, Mbunge wa jimbo la Monduli , Fredrick Lowassa amesema...
  18. JamiiForums Tanzania Sabaya matatani kwa kumshambulia Diwani wa Sombetini Arusha

    Ole Sabaya anastahili kung'olewa kwenye nafasi ya U-DC hafai na hatoshi!!! Huyu mtu amejaa uhuni, hana maadili, hana nidhamu na anatumia madaraka aliyopewa vibaya kwa kunyanyasa raia. Rais MAGUFULI kama Mamlaka ya Uteuzi tuondolee huyu mhuni, kibaka na gaidi wa kisiasa!
  19. N

    JamiiForums Tanzania tuliokulia Arusha hali ya uwanja wa sheikh amri abeid inaumiza sana

    Enzi hizo bana kabla ya kujengwa gombani pemba na ally hassan mwinyi tabora(viilikuwa moto enzi hizo)unaambiwa uwanja mzuri ulikuwa ccm kirumba ukifatiwa na sheikh amri abeid arusha maana wa dar es salaam ulikuwa ni kituko cha afrika,ismailia walisemaga ni uwanja wa kuchezea farasi kule kwao...
  20. JamiiForums Tanzania TANESCO Arusha tangazeni kama kuna mgao wa umeme

    Karibia miezi 6 sasa Tanesco Arusha wamekuwa wakikata umeme kila siku. Imefikia mahali sasa suala la kukatika umeme limekuwa la kawaida, yan wanaturudisha nyuma kipindi kile cha Lowassa ambapo kila kona ilikuwa giza. Mi ninachoomba kama kuna mgao tangazeni rasmi, kuliko kutukatia umeme kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…