Polisi kitengo cha loss report Arusha hili limekaaje?

lulu za uru

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
1,342
2,000
Poleni na kazi ya kupambana na uhalifu, iko hivi nilipoteza simu yangu ilikuwa na line 2 basi nikajitahidi kwenye saa saba mchana nikafika pale Central police haraka haraka ili ni report kupotelewa na simu pamoja na line.

Kuingia nikaelekezwa dawatini (wanaposhughulikia hizo loss report) kuwaelezea nikaambiwa hakuna network, basi nikamuomba askari aliyekuwepo hapo walau anirekodi mahala kuwa nilifika kureport ili zile line hata zikifanya uhalifu huko Mimi nisije kusumbuliwa nikajibiwa bila network haiwezekani. Nikaondoka kinyonge na hapo niliomba ruhusa kazini, kesho yake nayo nikajikongoja saa nne asubuhi Mara nikaambiwa subiri mpaka saa saba.

RAIA wengi hapo walikuwa wanalalamika mwingine anakwambia nina siku ya tatu bado sijashughulikiwa nikaona napoteza muda wangu nikajitafutia mbadala wa line zangu sikwenda tena.

Inakuwaje network isumbue sehemu sensitive kama hapo? Au watenda kazi ni wachache au ni sababu za kiusalama? Ilinishangaza karibu kila ninayemuhadithia ana story the same.

Wakuu zangu polisi au ni sababu za kiusalama?
 
leloic

JF-Expert Member
Apr 6, 2013
804
1,000
Naona kuna wengine wanasema iko online hebu tuelekezane wakuu..jinsi ya kuipata.
Google loss report then fungua website inayo fanana na hiyo kwenye picha.

Kisha fuata maelezo ya kujibu.

Screenshot_20210304-180323.jpg
 
blackstarline

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
2,631
2,000
Loss report ipo online ni wewe tu tena ukitumia namba ya nida inapita hakuna haja ya kwenda polisi.
Ingia google andika Lormis inakupeleka moja kwamoja kwenye loss report, utajaza majina yako kama una namba ya nida ndiyo nzuri zaidi na kile ulicho poteza ukijaza vizuri huna haja ya kwenda polisi tena uta print na kupeleka sehemu husika.
 
NewGapi

Senior Member
May 28, 2020
102
250

Polisi lazima uende ili waithibitishe na wakuruhusu ku print.

Ila unaanza kufanya online.
 
SPYMATE

JF-Expert Member
Apr 17, 2013
1,305

Ukitumia NIDA unalipia tu then unaprint bila kukanyaga kituoni.

Kama huna NIDA. ndio unapitia huko wathibitishe
 
NewGapi

Senior Member
May 28, 2020
102
250
Ukitumia NIDA unalipia tu then unaprint bila kukanyaga kituoni.
Kama huna NIDA. ndio unapitia huko wathibitishe
Kwa simu kwanza lazima uwe na barua ya mtandao wa simu ya kuthibitisha wewe ni mteja wao.

Unaenda na hiyo barua na control number kituoni, Askri ndo ana approve wewe kuprint.

Hivyo ndiyo nimefanya na kusaidia wengine zaidi ya 10.

Bila hivyo request itabaki pending
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
11,481
2,000
Poleni na kazi ya kupambana na uhalifu, iko hivi nilipoteza simu yangu ilikuwa na line 2 basi nikajitahidi kwenye saa saba mchana nikafika pale Central police haraka haraka ili ni report kupotelewa na simu pamoja na line.

Kuingia nikaelekezwa dawatini (wanaposhughulikia hizo loss report) kuwaelezea nikaambiwa hakuna network, basi nikamuomba askari aliyekuwepo hapo walau anirekodi mahala kuwa nilifika kureport ili zile line hata zikifanya uhalifu huko Mimi nisije kusumbuliwa nikajibiwa bila network haiwezekani. Nikaondoka kinyonge na hapo niliomba ruhusa kazini, kesho yake nayo nikajikongoja saa nne asubuhi Mara nikaambiwa subiri mpaka saa saba.

RAIA wengi hapo walikuwa wanalalamika mwingine anakwambia nina siku ya tatu bado sijashughulikiwa nikaona napoteza muda wangu nikajitafutia mbadala wa line zangu sikwenda tena.

Inakuwaje network isumbue sehemu sensitive kama hapo? Au watenda kazi ni wachache au ni sababu za kiusalama? Ilinishangaza karibu kila ninayemuhadithia ana story the same.

Wakuu zangu polisi au ni sababu za kiusalama?
Wewe ndiyo unamatatizo. Siku hizi loss report inapatikana online na huna sababu ya kwenda kuomba wakupe loss report.

Infact wewe ndiyo ulitakiwa uende na loss report central maana ungeweza kuioatabhata mtaani kwa kufuta procedure zao mtandaoni. Pale central lazima wangekuzungusha maana nao ninwanadamu na huu mfumo umewekwa ili watu wasiende pale. Kitenda cha kwenda pale ni kuwasababisha hata wawaombe rushwa kwa kitu amacho hata kwa kuazima simu ya jamaa yako ungefanumikisha mwenyewe.
 
SPYMATE

JF-Expert Member
Apr 17, 2013
1,305
2,000
Kwa simu kwanza lazima uwe na barua ya mtandao wa simu ya kuthibitisha wewe ni mteja wao.

Unaenda na hiyo barua na control number kituoni, Askri ndo ana approve wewe kuprint.

Hivyo ndiyo nimefanya na kusaidia wengine zaidi ya 10.

Bila hivyo request itabaki pending
Kuna Sehemu unakosea mimi nimefanya hilo zoezi. Mara kadhaa bila. Kukanyaga kituoni.

NIDA unapeta vitambulisho vingine na barua ya mtaa lazima utinge kituoni.
 
marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
14,829
2,000
Poleni na kazi ya kupambana na uhalifu...iko hivi nilipoteza simu yangu ilikuwa na line 2...basi nikajitahidi kwenye SAA saba mchana nikafika pale Central police haraka haraka ili ni report kupotelewa na simu pamoja na line...kuingia nikaelekezwa dawatini (wanaposhughulikia hizo loss report) kuwaelezea nikaambiwa hakuna network, basi nikamuomba askari aliyekuwepo hapo walau anirekodi mahala kuwa nilifika kureport ili zile line hata zikifanya uhalifu huko Mimi nisije kusumbuliwa nikajibiwa bila network haiwezekani ,...nikaondoka kinyonge na hapo niliomba ruhusa kazini,kesho yake nayo nikajikongoja SAA NNE asubuhi Mara nikaambiwa subiri mpaka SAA saba...RAIA wengi hapo walikuwa wanalalamika mwingine anakwambia Nina siku ya tatu bado sijashughulikiwa nikaona napoteza muda wangu nikajitafutia mbadala wa line zangu sikwenda tena... Inakuwaje network isumbue sehemu sensitive kama hapo?au watenda kazi ni wachache..au ni sababu za kiusalama? Ilinishangaza karibu kila ninayemuhadithia ana story the same ...Wakuu zangu polisi au ni sababu za kiusalama?

Huko Polisi mambo mengi wanaanzisha siyo kwasababu ya kusaidia wananchi ila ni kutengeneza ulaji kwa polisi, jiulize kwanini simu zinaibiwa kila siku hazikamatwi na kitengo cha cybercrime kipo? Wanafanya kazi gani?

Kule Morogoro askari mmoja alianza kumtaka binti kimapenzi baada ya kumwomba amsaidie kutrack simu yake, binti alivyoona yamekuwa hayo aka surrender simu

Kuna mtu alisema simu zinazoibiwa askari wanazifuatilia wanazichukua wao
 
ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,432
2,000
Poleni na kazi ya kupambana na uhalifu, iko hivi nilipoteza simu yangu ilikuwa na line 2 basi nikajitahidi kwenye saa saba mchana nikafika pale Central police haraka haraka ili ni report kupotelewa na simu pamoja na line.

Kuingia nikaelekezwa dawatini (wanaposhughulikia hizo loss report) kuwaelezea nikaambiwa hakuna network, basi nikamuomba askari aliyekuwepo hapo walau anirekodi mahala kuwa nilifika kureport ili zile line hata zikifanya uhalifu huko Mimi nisije kusumbuliwa nikajibiwa bila network haiwezekani. Nikaondoka kinyonge na hapo niliomba ruhusa kazini, kesho yake nayo nikajikongoja saa nne asubuhi Mara nikaambiwa subiri mpaka saa saba.

RAIA wengi hapo walikuwa wanalalamika mwingine anakwambia nina siku ya tatu bado sijashughulikiwa nikaona napoteza muda wangu nikajitafutia mbadala wa line zangu sikwenda tena.

Inakuwaje network isumbue sehemu sensitive kama hapo? Au watenda kazi ni wachache au ni sababu za kiusalama? Ilinishangaza karibu kila ninayemuhadithia ana story the same.

Wakuu zangu polisi au ni sababu za kiusalama?
Mambo yamerahisishwa sana. Unaweza pata taarifa ya mali iliyopotea kwa kujihudumia mwenyewe. Fanya hivi:-

1. Hakikisha una simu janja au laptop au desktop computer yenye mtandao wa internet.

2. Ingia search engine yoyote, ingiza "SAJILI MALI ILIYOPOTEA".

3. Itakupa link ambayo ukiibonyeza, itakupetea fomu mtandaoni.

4. Jaza taarifa zote zinazohitajika na fomu hiyo, tumia kitambulisho cha nida kujaza taarifa zako. Ukitumia kitambulisho tofauti, kitakutaka kwenda polisi kuthibitisha.

5. Ukisha maliza kujaza taarifa zako, itakuletea fomu ya pili, ambayo ni ya kujaza taarifa ya mali iliyopotea.

6. Kumbuka mali moja taarifa moja ambayo utalipia 500/- kwa kila taarifa.

7. Ukisha lipia, bonyeza pale angalia taarifa yako. Utajaza control namba na namba ya kitambulisho. Kumbuka namba isitofautiane hata kidogo.

8. Utapakua taarifa yako, utaenda kuiprint.
 
Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
6,264
2,000
Poleni na kazi ya kupambana na uhalifu, iko hivi nilipoteza simu yangu ilikuwa na line 2 basi nikajitahidi kwenye saa saba mchana nikafika pale Central police haraka haraka ili ni report kupotelewa na simu pamoja na line.

Kuingia nikaelekezwa dawatini (wanaposhughulikia hizo loss report) kuwaelezea nikaambiwa hakuna network, basi nikamuomba askari aliyekuwepo hapo walau anirekodi mahala kuwa nilifika kureport ili zile line hata zikifanya uhalifu huko Mimi nisije kusumbuliwa nikajibiwa bila network haiwezekani. Nikaondoka kinyonge na hapo niliomba ruhusa kazini, kesho yake nayo nikajikongoja saa nne asubuhi Mara nikaambiwa subiri mpaka saa saba.

RAIA wengi hapo walikuwa wanalalamika mwingine anakwambia nina siku ya tatu bado sijashughulikiwa nikaona napoteza muda wangu nikajitafutia mbadala wa line zangu sikwenda tena.

Inakuwaje network isumbue sehemu sensitive kama hapo? Au watenda kazi ni wachache au ni sababu za kiusalama? Ilinishangaza karibu kila ninayemuhadithia ana story the same.

Wakuu zangu polisi au ni sababu za kiusalama?
Hivi huwa kina kitengo cha loss report, au kitu hiki huwa kinafanywa na polisi yoyote anayehusika kama ilivyo katika kukamata wahalifu?
 
iam Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
1,935
2,000
Huko Polisi mambo mengi wanaanzisha siyo kwasababu ya kusaidia wananchi ila ni kutengeneza ulaji kwa polisi, jiulize kwanini simu zinaibiwa kila siku hazikamatwi na kitengo cha cybercrime kipo? Wanafanya kazi gani?

Kule Morogoro askari mmoja alianza kumtaka binti kimapenzi baada ya kumwomba amsaidie kutrack simu yake, binti alivyoona yamekuwa hayo aka surrender simu

Kuna mtu alisema simu zinazoibiwa askari wanazifuatilia wanazichukua wao
Una ushahidi juu ya hilo la mwisho?
 
Rcrusso Jr

Member
Jul 26, 2020
43
125
huwezi kuprint mpaka uilipie na uende kituoni kuiverify na kuipitisha ndio utaweza ku view na kuishusha
Ingia google andika Lormis inakupeleka moja kwamoja kwenye loss report, utajaza majina yako kama una namba ya nida ndiyo nzuri zaidi na kile ulicho poteza ukijaza vizuri huna haja ya kwenda polisi tena uta print na kupeleka sehemu husika.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom