arusha

  1. J

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mkuu wa Magereza Godson Mwanagwa akanusha Ole Sabaya kufanya vurugu gerezani

    Mkuu wa magereza mkoani Arusha afande Godson Mwanagwa amekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mh Lengai Ole sabaya aligoma kuoga na kufanya vurugu gerezani. Afande Mwanagwa amesema Ole Sabaya alipokelewa vizuri na hakuna tatizo lolote gerezani. “Alipokelewa vizuri tu hakuna vurugu...
  2. JamiiForums Tanzania Tamasha La Harmonize Arusha, nimesikitika Sana

    Wakuu, Jana kuna kitu nimejifunza kwanini Diamond kwenye burudani anasumbua anajiandaa vya kutosha na ukilipaa pesa utapata kulingana na pesa yako. ..... Nimehudhuria matamasha mengi ya Diamond ukitoaa milioni Moja au Laki5 utapata hospitality ya kutosha. ..... Wakuu Jana nimehudhuria Tamasha La...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakuru Town vc Arusha city

    Following a claim by some sections from our neighbour that Nakuru Town beats Arusha city, it is time to iron out the facts out! Whereas Nakuru is still a town some people r trying to compare it to the city of Arusha, the safari capital of East Africa! Mind u, Arusha has the following...
  4. JamiiForums Tanzania Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, leo Ijumaa, wako mahabusu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akiwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi. Bado haijafahamika mashitaka yanayomkabili ===== UPDATES: ===== Arusha. Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani...
  5. JamiiForums Tanzania Bodaboda Arusha wamkumbuka aliyekuwa RTO Arusha, Charles Bukombe

    Leo majira ya saa 2:00 katika kituo cha Radio 5 jijini Arisha, walialikwa baadhi ya waendesha boda boda pamoja na viongozi wao. Katika mahojiano ya namna wanavyopambana na changamoto za kazao, hawakusita kuzungumzia namna ambavyo walisaidika kwa kupewa mafunzo mbalimbali na maelekezo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Maktaba kuu ya Arusha

    Kazi iendelee... Maktaba kuu ya Arusha, kisima cha maarifa uliyebeba mengi... Safari za ushindi za watu machozi yao na furaha, historia ya tangu kuumbwa kwa dunia hata leo kaskazini kusini mashariki na magharibi jamani wahusika ipakeni rangi hii maktaba kwa nje rangi imechoka mno maktaba...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mpenzi wangu haelewani na ndugu zake. Nimsaidiaje?

    Kunae demu nimejuana naye kwa miezi 6 sasa, kiufupi ni Mwanamke wangu na mahusiano yetu yanaenda poa kabisa. Yeye ni mtu wa Arusha but anaishi Dar kwa ndugu zake, Majuzi kati kulitokea kutokuelewana yeye na ndugu zake hali inayomfanya asiishi kwa amani. Binafsi sitaki kuingilia ugomvi wao...
  8. JamiiForums Tanzania Kama unasafiri kuja Arusha ujipange hali ya hewa ni mbaya sana

    Kwa taarifa yako kama una mpango wa kuja pande hizi za A- City [emoji2516] ujipange Baridi ni kali mno
  9. JamiiForums Tanzania Uporaji pesa za mkopo za wanafunzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)

    Imekuwa ni utaratibu wa chuo cha uhasibu Arusha kukata kiasi cha pesa cha chakula na matumizi mengine(Boom) kwa wanufaika wake kila mara wanapotakiwa kuwapa kwa muda wa kila baada ya miezi miwili, ambacho ni kiasi cha tsh 500,000 kwa kila baada ya miezi miwili. Lakini wamekuwa wanawacheleweshea...
  10. JamiiForums Tanzania Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

    Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako. Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao...
  11. JamiiForums Tanzania Arusha: Freeman Mbowe avishwa vazi rasmi la kimila la Wamasai na kusimikwa kuwa kiongozi wao

    Kama tulivyoahidi kuwa nanyi bega kwa bega katika kipindi hiki ambacho Chadema imekuja na mkakati mpya wa OPERESHENI HAKI , basi leo tena Tunaendelea kuwapa uhondo na taarifa mbali mbali za yanayoendelea huko Arusha kwenye vikao vinavyoendelea. Mpaka hivi ninavyoandika hapa tayari Mwamba Mbowe...
  12. JamiiForums Tanzania Arusha: Kiwanda ‘bubu’ kinachozalisha pombe kali chakamatwa

    Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mwanamke mmoja mkazi wa Sakina ambaye ni msimamizi wa kiwanda bubu kinachozalisha pombe kali na kumkuta akiwa na vitu mbalimbali ikiwemo stika 340 za TRA, chupa 483 za pombe kali, mtambo wa kutengenezea pombe hiyo pamoja na pipa lililojaa pombe kali...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA yawasha moto Arusha. Mbowe azindua Mkakati mpya

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , leo kimeanza kupanga mipango mipya ya kukisogeza karibu zaidi na Wananchi , ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ameanza kwa kufungua kikao cha Kamati ya Utendaji Mjini Arusha CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE FREEMAN...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha dhidi ya Mtumishi wa TRA anayekula rushwa wazi

    Wanabodi salaam Hii ni barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha wakilalamika bwana mmoja, huyu jamaa bado yupo enzi zile za pontio plato za kutishia watu ili ajipatie fedha, anakufanyia upepelezi feki ili iwe rahisi kukufanya utoe fedha Taarifa za uhakika huyu bwana ana ukwasi mkubwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Nahitaji Kiwanja Arusha maeneo ya Kiserian, Moshono na Chekereni

    Nahitaji Kiwanja Arusha maeneo ya Kiserian, Moshono na Chekereni isiwe porini ukubwa uwe 10x15 au 15x15 bajeti yangu kwa kila kiwanja ni sh mil 2 kushuka chini. Kama unamfahamu aliye nacho njoo DM au nishtue. viwanja hivyo vinatakiwa mpaka wmezi wa 7 viwe vimepatikana.
  16. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali kwa Arusha

    Mimi ni Civil technician kutokana na uhaba wa contract za ujenzi kwa sasa niko mtaani naombeni kwa yoyote anayeweza kunisaidia kazi yoyote halali. Note sichagui kazi hata kama unataka kazi ya kibarua sehemu niko tayari kufanya.
  17. T

    JamiiForums Tanzania TARURA Arusha (Wrong Parking) Wala Rushwa

    Hawa jamaa wakikukamata kwa kosa la kupaki gari vibaya (wrong parking) ukienda kulipa ofisini kwao (zilipo ofisi za TEMESA/UJENZI), wanaomba rushwa waziwazi bila kificho wala aibu. Dau lao ni 30k (faini ni 50k). Mpokeaji ni mama mmoja anaye-register magari yanayoingia kwao.
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia awaapisha Wakuu wa Mikoa. Afanya mabadiliko madogo, Kafulila apelekwa Simiyu, Mongella aletwa Arusha

    Dkt. Mpango: Wakuu wa Mikoa wasiwe walevi na wazinzi Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, amewataka Wakuu wa Mikoa walioapishwa Mei 19, 2021 wafanye kazi kwa weledi Asema Kiongozi mzuri ni yule mwenye busara na bidii ya kazi Jaji Mkuu: DPP ni chujio la kwanza la haki Prof. Ibrahim Juma...
  19. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Monaban ashikiliwa na Polisi kisa ugomvi wa ardhi

    Mfanyabiashara maarufu jiji la Arusha Philemon Mollel (Monaban)anashikikiwa na polisi kutokana na ugomvi wa kugombea eneo lililoamuriwa na mahakama. Monaban alilazimika kufyatua Risasi hewani akipinga kunyang'anywa eneo alilowekeza kituo cha Mafuta baada ya mahakama kutoa hukumu kwamba si...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA tayari kuuwasha moto. Arusha mpo?

    Kilimanjaro na Manyara mkae tayari, the game is about to start, Mama waamshe wanao waambie Makamanda wameingia Mjini tayari kukiwasha, hii haifi ina tabia ya kusinyaa tu ikimwagiliwa kidogo inakuwa mbuyu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…