Itoshe kusema Arusha ndio mkoa unaoongoza kuwa na vijana wavivu sana

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,578
Huu mkoa vijana wavivu wanaongezeka kwa kasi sana, wanakuja wageni wanafanya kazi wanaondoka na mpunga. Mkoa huu kijana wa kiume anawaza kupata mwanamke ama bibi wa kizungu kutwa kufuga rasta akiamini utamtoa.

Ukitaka kuamini hilo nenda sehemu za starehe kisha akatishe mzungu, ukienda sehemu kama The Hub huwa vijana wanakaa chooni kabisa kuwinda wadada wa kizungu!

Ukija kwa wasichana wa Arusha ndio balaa, dating app zote wapo wanajiuza kwa kigezo cha kufanya modeling. Unakuta kasichana ka miaka 20 kapo na babu wa miaka 75! Hata Zanzibar 50% ya wasichana wanaojiuza ni wanatokea Arusha.
 
Huu mkoa vijana wavivu wanaongezeka kwa kasi sana
Wanakuja wageni wanafanya kazi wanaondoka na mpunga
Mkoa huu kijana wa kiume anawaza kupata demu ama bibi wa kizungu
Kutwa kufuga rasta akiamini utamtoa

ukitaka kuamini hilo nenda sehemu za starehe kisha akatishe mzungu ukienda sehemu kama the hub huwa vijana wanakaa chooni kabisa kuwinda wadada wa kizungu

Ukija wadada wa arusha ndo balaa dating app zote wapo wanajiuza kwa kigezo cha kufanya models
Unakuta kadada ka miaka 20 kapo na babu wa miaka 75
Hata zanzibar 50% ya wadad wanaojiuza ni wanatokea arusha
Mikoa Arusha na Kilimanjaro sio mikoa ya kuishi binadamu

USSR
 
Acha ujinga. Tabia za watu wawili watatu siyo tabia jumuishi wa vijana wa Arusha. Njoo takwimu za NBS ndio tujue vijana wa wapi wavivu.
 
Hakika watu wa huku ni mdebwedo sana
Acha ujinga. Tabia za watu wawili watatu siyo tabia jumuishi wa vijana wa Arusha. Njoo takwimu za NBS ndio tujue vijana wa wapi wavivu.
nenda NBS wewe ukalete
Hao ndio msingi kiuno
kina balati mpaka wanahongwa discover n majizo
Vijana wengi hawana marinda.
😂 barati dogo mmoja nasikia majizo alimhonga mpaka discover 4
 
Wewe kama hautokei Arusha na ni mchapakazi inatosha waache na uvivu wao watakula walichopanda. Hizo pilipili za shamba unafungua Uzi...
 
Huu uzi ni wa chuki mno. Arusha na Moshi kuna vijana wapiga kazi kwa akili na maarifa mengi sana ingawa pia kuna uwepo wa wapumbavu kama ilivyo mikoa mingine. Kimsingi hiyo mikoa ilishapiga hatua kitambo sana ndo maana chuki dhidi yao haziishi. Vijana wengi waliotoka Arusha, Kilimanjaro na hata Manyara wako mbele sana ya muda kiasi kwamba sio rahisi kwenda sawa na vijana waliotoka mikoa mingine hasa wazaliwa wa pwani na CHATO. Washindani wa vijana wa Arusha wako Nairobi. Kwa hapa Tanzania hakuna.

Kuhusu kula vibibi vya kizungu huwa ni mbinu tu ya vijana kujipatia mitaji ili kutimiza ndoto zao. Kutafuna kibibi cha kizungu sio uhalifu. Kuna watu kibao wengine sasa hivi ni wazee walijipatia utajiri kupitia hao bibi. Ikumbukwe kupata hela ni hatua ya kwanza ila kuzimiliki hadi zikufanye kuwa tajiri ndo jambo limewashinda mikoa mingine. Hata kina dada wa Arusha pia baadhi yao wamepata utajiri kupitia papuchi. Na ni matajiri kwelikweli. Kwa kifupi watu wa Arusha wanaweza kumiliki pesa ndo maana chuki dhidi yao haziishi.
 
You nailed it all.
 
Back
Top Bottom