Tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Dar, Mwanza na Arusha

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,118
27,122
Wakati tukiwa tunasubiri kuwaona Max na Pacome wakifanya vitu vyao pale mjini Chigali, tujifunze kitu kuhusu tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Arusha, Dar na Mwanza.

Nitajikita zaidi kwenye behaviour ya mashuhuda wa ngumi. Hii itakusaidia wewe kijana mpambanaji unae safiri katika mikoa mbalimbali Tanzania kujua jinsi ya ku behave unapokuwa kwenye mikoa hiyo.

1. Ngumi za Dar.

Mara nyingi huwaga zinaishia katikati. Zinaendaga kama watu wanataka kupigana vile halafu kabla hawajapigana huwaga lazima kitu kitokee unashangaa watu hawapigani.

Inakuwaga like JAMAA no.1: " Mwana ntakuzingua mwana!!! Mwana ntakuzingua mwana!!!"

JAMAA no.2 : " kama vipi yakanyage( akimaanisha peleka majeshi au Anza kurusha ngumi)

Yatafuatia matusi ya mama hapo yakichagizwa na kiambishi cha " msng" watu watasimama hapo, kama wanataka kupigana vile halafu something must happen katikati kabla ngumi hazijaanza. Unashangaaga tu he hawa jamaa hawajapigana???!!!. in addition to that kunakuwaga na vibraza fulani hivi ( from 40s to early 50s) vinakujaga kuamua huku vikitoa wosia like " wadogo zangu acheni kujiletea matatizo wadogo zangu etc"

So kama unajijua huwezi kupigana ngumi lakini hutaki kuonekana mnyonge, ukiwa Dar halafu inatokea situation, wewe jifanye kama upo tayari kupigana vile kwa sababu kuna kitu huwaga lazima kitokee katikati plus kuna watu huwaga wanakujaga kuamua (ila angalizo, inategemea na mitaa na mitaa plus na aina ya watu. )

2. Mwanza

Watu wa Mwanza wanapenda kuangalia ngumi kupita kitu chochote. (Nahisi kwa sababu kuna wakurya wengi huko) kuna siku nilikuwa Mwanza mitaa ya Rwagasore(Makoroboi?) Zikatokea ngumi. Wakati ngumi zinaendelea watu wamezunguka wana angalia kama burudani vile huku wanashangilia. Baadae akaja jamaa mmoja hivi anataka kuamua. Watu wakamwabia " we jamaa vunga hivyo hivyo usituharibie starehe yetu" Nikamwambia Mwenyeji wangu(mtu wa Mwanza)" kaka tusepe" akanijibu " dah bro are you serious yani tunaondoka vipi sasa hivi wakati ngumi bado hazijaisha aisee"( na tulikuwa tunaenda sehemu muhimu)
Ngumi zimeisha ( Ngumist mmoja alikimbia) jamaa mmoja anamfuata yule alie kuwa anataka kuamua na kumwambia " Mike Tyson anapigana na Evander mwaka 96,ngumi zinapiganwa saa kumi usiku sisi tunaenda kibanda umiza/bar saa mbili asubuhi tunashinda hapo tunakunywa chai cha mchana a usiku na pombe juu kisha tunakesha hadi saa kumi usiku ili tuangalie ngumi halafu leo zinakuja ngumi za bure bure wewe tena unataka kutuharibia starehe we vipi wewe"

Kiufupi ngumi za Mwanza watu huwa hawaamui. Mnaopigana inabidi eidha mjiamue wenyewe au ukizidiwa ukimbie au uombe msamaha yaishe au ujifanye umezimia na uwe umezimia kweli maana yake wanaweza kukumwagia maji ya baridi uzinduke uendelee kutoa burudani.

Ukikuta sehemu ya wastaarabu sana wataamua baada ya mmoja kuzidiwa sana like unapigwa ngumi kama ishirini hivi bila majibu.

So kama unajijua huwezi kupigana ngumi usijaribu kabisa kutaka kupigana ukiwa Mwanza. Usitegemee watu watakuja kuamua kama Dar. Hakunaga hiyo. Halafu kuwa makini sana na tusi la mamayo au msng unapokuwa Mwanza. Watu wa Mwanza huchukulia tusi hilo kwa uzito mkubwa na ni sababu kubwa kabisa ya kupigana ngumi...

3. ARUSHA

Ngumi za Arusha sasa ndo usipime. Arusha wahuni wakianza kupigana ngumi inabidi nyinyi nyinyi mlio karibu ndio mkimbie. Arusha ngumi zikianzaga tu raia wanakimbia,unasikia watu wanasema jamani kuna ngumi huku wahuni wanapigana. Kila.mtu anakimbia. Watu hawataki ushahidi mahakamani au kujeruhiwa. Kwa sababu ngumi za Arusha wanaopigana wanaumizana na nyie mnao angalia pia mnaweza kujeruhiwa vilevile. Tofauti ya risk anayo weza kuipata mtu anaepigana ngumi Arusha na anae Tazama ni sifuri kwa sababu wote wanaweza kujeruhiwa.

Wanao weza kuangalia ngumi za Arusha ni watoro wa kihuni.

Pigana ukiwa Dar. Mwanza usipigane. N.a. ukiwa Arusha usijaribu hata kusogea kwenye ngumi.
 
Hapo kwenye ngumi za Mwanza umenifurahisha mkuu
 
Huko kibosho, mkibosho akikuchomolea kisu lazma kirudi na damu hatishii ... Hawajui ngumi 😄😄😄
Sijui kwa vile kazi zao za mabucha ya nyama huwapawepesi..
N.a. Musoma na Tarime ngumi zao nasikia huwaga lazima mtu afe. Ndo hiyo unasikia jamaa kafungwa miaka thelathini ukiuliza kafanya kosa gani? Unajibiwa alikuwa anapigana ngumi. Ukiuliza he yani ngumi tu ndo mtu afungwe miaka 30? Unaambiwa sio kama ngumi za kwenu mjini. Ngumi za Tarime watu huwaga wanapigana mpaka mtu anakufa
 
Ndi
Wakati tukiwa tunasubiri kuwaona Max na Pacome wakifanya vitu vyao pale mjini Chigali, tujifunze kitu kuhusu tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Arusha, Dar na Mwanza.

Nitajikita zaidi kwenye behaviour ya mashuhuda wa ngumi. Hii itakusaidia wewe kijana mpambanaji unae safiri katika mikoa mbalimbali Tanzania kujua jinsi ya ku behave unapokuwa kwenye mikoa hiyo.

1. Ngumi za Dar.

Mara nyingi huwaga zinaishia katikati. Zinaendaga kama watu wanataka kupigana vile halafu kabla hawajapigana huwaga lazima kitu kitokee unashangaa watu hawapigani.

Inakuwaga like JAMAA no.1: " Mwana ntakuzingua mwana!!! Mwana ntakuzingua mwana!!!"

JAMAA no.2 : " kama vipi yakanyage( akimaanisha peleka majeshi au Anza kurusha ngumi)

Yatafuatia matusi ya mama hapo yakichagizwa na kiambishi cha " msng" watu watasimama hapo, kama wanataka kupigana vile halafu something must happen katikati kabla ngumi hazijaanza. Unashangaaga tu he hawa jamaa hawajapigana???!!!. in addition to that kunakuwaga na vibraza fulani hivi ( from 40s to early 50s) vinakujaga kuamua huku vikitoa wosia like " wadogo zangu acheni kujiletea matatizo wadogo zangu etc"

So kama unajijua huwezi kupigana ngumi lakini hutaki kuonekana mnyonge, ukiwa Dar halafu inatokea situation, wewe jifanye kama upo tayari kupigana vile kwa sababu kuna kitu huwaga lazima kitokee katikati plus kuna watu huwaga wanakujaga kuamua (ila angalizo, inategemea na mitaa na mitaa plus na aina ya watu. )

2. Mwanza

Watu wa Mwanza wanapenda kuangalia ngumi kupita kitu chochote. (Nahisi kwa sababu kuna wakurya wengi huko) kuna siku nilikuwa Mwanza mitaa ya Rwagasore(Makoroboi?) Zikatokea ngumi. Wakati ngumi zinaendelea watu wamezunguka wana angalia kama burudani vile huku wanashangilia. Baadae akaja jamaa mmoja hivi anataka kuamua. Watu wakamwabia " we jamaa vunga hivyo hivyo usituharibie starehe yetu" Nikamwambia Mwenyeji wangu(mtu wa Mwanza)" kaka tusepe" akanijibu " dah bro are you serious yani tunaondoka vipi sasa hivi wakati ngumi bado hazijaisha aisee"( na tulikuwa tunaenda sehemu muhimu)
Ngumi zimeisha ( Ngumist mmoja alikimbia) jamaa mmoja anamfuata yule alie kuwa anataka kuamua na kumwambia " Mike Tyson anapigana na Evander mwaka 96,ngumi zinapiganwa saa kumi usiku sisi tunaenda kibanda umiza/bar saa mbili asubuhi tunashinda hapo tunakunywa chai cha mchana a usiku na pombe juu kisha tunakesha hadi saa kumi usiku ili tuangalie ngumi halafu leo zinakuja ngumi za bure bure wewe tena unataka kutuharibia starehe we vipi wewe"

Kiufupi ngumi za Mwanza watu huwa hawaamui. Mnaopigana inabidi eidha mjiamue wenyewe au ukizidiwa ukimbie au uombe msamaha yaishe au ujifanye umezimia na uwe umezimia kweli maana yake wanaweza kukumwagia maji ya baridi uzinduke uendelee kutoa burudani.

Ukikuta sehemu ya wastaarabu sana wataamua baada ya mmoja kuzidiwa sana like unapigwa ngumi kama ishirini hivi bila majibu.

So kama unajijua huwezi kupigana ngumi usijaribu kabisa kutaka kupigana ukiwa Mwanza. Usitegemee watu watakuja kuamua kama Dar. Hakunaga hiyo. Halafu kuwa makini sana na tusi la mamayo au msng unapokuwa Mwanza. Watu wa Mwanza huchukulia tusi hilo kwa uzito mkubwa na ni sababu kubwa kabisa ya kupigana ngumi...

3. ARUSHA

Ngumi za Arusha sasa ndo usipime. Arusha wahuni wakianza kupigana ngumi inabidi nyinyi nyinyi mlio karibu ndio mkimbie. Arusha ngumi zikianzaga tu raia wanakimbia,unasikia watu wanasema jamani kuna ngumi huku wahuni wanapigana. Kila.mtu anakimbia. Watu hawataki ushahidi mahakamani au kujeruhiwa. Kwa sababu ngumi za Arusha wanaopigana wanaumizana na nyie mnao angalia pia mnaweza kujeruhiwa vilevile. Tofauti ya risk anayo weza kuipata mtu anaepigana ngumi Arusha na anae Tazama ni sifuri kwa sababu wote wanaweza kujeruhiwa.

Wanao weza kuangalia ngumi za Arusha ni watoro wa kihuni.

Pigana ukiwa Dar. Mwanza usipigane. N.a. ukiwa Arusha usijaribu hata kusogea kwenye ngumi.
Ndio maana sipapendi Arusha. Siwezi kaa sehemu yenye vichaa wengi kuliko watu wenye utimamu.
 
Back
Top Bottom