WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Serikali itaendelea kufunga taa katika barabara mbalimbali nchini ili kupunguza ajali za usiku na kuendana na kasi ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
Akizungumza Mei 21, 2026 jijini Dodoma kabla ya kuingia bungeni, amesema hatua hiyo pia inalenga...
Tutajenga na kuweka Barabara nyingi Taa za barabarani kwa ajili ya maandalizi ya AFCONMkwa mfano hii Dar na Arusha tu peke yake matarajio yetu ni taa za karibu Bilioni 40, na hii ni mipango tu, na hii itafanikiwa kwa kupitishiwa bajeti hapa bungeni.
Hii ndiyo Mipango ya Wizara ya Ujenzi...
Mimi ni mkazi wa Njiro, Arusha katika maeneo ya kwa Msola na kwa Mrimba karibu na Climax Resort. Tumekaa karibu wiki mbili sasa bila maji, na hali hii imekuwa ikijirudia mara kwa mara tangu mwezi Januari.
Kila tunapowasiliana na Arusha Urban Water Supply and Sanitation Authority (AUWSA)...
binafsi kadri ninavyozidi kuiona Arusha ya sasa ndiyo nazidi kuvunjika moyo. Mkoa una sifa kubwa, utalii, hali ya hewa nzuri, opportunities kibao… ila ustaarabu wa watu na mfumo wa maisha ndiyo vinaharibu kila kitu.
Vijana wengi wa Arusha wanaishi maisha ya kujitoa ufahamu sana. Wengine...
Hapa karibuni kumekuwa na kisa cha mtoto aliyetambaa hadi ndani ya gari ya jirani, jambo ambalo bila CCTV kungekuwa na tuhuma za kuteka, uchawi na hata kuletea mtuu kuuwawa au kuungwa.
Lakini wakati tukitafakari hili tukumbeke kwamba hivi karibuni serikali imepiga marufuku CCTV kuelekezwa zaidi...
Jeshi la polisi mkoani Arusha limesema katika kipindi cha Aprili 18, 2026 hadi sasa, watuhumiwa 176 wamehukumiwa vifungo mbalimbali vya makosa ya jinai ikiwemo ulawiti, ubakaji, wizi, dawa za kulevya, pamoja na kupatikana na nyara za serikali baada ya kufikishwa Mahakamani.
Akitoa taarifa hiyo...
Maandalizi ya Mkutano wa 60 wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), unaotarajiwa kufanyika tarehe 22 Mei 2026, yameanza rasmi kupitia vikao vya ngazi ya wataalamu vinavyoendelea kuanzia tarehe 18 hadi 20 Mei 2026 katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha...
Hizi Sinoray mpya umeme ni mwisho wa matatizo. Zina speed kubwa sana kiasi cha kufanya sio rahisi kushikwa.
Vijana wa kirangi na chuga wanazitumia kama fursa ya kusafirishia mirungi na bangi kutoka border za Kenya kuleta Tanzania.
Ukikutana nao hiyo convoy kaa chonjo maana wanakuwa na mapanga...
Kuna uzembe wa kukithiri katika utendaji wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (Government Procurement Services Agency - GPSA) Mkoa wa Arusha kipindi hiki kigumu, unaletaje gari moja ya mafuta inahudumia Kanda nzima ya Kaskazini.
Tuliomba wafanye shortlist ya baadhi ya vituo vya mafuta...
Anonymous
Thread
arusha
huduma
mafuta
serikalini
ununuzi
wakala
watendaji
wazembe
Wananchi tunaoishi Moshono Arusha tunapata sana shida ya usafiri wakati wa asubuhi tunapoenda kwenye shunguli zetu na jioni tunaporudi majumbani.
Hali hii imechangiwa na baadhi ya madereva wa daladala zinazoenda Moshono kuzuia Bajaji zilizokuwa zinafika hadi Moshono zisiende tena Moshono na...
Jamani sisi Wanangorongoro tunateseka sana wakati wa kusafiri kutoka Arusha Mjini kwenda Loliondo, kinachotusumbua ni upandashwaji wa nauli kiholela bila ya kufuata utaratibu uliowekwa na LATRA.
Kampuni ya Loliondo Coach ndiyo kampuni pekee inayotuhudumiwa.
Nauli ilikuwa ni TSH 18,000...
Anonymous
Thread
arushaarusha mjini
hii
kutoka
latra
loliondo
mjini
sawa
usafiri
Huku Arusha kata ya Lemara mtaa wa Kikwakwaru B tuna shida ya maji yapata mwezi mmoja sasa hatuna maji kabisa!
Tukapata taarifa kwamba kuna bomba limeharibika na linafanyiwa kazi lakini mpaka leo hii hakuna maji au yanatoka kwa pressure ndogo sana tena usiku wa manane.
Cha ajabu ni kwamba...
Anonymous
Thread
arusha
hatuna
idara
idara ya maji
maji
maji arusha
mmoja
mtaa
mtaani
mwezi
mwezi mmoja
mzima
shida
shida ya maji
taarifa
tuna
yapata
"Busara” za mchungaji Msigwa. Ziite utakavyo lkn kuna sense aliloliandika.
Ameandika Mch. Peter Msigwa
Historia inaonyesha:
mataifa mengi duniani hayakuanguka kwanza kwa sababu ya vita au mapinduzi bali ,
Yalianza kudhoofika taratibu pale ambapo mamlaka isiyo rasmi inaanza kuogopwa kuliko...
Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 haikutungwa na wananchi. Ilitungwa na kamati maalumu ya wanaCCM hawakuzidi hata watu ishirini.
Ndio maana inawafanya CCM kudhurumu uchaguzi na kukaa madaraknai kwa nguvu. Katiba inasababisha kuwa tume ya uchaguzi isiwe huru
Leo...
Baada ya kipindi kirefu cha CHADEMA kufungiwa kufanya shughuli za kisiasa, hatimaye leo umefanyika mkutano mkubwa jijini Arusha ukiongozwa na Lema na Boniface Jaco
Nyomi ya watu ilikuwa si ya kawaida, hali ya hewa na mazingira vilikuwa vizuri sana, na mwitikio wa wananchi umeonyesha wazi kuwa...
Kipindi Makonda akiwa Rc Arusha alitoa ushauri kwa polisi wa usalama barabarani kupunguza usumbufu kwa wenye vyombo vya moto
Kitendo kilicho saidia hata kupunguza foleni barabarani.
Nita jaribu kutoa mifano ya usumbufu uliopo sasa barabara za Arusha mjini baada ya Makonda kuondoka.
Kama una...
Napenda kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu hali ya watoto wanaolelewa katika kituo cha watoto yatima kinachojulikana kama Shalom Center, kilichopo Kisongo, Arusha.
Kwa masikitiko makubwa, kuna taarifa zinazoonyesha kuwa watoto katika kituo hicho wanakumbana na vitendo vya ukatili na...
Hawa LATRA Arusha ni kama wana share kwenye vyombo vya usifiri au kuna bahasha wanapitiziwi ili wakae kimya.
Nauli mpya zimeanza kutumika mei mosi, ila cha ajabu Arusha ndio sehemu pekee Dalaladala wana kiwamgo chao cha nauli nje ya nauli zilizo tolewa na LATRA na mbaya zaidi LATRA wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.