Inasikitisha sana kitengo hiki watu wanajifanya miungu watu na hawawezi kuguswa na mtu yeyeote, sasa Mheshimiwa Rais tunakuomba sana sie wakazi wa Dodoma jiji utusaidie sana maana watu wanaporwa ardhi na kuwapa madalali wauze na hivyo kuwafanya wananchi kujisikia kuwa serikali yao haiwajali...