ardhi

  1. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Uvamizi wa Marekani uliopora uhuru na ardhi ya Hawaii

    Ungana nami mhabarishaji wako ASIWAJU katika makala hii fupi inayo elezea uvamizi wa marekani katika eneo la HAWAII ulivyo acha simanzi kubwa kwa wakazi wa eneo hilo. Makala hii imeandaliwa na kuhaririwa na BBC NEWS karibuni muungane nami mwanzo mpaka mwisho wa makala hii. ----- Mfalme...
  2. Sagungu 1914

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria Kwa mtu aliyekatalia kutoka kwenye kiwanja baada ya usuluhishi wa baraza la ardhi la kata kuamua aondoke

    Ndugu wanajamii naomba msaada wenu wa kisheria, kuna jamaa tumepelekana kwenye baraza la ardhi la kata baada ya kung'ang'ania kwenye kiwanja Cha familia hii ni baada ya yeye kuja kuomba kukaa pale Kwa muda, tulipo taka kwenda kujenga akakataa kuwa kile kiwanja ameisha pewa na serikali ya Kijiji...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jinsi ubepari wa ardhi unavozidi kutesa watu

    Sio neno geni kusikia mabepari. ubepari ni mfumo wa kuongoza unaoruhusu mtu kua na mali yake binafsi. Ni mambo mengi nchi kama ya kwetu imejikuta ikifata fomula ya kibepari japo sio kwa asilimia kubwa au kutokana na nchi yetu bado inaendelea. Kwa nchi zilizoendelea ubepari una nafasi kubwa...
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tumekwenda Marekani kufundishwa kutumia ardhi yetu kwa kilimo au kuiba teknolojia ya kuongeza mnyororo wa thamani kwenye bidhaa zetu!?

    Wakenya wanaongoza kwa kununua bidhaa za Tanzania, lakini ni bidhaa ambazo hazijaongezwa uthamani, malighafi (raw material) na Kenya wanaongoza kwa kuziongeza uthamani bidhaa hizo na kwenda kuziuza Dubai, Ulaya, Marekani na zinazobaki wanazileta tena kutuuzia Watanzania, nafurahi kuwa tumekwenda...
  5. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Nani aliwahi kuona mtu aliyeuza ardhi ya ukoo baada ya kugawana wanafamilia alifanya maendeleo?

    Habari wanajf, binafsi nimekuwa na maswali mengi nikijiuliza nmeshuhudia watu wengi wanaouza maeneo baada ya kugawana aidha Mara baada ya wazazi wao kufariki huwa hawafanyi chochote. Jamani Nani amewahi ona tofauti na Mimi kwamba mtu kauza ardhi iliyokuwa ya baba yake kajenga nyumba nzuri?
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Manyara: Naibu Waziri Pauline Gekul atuhumiwa kuchochea migogoro ya ardhi

    RC Makongoro Nyerere ametoa tuhuma hizo dhidi ya Gekul na kumtaja pia Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji, Babati, Abdulrahaman Kololi kwa kuwatuma wananchi kuvamia shamba la mwekezaji Amemwagiza RPC George Katabazi kuwakamata waliovamia shamba wahojiwe hadi wawataje wanaowatuma, na kudai kuwa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wanasiasa wanachochea migogoro ya ardhi?

    Katika hotuba ya Rais Samia Suluhu leo amegusia suala la migogoro la ardhi amesema kuwa: "Wakati wananchi wanavamia maeneo, wanasiasa hatuwaambii wananchi ukweli, tunawaangalia wakivamia na badala yake tunakuja kusimama kutetea wavamizi wa maeneo yale [..] lengo ni kupata kura huko baadaye...
  8. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Rais wetu Samia, turudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi. Kwa sasa ni mateso, kiburi na rushwa iliyokithiri

    Rais wetu mpendwa Mama Samia ikikupendeza tunakuomba sisi wananchi wako wanyonge uturudishie mnyonge mwenzetu Mh. Lukuvi, alipamudu alipanyoosha nidhamu ilikuwepo haki ilikiwepo heshima ilikiwepo uwajibikaji ulikuwepo usikivu ulikuwepo. Aidha kama hili litakushinda tuwekee dawati hapohapo...
  9. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Kwanini wenyeviti Serikali za mtaa/Vijiji hawashitakiwi mahakamani au kufungwa kwa kushiriki utapeli/wizi wa ardhi?

    Wadau hawa jamaa wanashiriki mno ktk wizi WA ardhi kwa makusudi. Mbona sisikii wakifungwa au walau wakipandishwa kizimbani? Yaani hata akijua mahali ni open space au palishauzwa, maadam tu wamekuja watu wanataka kuuziana, anasaini, anatia mihuri anaomba 10% anasepa. Wanaogopwa? Kunani? Wengi...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine waapa kutoachia hata kipande cha ardhi, waendelea kusonga mbele

    Mapigano makali yanaendelea, wazalendo wa Ukraine wanazidi kusonga mbele, vitabu vya historia vitaandikwa kuwakumbuka hawa vijana namna walijitoa mhanga kukomboa ardhi yao, mito yao, mashamba yao, milima yao, bendera yao. Tangu Mrusi alipojaribu kuparamia Kyev, vijana walijitokeza kwa kubeba...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kiini cha mgogoro uliosababisha kufutwa vijiji 5 na vitongoji 47 Mbarali

    Oktoba 26, 2022 Serikali ilitangaza uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuhusu mgogoro wa eneo linalodaiwa kuwemo katika bonde la Ihefu wilayani Mbarali. Uamuzi huo uliotangazwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Mabula ulipokewa kwa utulivu, lakini kwa hisia tofauti. Katika...
  12. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania Kuna uwekezaji wa faida na uhakika Tanzania kama Kwenye Ardhi?

    Ni swali hili. Niko kwenye Biashara hii muda wa miaka miwili sasa, kiwanja unaweza kununua asubuhi 4M. Jioni akaja mtu anataka umuuzie kwa 5M. Ardhi haishuki thamani. .... Kuna hivi nauza✍️ Unatafuta kiwanja sehemu nzuri iliyojengeka, karibu, Usafiri usiosumbua na mahali palipo na huduma zote...
  13. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuwa invisible, kuwasha nuru yako ya rohoni na kutumia nguvu ya ardhi na anga ili ufanikiwe

    Uandishi sio mzuri sana UTANGULIZI Kwanin watu ambao ni devoted kwa Mungu inawawia ngumu sana kufanikiwa mfano kwanin waimbaji wengi wa kwaya au injili hawafanikiwi kama wasanii wanaoimba nyimbo za Dunia, kwanin ni ngumu sana kukuta tajiri na ameokoka hata kama unamafanikio kitendo Cha kusema...
  14. Zero Star

    JamiiForums Tanzania Tetetemeko la ardhi Tabora

    Nimehisi tetemeko la ardhi muda Huu kwa muda wa takriban sekunde tatu. Naripoti kutoka Tabora
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Iringa: Wanakijiji wamtuhumu mwenyekiti wao kuwapora ardhi

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Hassan Moyo ameingilia kati mgogoro wa ardhi kati ya wakazi wa Kijiji cha Mgera Kata ya Kiwele, Wilayani Iringa na Mwenyekiti wa kijiji hicho, Lucas Mgata kwa kuzuia shughuli yoyote isifanyike katika eneo hilo hadi watakapopata ufumbuzi. Wanakijiji hao wakiwemo wazee...
  16. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Urusi imeingia kwenye 18 ya Marekani, dunia ijiandae kuona majimbo mapya ya Marekani katika ardhi ya Urusi

    Za asubuhi ndugu zangu, kwema? Kwa wale wanajamii forums wenzangu wafuatiliaji wa siasa za kibabe na za kimikakati za nchi za magharibi hasa Marekani. Bila shaka mtakubaliana na mimi kwamba sasa Russia (itake isitake) inakwenda kugawana baadhi ya majimbo yake ya mpakani na Marekani kupitia...
  17. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Majibu ya hoja za uzi kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani nitajibu humu

    Habari za muda huu wana Jf, nimeona na kusoma comments zote za uzi wa Retired wenye kichwa cha habari " Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani? Nilichogundua watu wamekosa umakini kwa kiwango kikubwa watu wengi wanajadili bila facts na porojo nyingi sasa nimejipanga kujibu baadhi ya hoja...
  18. Samba

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya interview Chuo cha Ardhi kwa kada ya Assistant Lecturer - ICT yarekebishwe

    Hivi kama tume ya ajira/Chuo cha Ardhi mnakosea matokeo ya watu 8 tu, inakuwaje kwa watu 100-800? Ni kweli watu wanawekewa matokeo yao kwa usahihi? Mtu wa quality assurance anafanya nini mpaka matokeo haya yanarushwa kwenye tovuti ya PSRS? Watu 8 tu?
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

    Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi, miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mabeberu: Ni haki wao kudhulumu ardhi na rasilimali za nchi zingine, bali ni dhambi kwa wengine kukaribishwa na nchi nyingine kuwa washirika!

    Mpaka leo Marekani inakalia kwa nguvu sehemu kubwa tu ya ardhi ya Syria na wanachimba mafuta huko kwa kuwatumia waasi!! Hutawasikia umoja wa mataifa ukilalamikia hilo!! Marekani iliingia Syria kwa nguvu kwa lengo la kumng'oa rais Saad wa Syria. Urusi ilialikwa na syria ili itoe msaada na urusi...
Back
Top Bottom