ali msham

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    Kuelekea sikukuu ya uhuru wa Tanganyika: Historia ya Mshume Kiyate na Ali Msham

    Mshume Kiyate akiishi Kariakoo Mtaa wa Tandamti na Ali Msham Magomeni Mapipa Mtaa wa Jaribu. Wote wawili walikuwa wanachama shupavu wa TANU na marafiki wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Mama Maria Nyerere. Itapendeza sana kama tutawazawadia mitaa waliyoishi kama kuonyesha...
  2. Mohamed Said

    Mwanahistoria Francis Daud Alipotembelea Nyumba ya Ali Msham Magomeni Mapipa

    MWANAHISTORIA FRANCIS DAUD ALIPOTEMBELEA NYUMBA YA ALI MSHAM MAGOMENI MAPIPA DAR ES SALAAM Historia ya Ali Msham ni katika historia zinazosisimua za wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika kwa hali na mali zao lakini historia imewasahau. Lau kama si picha alizoacha Ali Msham baada ya kifo...
  3. Mohamed Said

    Ali Msham, Julius Nyerere na Wanachama wa TANU Tawi la Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa 1954

    ALI MSHAM, JULIUS NYERERE NA WANACHAMA WA TANU WA TAWI LA MTAA WA JARIBU MAGOMENI MAPIPA 1954 Watoto wa Ali Msham walizihifadhi picha hizo hapo chini kwa zaidi ya miaka 60. Miongo sita imepita hadi picha hizi kufika mikononi kwangu na ndiyo ikawa sababu ya historia ya Ali Msham mzalendo...
  4. Mohamed Said

    Historia ya Ali Msham na Julius Nyerere

    ''Habari Leo'' gazeti la serikali la tarehe 14 December 2022 limechapa makala hayo hapo chini:
  5. Mohamed Said

    Picha ya Ali Msham na Iddi Faiz Mafungo ndani ya kumbukuzi ya nyumba ya Baba wa Taifa

    PICHA YA ALI MSHAM NA IDDI FAIZ MAFUNGO NDANI YA NYUMBA YA KUMBUKIZI YA BABA WA TAIFA Jana nimeeleza kazi ya Jaffar Mponda katika kutayarisha kipindi cha Nyerere Day. Jaffar Mponda alikuwa keshamaliza kazi kubwa katika kupita kote alikopita Mwalimu Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa...
  6. Mohamed Said

    Historia ya Ali Msham, mwalimu na mama Maria Nyerere Magomeni Mapipa 1954

    Katika historia za wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika lakini wamesahaulika historia ya Ali Msham ina sehemu ya pekee moyoni kwangu. Tafadhali isikilize historia yake:
  7. Mohamed Said

    Kipindi maalum cha Ali Msham IBN TV Africa

    KIPINDI MAALUM CHA ALI MSHAM IBN TV AFRICA Leo nimetembelewa na mtangazaji Hemed Lubumba wa IBN TV ili tufanye kipindi cha Ali Msham. Ali Msham alikuwa mpigania uhuru. Mengi tumeyapata kwa msaada wa picha zilizopigwa na mpiga picha maarufu wa nyakati zile za kupigania uhuru wa Tanganyika...
Back
Top Bottom