ajira

  1. SoC03 Mabadiliko ya mifumo ya elimu katika kupambana na changamoto ya ukosefu wa ajira

    Ukosefu wa ajira umekua ni changamoto kubwa Katika nchi ya Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani. Changamoto hii Kwa kiasi kikubwa imechangiwa Kwa kiasi kikubwa na mifumo mibovu ya elimu Katika nchi yetu ambayo haikidhi vigezo vinavyohitajika kwenye soko la ajira na Dunia inayokuwa Kwa kasi...
  2. Majina ya walioitwa kazini na Wizara ya Afya kwa walioomba kazi 2023

    Wizara ya Afya inapenda kuwataarifu waombaji wa ajira za kada za afya zilizotangazwa kwenye Tovuti ya Wizara ajira.moh.go.tz tarehe 21 Aprili, 2023 na kufungwa tarehe 04 Mei, 2023 kwamba taratibu za kuchambua maombi ya kazi zimekamilika. Waombaji wote waliofaulu na ambao majina yao...
  3. R

    SoC03 Jinsi application ya simu inavyoweza kutatua tatizo la ajira nchini

    JINSI APPLICATION YA SIMU INAVYOWEZA KUTATUA TATIZO LA AJIRA - CAREER APPLICATION Utangulizi Upatikanaji wa ajira umekuwa ni changamoto kubwa kwa mataifa mengi duniani ikiwemo Tanzania. Hii ni kutokana na ongezeko kubwa la watu hususani vijana ambao huhitimu masomo yao huku nafasi za ajira...
  4. Katika hili suala la bandari, Serikali imeangalia maslahi yake au wananchi kwa ujumla?

    Hapo vip! Na nimeuliza hivyo kwasababu mtu mmoja anaweza kutumia mgogo wa serikali kupitisha mikataba yenye maslahi yake na vibaraka wenzake na sio ya wananchi kwa ujumla. Kwasababu maslahi ya mwananchi kwa bandari ni ajira,usalama,ownership ya raslmali ya nchi na ufahari juu ya rasilimali ya...
  5. R

    SoC03 Soko la ajira nchini kwetu

    Mfumo wa elimu nchini kwetu Tanzania umekuwa ukienda tofauti sana na soko letu la ajira hii inatokana na kauli mbiu ya kwamba alieshiba hamtambui kwenye njaa Wito wangu na maoni yangu katika Serikali kwa mfano kwa mwaka inauwezo wa kustaafisha wafanyakazi 2000 kwa wakati huo huo wahitimu...
  6. Fursa za Ajira kwa Vijana Zinasaidia Kuongeza Kodi kwa Serikali

    MHE. GEOFFREY MWAMBE ASEMA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA ZINASAIDIA KUONGEZA KODI KWA SERIKALI "Nakishukuru Chama Cha Mapinduzi kinachoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutupigania watanzania na Jimbo la Masasi kuhakikisha changamoto za...
  7. Ajira mpya wapata mishahala wengine bado

    Ni Jambo la kufurahisha, tayari baadhi ya watumishi serikalini,ajira mpya 2023 wamepata mishahara yao ndani ya mwezi wa sita baada ya kuripoti kwa wakati, japo wapo watumishi wengine wengi nao mchakato unaendelea. Kongole kwa serikali kwa kujua mazingira magumu ya watumishi wapya na kuwawaishia...
  8. Unamshauri nini mtumishi mpya wa umma ili afanikiwe kwenye ajira yake?

    Habari za wakati huu, kama ambavyo mnafahamu Serikali imetoa ajira mpya nyingi tu na watu bado wanaendelea kujiunga na utumishi wa umma katika kada mbalimbali, kuna ambao wametoka fresh from school, wengineo kwenye sekta binafsi pamoja na ujasiriamali n.k Kama inavyofahamika kwenye ajira yoyote...
  9. R

    SoC03 Watoto wafundishwe haya mashuleni kwa suluhisho la ajira

    Tatizo la ajira kwa vijana limekuwa moja kati ya matatizo makubwa sana yanayosumbua jamii zetu. Tatizo hili limekuwa chanzo cha matatizo mengine mengi kama vile uporaji (panya road), ulevi uliopindukia, umalaya, migogoro mbalimbali kwenye familia inayopelekea familia kuvunjika. Vijana wanaambiwa...
  10. K

    Naomba ushauri: Kati ya kozi ya Business administration na clinical medicine ipi bora na ajira zake zinapatikana sana?

    Habari jamani Naomba ushauri je kati ya kozi ya Business administration na clinical medicine ipi bora na ajira zake zinapatikana sana
  11. Sera mpya ya kusimamia ajira za walimu ifikapo Septemba 2023

    SERA MPYA YA KUSIMAMIA AJIRA YA WALIMU IFIKAPO SEPTEMBA 2023 Wasalaamu wapendwa, natumaini tuwazima wa afya! Nimesikia chama cha Walimu kimepinga vikali. Mimi nadhani kuna mambo tunachanganya. Tuna haja ya kuwa na chombo maalum cha kusimamia taaluma ya ualimu. Nikimanisha Bodi ya Ualimu. Hii...
  12. M

    SoC03 Ukweli usemwe! Kijana usipojifunza kutafuta pesa umasikini ni rafiki yako

    Tunatumia pesa kila siku na tunahitajika kutafuta pesa kila siku usiruhusu siku ipite bila kutengeneza pesa,na njia pekee ya kutengeneza pesa nikujifunza kutengeneza pesa.naumia sana nikimuona kijana mwenzangu wasasa pamoja na fursa zote hizi zilizopo bado anashindwa kujipatia kipato chochote...
  13. Natafuta Kazi Civil Engineering

    Habarii ndugu zangu Watanzania,Mimi ni mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzii (ordinary diploma in civil engineering) kutoka chuo Cha ufundi Arusha mwaka 2020.Natafuta kazi kwenye sekta binafsii au hata kama mtu anawezaa kujitolea kunipa connection serikalini Nitashukuru maisha mangumu mtaanii.
  14. Kuongeza Kazi Zenye Hadhi/Staha ni Muhimu Katika Kupunguza Pengo la Usawa Duniani

    Kazi zenye hadhi/staha (decent work) ni kazi zinaofuata misingi ya haki, usawa, usalama, na fursa za maendeleo kwa wafanyakazi. Mpango wa Kazi zenye Hadhi ni wazo lililopendekezwa na Shirika la Kazi Duniani (ILO) na linalenga kuhakikisha kuwa kila mtu anapata kazi bora na inayostahili, ambayo...
  15. SoC03 Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania

    Kichwa cha andiko letu: Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania. Utangulizi Tanzania, kama nchi nyingine nyingi, inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira kwa vijana. Hali hii imekuwa ikisababisha ukosefu wa fursa za maendeleo na kuathiri ukuaji wa...
  16. A

    Maafisa Kazi wa Wilaya na Mikoa wanawasaidiaje wafanyakazi wa Kampuni binafsi?

    Habari zenu, Ujumbe au Maoni haya naomba yafike katika wizara husika ambayo ni WIZARA YA KAZI, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU, TANZANI. Katika kila ofisi ya Wilaya na Mikoa yetu ya Tanzania, Wizara yetu imejaribu kueka maofisa wa Idara ya Kazi kwa lengo la kuratibu na kufuatilia utendaji pamoja...
  17. Utaratibu wa mikataba ya ajira

    Habari za muda huu wana JF, Naomba kwa wataalamu wa sheria hasa zile za mikataba ya ajira mnisaidie hili swali,Je,ni utaratibu wa kisheria mtu kufanyiwa probation mara mbili yaani miezi mitatu kwanza na akifaulu hapo anaingia awamu ya pili ya miezi sita au zaidi? Shukrani.
  18. F

    Wafanyakazi wa bandari, ajira zenu hazipo guaranteed kihivyo, tegemee reshufle kubwa na mnaweza kuwa maskini kama mlizoea kuishi kwa madili

    DPW wakiwasili kwenye bandari zetu mengi yatabadilika for good or for worse. Japo ningependa uwazi zaidi juu ya mkataba na DPW, najua kuna mambo yatabadilika na kuwa mazuri na mengine yatakuwa sio. Je ilishindikana kabisa kwa Serikali kuweka nguvu zake na kuibadilisha bandari ya Dar kuwa kama...
  19. Naomba kujuzwa Soko la ajira kwa kozi ya Mining Engineering

    Samahan wakuu Nmechaguliwa kusomea DIT Mining Engineering samahani nilikuwa unaulza ipo je kwa soko la ajira kwa saivi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…