ajira

  1. PAZIA 3

    Ajira mpya wapata mishahala wengine bado

    Ni Jambo la kufurahisha, tayari baadhi ya watumishi serikalini,ajira mpya 2023 wamepata mishahara yao ndani ya mwezi wa sita baada ya kuripoti kwa wakati, japo wapo watumishi wengine wengi nao mchakato unaendelea. Kongole kwa serikali kwa kujua mazingira magumu ya watumishi wapya na kuwawaishia...
  2. Just Distinctions

    Unamshauri nini mtumishi mpya wa umma ili afanikiwe kwenye ajira yake?

    Habari za wakati huu, kama ambavyo mnafahamu Serikali imetoa ajira mpya nyingi tu na watu bado wanaendelea kujiunga na utumishi wa umma katika kada mbalimbali, kuna ambao wametoka fresh from school, wengineo kwenye sekta binafsi pamoja na ujasiriamali n.k Kama inavyofahamika kwenye ajira yoyote...
  3. R

    SoC03 Watoto wafundishwe haya mashuleni kwa suluhisho la ajira

    Tatizo la ajira kwa vijana limekuwa moja kati ya matatizo makubwa sana yanayosumbua jamii zetu. Tatizo hili limekuwa chanzo cha matatizo mengine mengi kama vile uporaji (panya road), ulevi uliopindukia, umalaya, migogoro mbalimbali kwenye familia inayopelekea familia kuvunjika. Vijana wanaambiwa...
  4. K

    Naomba ushauri: Kati ya kozi ya Business administration na clinical medicine ipi bora na ajira zake zinapatikana sana?

    Habari jamani Naomba ushauri je kati ya kozi ya Business administration na clinical medicine ipi bora na ajira zake zinapatikana sana
  5. mwakajingatky

    Sera mpya ya kusimamia ajira za walimu ifikapo Septemba 2023

    SERA MPYA YA KUSIMAMIA AJIRA YA WALIMU IFIKAPO SEPTEMBA 2023 Wasalaamu wapendwa, natumaini tuwazima wa afya! Nimesikia chama cha Walimu kimepinga vikali. Mimi nadhani kuna mambo tunachanganya. Tuna haja ya kuwa na chombo maalum cha kusimamia taaluma ya ualimu. Nikimanisha Bodi ya Ualimu. Hii...
  6. M

    SoC03 Ukweli usemwe! Kijana usipojifunza kutafuta pesa umasikini ni rafiki yako

    Tunatumia pesa kila siku na tunahitajika kutafuta pesa kila siku usiruhusu siku ipite bila kutengeneza pesa,na njia pekee ya kutengeneza pesa nikujifunza kutengeneza pesa.naumia sana nikimuona kijana mwenzangu wasasa pamoja na fursa zote hizi zilizopo bado anashindwa kujipatia kipato chochote...
  7. Brightly

    Natafuta Kazi Civil Engineering

    Habarii ndugu zangu Watanzania,Mimi ni mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzii (ordinary diploma in civil engineering) kutoka chuo Cha ufundi Arusha mwaka 2020.Natafuta kazi kwenye sekta binafsii au hata kama mtu anawezaa kujitolea kunipa connection serikalini Nitashukuru maisha mangumu mtaanii.
  8. The Sheriff

    Kuongeza Kazi Zenye Hadhi/Staha ni Muhimu Katika Kupunguza Pengo la Usawa Duniani

    Kazi zenye hadhi/staha (decent work) ni kazi zinaofuata misingi ya haki, usawa, usalama, na fursa za maendeleo kwa wafanyakazi. Mpango wa Kazi zenye Hadhi ni wazo lililopendekezwa na Shirika la Kazi Duniani (ILO) na linalenga kuhakikisha kuwa kila mtu anapata kazi bora na inayostahili, ambayo...
  9. Meneja Wa Makampuni

    SoC03 Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania

    Kichwa cha andiko letu: Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania. Utangulizi Tanzania, kama nchi nyingine nyingi, inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira kwa vijana. Hali hii imekuwa ikisababisha ukosefu wa fursa za maendeleo na kuathiri ukuaji wa...
  10. A

    Maafisa Kazi wa Wilaya na Mikoa wanawasaidiaje wafanyakazi wa Kampuni binafsi?

    Habari zenu, Ujumbe au Maoni haya naomba yafike katika wizara husika ambayo ni WIZARA YA KAZI, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU, TANZANI. Katika kila ofisi ya Wilaya na Mikoa yetu ya Tanzania, Wizara yetu imejaribu kueka maofisa wa Idara ya Kazi kwa lengo la kuratibu na kufuatilia utendaji pamoja...
  11. Poluyakhtov

    Utaratibu wa mikataba ya ajira

    Habari za muda huu wana JF, Naomba kwa wataalamu wa sheria hasa zile za mikataba ya ajira mnisaidie hili swali,Je,ni utaratibu wa kisheria mtu kufanyiwa probation mara mbili yaani miezi mitatu kwanza na akifaulu hapo anaingia awamu ya pili ya miezi sita au zaidi? Shukrani.
  12. F

    Wafanyakazi wa bandari, ajira zenu hazipo guaranteed kihivyo, tegemee reshufle kubwa na mnaweza kuwa maskini kama mlizoea kuishi kwa madili

    DPW wakiwasili kwenye bandari zetu mengi yatabadilika for good or for worse. Japo ningependa uwazi zaidi juu ya mkataba na DPW, najua kuna mambo yatabadilika na kuwa mazuri na mengine yatakuwa sio. Je ilishindikana kabisa kwa Serikali kuweka nguvu zake na kuibadilisha bandari ya Dar kuwa kama...
  13. IN JESUS WE TRUST

    Naomba kujuzwa Soko la ajira kwa kozi ya Mining Engineering

    Samahan wakuu Nmechaguliwa kusomea DIT Mining Engineering samahani nilikuwa unaulza ipo je kwa soko la ajira kwa saivi?
  14. Full 8

    DP world na Ongezeko la Ajira 43,907 Bandarini

    Uwekezaji wa DP world katika bandari zetu Tanzania, umepokelewa kwa mitazamo tofauti. Wengi wameonesha kutokubaliana nao kwa asilimia kubwa na kudai maboresho kadha wa kadha kwa manufaa ya nchi yetu huku wanaoupigia chapuo wakisema mkataba huo ni bora na utasaidia kuboresha utendaji bandarini na...
  15. AKAN

    Waraka wa wataalam wa maabara Tanzania kuhusu ajira za TAMISEMI na Wizara ya Afya

    Habari ya majukumu wana JamiiForums, Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, kuna waraka ambao umetolewa na wataalamu wa maabara kuhusu ajira zinazotolewa na serikali. Binafsi Nimesoma na kuelewa lengo, pia naunga mkono hoja za wataalamu wetu. karibuni kwa nyongeza ya maoni...
  16. G

    Kuna tofauti gani kati ya masters degree na postgraduate diploma? Je, kwenye ajira faida zina utofauti gani?

    Habari wanaJF. Kama kichwa kinavyosema, huwa naona ukitaka kwenda masters au postgraduate diploma ni lazima uwe na degree? Ukiangalia qualification za kujiunga zinafanana, ukiangalia namna ya usomaji chuoni kunafanana, ukiangalia kwenye prospectus vyuoni ni vitu ambavyo ni vinafanana kila...
  17. Jackline Malavanu

    SoC03 Kijana wa Kitanzania na soko la ajira duniani

    Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Afrika ambazo, zina wimbi kubwa la vijana wasiokuwa na ajira hasa , wahitimu wa vyuo vya kati na vyuo vikuu. Jambo hili likionekana kuchochea sana vitendo vya kihalifu hasa, katika miji mikubwa kama Dodoma, Dar es salaam na Mwanza. Sio kwamba...
  18. S

    Tulia, Nape na wengineo, huko mbeleni mnaweza kushuhudia watoto na wajukuu zenu wakikosa ajira katika bandari zetu huku Waarabu wakipeana ajira

    Bila kujali Mkataba husika unasema nini kuhusu kulinda ajira za wazawa, lakini maadam tunaenda kuwakabidhi wageni watuendeshee bandari yetu, basi hilo nililolisema ipo siku mnaweza kulishuhudia kwa watoto ama wajukuu zenu au kwa watoto na wajukuu wa ndugu na jamaa zenu wakati huo nyie mkiwa ni...
  19. N

    Ushirikiano kati ya Tanzania na DP World: Kuongeza Ufanisi, Ajira, na Kuvutia Wafanyabiashara

    Mageuzi katika bandari kupitia ushirikiano na DP World yataleta mabadiliko muhimu ambayo yataleta faida kubwa kwa uchumi na biashara. Baadhi ya faida hizo ni: 1. Kupunguza muda wa ushushaji wa makontena kutoka siku 4.5 hadi siku 2: Kabla ya mageuzi hayo, mchakato wa ushushaji wa makontena...
Back
Top Bottom