Job Details
Altezza Traveling Limited wishes to invite competent, qualified, experienced, and dedicated Tanzanians to fill in the Food and Bavarage Manager position which is currently available in the company.
Responsibilities
Responsible for the hotel’s daily laundry and dry cleaning...
Habari.
Mimi nimemaliza diploma ya records, najaribu kuomba kazi ya records iliyotangazwa kupitia utumishi, naamwiwa "check your academic qualification".
Sasa mimi nina diploma hiyo ya records na nyie mmesema mnahitaji mwenye diploma ya records, inakuaje mfumo unikatae? na ili niweze...
UKOSEFU WA AJIRA
"Tunateseka kupita kiasi Africa, Tusaidieni, Tunamatatizo Africa. Tumepoteza haki zetu kama watoto. Tuna Vita na maradhi, hatuna chakula dah! tunahitaji Elim na tunaomba mtusaidie kupata elim ili nasi huku tuwe kama ninyi."
Ni ujumbe unao patikana katika miili ya Yoguine na...
Tupo katika dunia ya sayansi na teknolojia ambayo kila siku vitu vipya vimekua, vikigundulika na vya zamani kufanyiwa uboreshaji zaidi ambapo tunaona mabadiliko ya Sayansi na teknolojia yalikua zaidi kwanzia miaka ya 1700 ambapo vifaa mbalimbali vya kisayansi vilitengenezwa Na kuleta mabadiliko...
Ujuzi na uzoefu vimekuwa kikwazo kwa vijana (hasa wahitimu wa vyuo) kuajiriwa.Japo kuna mikakati ya kuwakomboa kiuchumi kupitia uwekezaji na miradi ya maendeleo. Bado ajira zinazozalishwa hazikidhi mahitaji ya soko la ajira nchini. Hivyo kupelekea wengi wao kuwa wazururaji mitaani.
Serikali...
Salaam wadau,
Kwa tuliosoma tangazo la nafasi za kazi Tanapa na kulielewa vizuri.
Tafadhali nitofautishie tofauti kati ya post 14 za WILDLIFE LAW ENFORCEMENT na post 90 za WILDLIFE LAW ENFORCEMENT (rangers).
Labda tuanzie hapa, Je wote wanatakiwa kuwa na cheti cha Jkt? Inaongeza advantage...
Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limetangaza nafasi za ajira 166 kwa nafasi mbalimbali. Kiambatanisho kipo chini kwa taarifa zaidi
====
THE UNITED REPUBLIC OFTANZANIA
PRESIDENT’S OFFICE
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Ref.No.JA.9/259/01/A/306...
Salaam Wakuu
Teknolojia ya bandarini haitamuacha mtu salama. Inabidi watu wakarudi kusoma pale chuo cha bandari Temeke ambacho kinaenda kuwekewa vifaa vya kisasa vya kufundishia.
Hivi karibuni Kampuni ya AD Ports Group ilisaini mkataba na kampuni ya Adani na SEZ Ltd kwa ajili ya uwekezaji wa...
Niendelee kung'ang'ania ubara kwanini wakati uraia wa Zanzibar unarahisisha maisha?
Wazanzibar wamebahatika zaidi kupata uwanja mpana tena wa kipendeleo kabisa katika nafasi za uongozi, ajira, vyeo, teuzi, n.k.
JKT wengi kama sio wote huwa wanabakizwa kujiunga na Jwtz, Polisi, Usalama, n.k na...
Nawasalimu Kwa jina la Muungano wa Tanzania.Ni matumaini yangu kuwa mmejibu Kazi iendelee.
Katika makala hii leo napenda kuzungumzia vitu ambavyo vinafanya uchumi wa nchi kuimarika bila kusahau jinsi ambavyo thamani ya pesa yetu itakavyoweza kupanda na kuwa moja kati ya pesa zenye thamani...
Habari JF.
Naomba kuuliza hivi ukipeleka barua kwa mwajiri wako mfano mkurugenzi wa halmashauri akagoma kuipitisha barua yako, maana nimepeleka lakini ameirudisha bila kusaini wala kuandika chochote.
Naweza kuomba bila kupitisha kwake na vilevile nataka kuweka kama mimi ni mwajiriwa kwenye CV...
MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imetangaza nafasi za ajira 524 ili kujaza nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na nafasi 206 za maofisa wasimamizi wa kodi.
Tangazo la TRA limeorodhesha idadi ya nafasi hizo na vigezo kwa waombaji na kwa ujumla waombaji wanapashwa kuwa tayari kufanya kazi popote pale...
Karibuni tupeane Updates kuhusu nafasi za kazi zilizotangazwa TRA, tusaidiane jinsi ya kujaza form na kukamilisha maombi kwa pamoja.
Wasilisha hapa changamoto unayokutana nayo katika kufanya maombi yako, kisha wadau watakuja hapa kutoa msaada. karibuni sana
Umaskini ni hali ya kukosa kumudu mahitaji ya msingi kwa binadamu,mfano Chakula,mavazi na malazi.
Janga hili kwa sehemu kubwa bado Lina ikumba bara la Africa,Mwalimu Nyerere,alisema "taifa lina adui watatu ambao wanapaswa kuwatokomeza ambao ni Ujinga,maradhi,na umaskini".Kwa kiasi kikubwa ujinga...
Je huu mfumo wa TRA kwa nini hawajaintegrate na mfumo wa NIDA ili kupunguza kupata data ambazo ni tatizo huko mbeleni. Je kwa nini wasingetumia mfumo wa TUME YA AJIRA AMBAO TAYARI UPO.....
Kama TAIFA TUNARUDI NYUMA.
Mahojiano ya ajira (Interviews) ni mchakato wa kawaida katika upatikanaji wa ajira ambapo waajiri hutathmini uwezo na sifa za waombaji kupitia mifumo mbalimbali ikiwemo upimaji wa maarifa kupitia maswali mbalimbali pia upimaji wa ujuzi kupitia uoneshaji wa vitendo.
Leo hii ninapenda kuangaza...
I. Utangulizi
Elimu ni nguzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote, na taasisi za juu za elimu zina jukumu kubwa katika kutoa elimu bora na kuandaa wahitimu wenye ujuzi na uwezo wa kuchangia katika maendeleo ya nchi. Hata hivyo, nchini Tanzania, mbali na mtaala mbovu unaohitaji kuboreshwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.