ajira

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nina degree ila nimekosa kazi PCCB kisa sina cheti cha darasa la saba, huku kwenye uombaji walisema ni 'optional' kukiweka

    Kwa kweli suala la ajira, hususan katika baadhi ya taasisi za umma kama PCCB, limekuwa chanzo cha masikitiko na kukatisha tamaa kwa wahitimu wengi. Mimi ni mhitimu mwenye shahada inayokidhi kikamilifu sifa zilizotangazwa katika nafasi husika. Hata hivyo, jambo lililonishangaza ni kuambiwa kuwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Itigi tunafanya kazi Mazingira Magumu

    Tumeajiriwa toka Januari 2026 wenzetu wachache wamepata mshahara wa Januari na Februari wengine malipo yetu bila ya sababu za msingi hatujapata chochote hadi sasa hivi. Wengine wetu walijitolea kufanya kazi toka muda huo hadi sasa lakini mazingira yamekuwa magumu. Halmashauri hakuna jibu la...
  3. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Nini kinazuia huduma za Vyama vya Wafanyakazi kuunganishwa kwenye mfumo wa ESS?

    Kwa sasa, karibu kila huduma muhimu kwa watumishi imehamishiwa kwenye mfumo wa e-UTUMISHI (ESS). Kupitia mfumo huo, mtumishi anaweza kuomba likizo, mikopo, uhamisho, kuongeza wategemezi, kupata salary slip, na huduma nyingine nyingi bila usumbufu wa kufuatilia makaratasi kutoka ofisi moja hadi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Portal ni tatizo, kwa muda mrefu nimeshindwa kuomba kazi mfumo ukisema NIN imetumika

    Mfumo wa Ajira Portal haueleweki na umekuwa kikwazo katika kutuma maombi ya kazi. Tangu mwaka 2025, ninapojaribu kuingiza NIN yangu, mfumo hunionesha kuwa tayari imeshatumika, hali inayonikwamisha kuendelea na mchakato wa maombi. Pia, licha ya kuwasiliana kupitia barua pepe, hakuna majibu...
  5. SamuraiJack

    JamiiForums Tanzania Oral Interview Ajira Portal

    Ndugu zangu, naomba ushauri wenu. Mdogo wangu aliitwa kwenye usaili wa maandishi (written interview) wa nafasi ya Registration Officer II – NIDA, na nikaja humu kuomba tips za maswali na kwa bahati nzuri amefaulu na kuitwa kwenye usaili wa mahojiano (oral interview). Naomba kwa yeyote ambaye...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waombaji nafasi za kazi tunapata changamoto ya kutopatikana kwa Maafisa wa Ajira Portal katika ofisi za Kivukoni, Dar

    Ninaomba kuwasilisha kilio changu kuhusu kutokuwepo kwa maafisa wa mfumo wa Ajira Portal katika ofisi za Kivukoni, Dar es Salaam, jambo ambalo linasababisha usumbufu mkubwa kwa waombaji wa kazi wanaohitaji msaada wa kushughulikia changamoto mbalimbali zinazojitokeza kwenye mfumo huo. Wiki mbili...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeitumikia VETA miaka mitano nikifundisha masomo zaidi ya matano kwa laki tatu. Kila ajira zikitokea sipewi kipaumbele

    Miaka mitano naitumikia VETA nikifundisha masomo zaidi ya matano kwa laki tatu huku familia ikinitegemea. Kila ajira ikipelekwa, wanaajiriwa wengine.
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi (Ajira Mpya) Nyang'hwale mwaka 2025, Kada ya Afya hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Halmashauri ya Nyang’hwale ajira za july 2025 kada zingne zote wamepata hela yao ya kujikimu isipokuwa kada ya afya na tukiulizia kwa katibu wa afya anatufokea
  9. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira ni janga katika ongezeko la mafundi wasiokuwa na ujuzi timilifu

    Kwa hili ntapata kuzungumzia katika nafasi yangu ya fundi ujenzi (UASHI).... Aisee mafundi wengi miyeyusho sana twende kwenye komenti...
  10. Samyjk

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira

    Hello. Kwa anae hitaji mtu mzuru wa mauzo. +255745623885
  11. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akemwa Nepotism katika ajira za serikali

    Msikilize
  12. Last sentinel

    JamiiForums Tanzania Huduma Zote: Ajira, Vyeti, Mikopo na Zaidi

    Hii ndio list ya huduma utakazopata kwetu Huduma katika masuala ya ajira 1. Kujisajili ajiraportal 2. Kujisajili taesa 3. Kujisajili katika bank portals 4. Kuandaa application letter 5. Ku edit document mbalimbali 6. Avn 7. Maombi ya transcript kwa kada za afya 8.Kurenew leseni na...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Wilaya ya Chemba (Afya) tuna mwaka hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu

    Ajira mpya wilaya ya chemba afya tuna mwaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Sekretarieti ya Ajira (ICT) wana tatizo la kutojibu email wanazotumiwa

    Ninaomba kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, hasa upande wa TEHAMA (ICT), wawe wanapokea na kushughulikia kwa wakati barua pepe (email) tunazotuma. Inasikitisha kwamba unatuma email yenye tatizo muhimu kwenye akaunti yako, lakini inapita mwezi hadi miezi bila majibu wala...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Bila Mkataba: Haki za Wafanyakazi wa Kampuni ya Temboking yupo gizani

    Kero yangu ni kuhusu ajira katika kampuni binafsi. Nimefanya kazi kwenye kampuni inayoitwa Temboking Limited, lakini sikuwa na mkataba wa ajira licha ya kukatwa makato ya NSSF kama kawaida. Hii inanifanya nisiwe na uhakika wa kazi, maana mwajiri anaweza kunisimamisha kazi muda wowote bila...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madai ya Ajira Mpya VETA walioitwa Dodoma ‘kutelekezwa’, VETA yasema “Wanaandaliwa mafunzo elekezi 21-22 Mei 2026”

    Baada ya andiko lililowekwa na Mdau kupitia Fichua Uovu ndani ya JamiiForums.com, alipoandika “Watu 178 tulipata ajira VETA, tukaenda kuripoti Dodoma, ni mwezi wa tatu huu hatujapangiwa kituo, wametusahau?” Meneja Uhusiano kwa Umma na Masoko wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi...
  17. serikalibora

    JamiiForums Tanzania Ajira portal & utumishi ni mabingwa wa kupoteza muda wa watu

    Nimekuwa shortlisted interview ya Quantity Surveyor II, NCC. Nikasema sawa, opportunity imepatikana. Nikaanza maandalizi yote kama mtu mwenye matumaini. Nikakata tiketi kutoka Mwanza hadi Dodoma Nikatbook hoteli na kuilipia Nikatumia hela ya kula, usafiri na maandalizi mengine Nikafika mapema...
  18. Joseph midimu

    JamiiForums Tanzania AJIRA

    Hivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.? Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M + kwa 10 miezi = 9.6M kwa mwaka😀
  19. L

    JamiiForums Tanzania Boni Yai jukwaani Kahama: Achambua "mikataba ya day waka" ya CCM kwa Jeshi la Polisi, ajira zao, vyeo, mishahara, pensheni kandamizi

    Jeshi linalotumwa kuwalindia madaraka Askari mwenye V tatu Mshahara 625,000 /= baada ya makato Huna V hata moja 228,000/= Hii iliongezwa kutoka 215,000/= Kupanda vyeo labda jeshini, polisi ni nadra Mkataba wa ajira kama huna nyota moja ni miaka mitatu mitatu tu. Day waka ! Miaka 6 ya...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO AJIRA MPYA Halmashauri ya Wilaya ya MBOGWE-GEITA hatujapatiwa FEDHA ZA KUJIKIMU tangu mwaka jana

    Tukiwauliza viongozi hatupewi majibu tunaishiwa kutishiwa tu na kujibiwa kisiasa kuwa akama ni haki yetu tutaipata hata kwa kuchelewa sana
Back
Top Bottom