Watumishi wa ajira mpya katika Wilaya ya Momba, Mkoa wa Songwe, tunaomba msaada kuhusu malipo ya fedha za kujikimu ambazo hadi sasa hatujapokea.
Tulielezwa kuwa fedha hizo tayari zilikuwa zimewasili, lakini hadi sasa mwezi unaelekea kuisha bila kupokea malipo wala kupewa taarifa yoyote rasmi...
Anonymous
Thread
ajiraajira mpya
hela
kujikimu
mkoa
momba
mpya
songwe
wilaya
wilaya ya momba
Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kutatua changamoto hii.
Waajiriwa wapya wa sekta ya afya mwaka 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro, tunaendelea kuzungushwa kuhusu malipo ya posho zetu za kujikimu.
Tunaomba suala hili lishughulikiwe haraka ili tupate haki zetu kwa...
Habari wana JF.
Kwa wale wote wanao hitaji kufanya biashara/kuwekeza Kariakoo. Naomba msiogope hivi sasa ndiyo wakati mzuri sana wa kuwekeza/kufanya Biashara Kariakoo Majengo mapya yanajegwa kila siku. Na bei za fremu ni nzuri sana(affordable hata kwa mtu mwenye mtaji mdogo).
Zipo fremu...
VIJANA WENZANGU: Hakuna Atakayekuja Kubadilisha Maisha Yetu Isipokuwa Sisi Wenyewe
Leo nimeamua kushare mawazo machache kwa kila kijana anayehangaika kutafuta maisha.
Ukweli ni kwamba wengi wetu tunasubiri muda mzuri, mtaji mkubwa au mtu wa kutushika mkono. Lakini muda mzuri hauji wenyewe...
Ukikuta uzi kuna mada nzuri inajadiliwa utakuta kijana wa ajira mpya anajipa mamlaka ya kutetea hata kama anatetea upumbavu
Hii mindset kawaambia nani?
Nani kasema lazma mtetee ujinga?
Kwani huo mshahara ni hisani?
Nihitimishe kusema Tanzania watu tunaojielewa ni 0.23% tu katika wasomi wote...
Ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko tunaomba kufikisha kilio chetu kuhusu utata uliojitokeza katika malipo ya fedha za kujikimu baada ya kuripoti kazini.
Tulipokuwa tunaripoti, tuliagizwa kuandika barua za kuomba fedha za kujikimu, maelekezo tuliyopewa, tuliambiwa kiwango cha...
Anonymous
Thread
ajiraajira mpya
fedha
fedha za kujikimu
kakonko
kuhusu
kujikimu
malipo
mpya
ufafanuzi
watumishi
Sisi walimu wa ajira mpya 2026 tunaonyesha masikitiko yetu kutokana na kutopatiwa fedha za kujikimu, ilhali watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya tayari wamepata stahiki hizo kupitia TAMISEMI.
Tunaiomba Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kutoa ufafanuzi kuhusu tofauti hii ya utoaji wa stahiki...
Anonymous
Thread
ajiraajira mpya
fedha
fedha za kujikimu
haki
haki sawa
kujikimu
malipo
mpya
sawa
tunahitaji
walimu
Kuna upigaji mkubwa unaendelea wa posho za kujikimu ajira mpya halmashauri ya wilaya ya Sikonge.
1. Katibu mkuu aliwandikia barua halmashauri zote zenye maelekezo maalumu kwa ajili ya fedha za kujikimu na barua hiyo ilielekeza bayana kuwa watumishi wa ajira mpya kwanzia Januari 2025 hadi Aprili...
Anonymous
Thread
ajiraajira mpya
halmashauri
kujikimu
mkubwa
mpya
posho
posho za kujikimu
sikonge
upigaji
wilaya
Wana-bodi,
Katika muktadha wa Mapinduzi ya Tano ya Viwanda (Industrial Revolution 5.0), tunashuhudia mabadiliko makubwa ya kimfumo (Systemic Shifts) yanayotishia kubomoa kabisa miundo ya kijamii na kiuchumi tuliyoizoea. Kwa muda mrefu, mijadala kuhusu Artificial Intelligence (AI) imejikita...
Mwakilishi wa Amani, Masoud Amour Masoud (CCM) akielezea masuala ya ajira na fursa za Muungano kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 18, 2026.
"Si kwamba wazanzibari tunabaguliwa katika ajira lakini ziko ajira hatuzitaki wenyewe."
"Ukiambiwa kuna ajira hoteli ya mtoto wako wa kike eh ya...
Ninafanya kazi katika kampuni hii kwa zaidi ya miaka mitatu, lakini hadi sasa bado ninadai mishahara ya kipindi kilichopita ambayo sijalipwa. Mbali na kucheleweshwa kwa mishahara, hivi karibuni uongozi wa kampuni ulifanya kikao na kutangaza kuwa wafanyakazi waliokuwa wakilipwa mshahara wa...
Anonymous (b466)
Thread
ajiraajira mpya
halmashauri
malalamiko
mkalama
mpya
mwanza
singida
wilaya
wilaya ya mkalama
Wakuu naombeni connection ya sales executive nina uzoefu wa miaka miwili kutoka kwenye kampuni kubwa, kama kuna kazi tofauti na hyo nipo tayari kuifanya nipo dar, 26yrs
Watumishi wa serikali ajira ya 2021 mwezi wa 7, tunazungunshwa kuhusu kupandishwa madaraja.
Mikataba inadai mtumishi atapandishwa daraja baada ya miaka 4 kazini, lakini sisi tumemaliza miaka minne mwaka 2025 tukaambiwa bado hatujakidhi vigezo hadi mwaka 2026, ambapo inakuwa ni miaka mitano...
Anonymous
Thread
ajira
baada
daraja
kuhusu
kupandishwa madaraja
madaraja
mikataba
mtumishi
mwezi
serikali
watumishi
watumishi wa serikali
Kwa wanaotaka kuomba. kama una changamoto ya mfumo tuwasiliane kwa 0623446608 (Whatsapp na kawaida)
Au 0792715343 unikusaidie kirahisi.
Usisahau kuwa Mimi siyo mfanyakazi wa PSRS ila natoa msaada ingawa nimeona "flagging" ya malalamiko ya wadau.
Kwa ufupi njia zangu za kusaidia watu ziko open...
Kuna ukweli mmoja mchungu sana kuhusu mfumo wetu wa elimu ya juu hapa nchini ambao kama tusipoujadili sasa, kwa uwazi na bila kupepesa macho, tutakuja kujuta kama taifa baada ya miaka mitano au kumi ijayo.
Wakati sisi hapa Tanzania bado tunapambana kuongeza udahili wa wanafunzi kwenye kozi...
Usiache kuomba na kama una changamoto tuwasiliane unikusaidie kirahisi.
Usisahau kuwa Mimi siyo mfanyakazi wa PSRS ila natoa msaada ingawa nimeona "flagging" ya malalamiko ya wadau.
Kwa ufupi njia zangu za kusaidia watu ziko open kulingana na utaalamu wangu ingawa sioni sababu ya kuweka public...
Mradi wa EACOP ulianza mwaka 2021 na sasa mwaka 2026 unakaribia kufikia mwisho. Hata hivyo, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu utekelezaji wa mpango wa uhamishaji wa ujuzi na urithishaji wa nafasi (succession plan), hususan kwa wafanyakazi wa Kitanzania.
Kwa zaidi ya miaka minne, Watanzania wamefanya...
Anonymous
Thread
ajira
eacop
hata
hivyo
katika
mradi
mwaka
mwaka 2021
mwaka 2026
mwisho
watanzania
wito
Halmashauri ya Wilaya Tandahimba Ajira Mpya wengi wetu hatujapewa fedha zetu za kujikimu tangu tu report kazini Mwezi January 2026. Tunapouliza jibu huwa ni moja kuwa “Tunalishughulikia” bila matokeo yeyote.
HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA KUNA UTAPELI MWINGI KWA VIONGOZI TUNAOMBA WACHUNGUZWE.
Mimi ni mwajiriwa kada ya afya ni nurse by professional, niliajiriwa mwaka Jana lakini cha kushangaza Toka turipoti kazini ni mwaka sasa na miezi umepita hatujalipwa pesa za kujikimu.
Tumekuwa tukifatilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.