Oral Interview Ajira Portal

Oral Interview Ajira Portal

SamuraiJack

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2017
Posts
300
Reaction score
349
Ndugu zangu, naomba ushauri wenu.

Mdogo wangu aliitwa kwenye usaili wa maandishi (written interview) wa nafasi ya Registration Officer II – NIDA, na nikaja humu kuomba tips za maswali na kwa bahati nzuri amefaulu na kuitwa kwenye usaili wa mahojiano (oral interview).

Naomba kwa yeyote ambaye amewahi kushiriki usaili huu au ana uzoefu na mchakato wa ajira wa NIDA, atupe mwanga kuhusu aina ya maswali yanayoulizwa kwenye oral interview na maeneo muhimu ambayo anatakiwa kujiandaa nayo ili afanye vizuri.

Lengo ni kumsaidia kujiandaa kwa kiwango kizuri zaidi ili awe na nafasi nzuri ya kufaulu.

Asanteni sana kwa msaada na ushauri wenu. Wisle Mad Max Seran
 
Screenshot_20260428_132419_Instagram.jpg
 
Written kapita?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom