Watumishi tuliopata ajira mwezi Julai 2022 tunaomba kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu kucheleweshewa kupandishwa madaraja licha ya kukidhi vigezo vya kisheria na kiutumishi.
Tumekuwa tukiambiwa kuwa sababu ya kuchelewa kupandishwa madaraja ni kwamba tuliajiriwa katika “mwaka mpya wa serikali”...
Anonymous
Thread
ajiraajira mpya
daraja
kigoma
miaka mitatu
mwalimu
serikali
Salamu kwenu wadau, poleni na majukumu na mapambano ya kusaka ajira.
Sote tunajua jinsi ilivyo ngumu kufaulu usaili wa ajira za utumishi wa umma. Changamoto huwa ni pale unapofika kwenye chumba cha mtihani; unakutana na maswali 50/100, halafu muda ni mchache. Wengi wetu unakuta tunafeli sio...
Kwa namna mchakato unavyoendeshwa unaonekana ni mzuri sana na wanaosaka ajira baadhi Yao wanakiri kabisa kuwa mchakato unatenda haki.
Kinachohitajika katika mchakato wa kutafuta waajiriwa ni juhudi binafsi za mtu mwenyewe katika kuhakikisha unafanikiwa.
Changamoto kubwa inatokana na mtu kupita...
Kwenye haya maisha kuna vitu huwa tunajitia wasi wasi na mashaka, mwisho wa siku unakuta mtu anahangaika Kuanzia ujana hadi uzeeni yeye ni wa kuamka saa kumi na moja kurudi saa mbili usiku. Cha maana anachofanya zaidi Sana ni kula, kulala, kujenga nyumba baasi.
Sio kwamba hayo Mateso ukiyaacha...
Mkeka wa ajira ulitoka Januari 19 mwaka 2026. Hadi kufikia februari 10 mwaka huu waajiriwa wapya wote walikuwa wameripoti kazini.
Halmashauri ya Ushetu mpaka sasa haijalipa posho ya kujikimu kwa kada zote na kumekuwa na taarifa mbalimbali kuhusu hilo.
Jibu la awali lilikuwa kwamba pesa...
Anonymous
Thread
ajiraajira mpya
dalili
hali
hali tete
kujikimu
mgawanyiko
mpya
pesa
pesa za kujikimu
rushwa
tete
ushetu
Ni zaidi ya mwaka sasa tangu walimu tuliopata ajira mwaka 2025 turipoti kazini, lakini bado hatujalipwa fedha za kujikimu ambazo ni stahiki ya kila mtumishi wa umma. Kwa mujibu wa taratibu za utumishi wa umma, fedha hizi zinapaswa kulipwa ndani ya siku saba baada ya mtumishi kuripoti katika...
Anonymous
Thread
ajira
fedha
fedha za kujikimu
jiji
kujikimu
mbeya
walimu
Je suala la umri na jinsia linazingatiwaje katika mchakato wa ajira? Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Sekretarieti ya Ajira Bi. Lynn Chawala anatoa ufafanuzi.
Hayo yameelezwa kupitia chapisho la Mei 30, 2026 wakati wakihojiwa kwenye Kituo cha Channel 10 akiwa pamoja na Katibu...
Vibali vya kazi vinavyotolewa na mfumo wa Taesa haupo sirias mda mwingi kuja system error na hata pia huchkua muda mrefu kupata kibali mbali na mhusika kashakamilishamilisha mahitaj viambata na malipo.
Ikiwa kuna lolote, ni vyema wakatoa update nini kinahitajika mhusika aweze kukamilisha kukaa...
HII NDIO LIST YA HUDUMA UTAKAZOPATA KWETU
HUDUMA KATIKA MASUALA YA AJIRA
1. KUJISAJILI AJIRAPORTAL
2. KUJISAJILI TAESA
3. KUJISAJILI KATIKA BANK PORTALS
4. KUANDAA APPLICATION LETTER
5. KU EDIT DOCUMENT MBALIMBALI
6. AVN
7. TRANSCRIPT
HUDUMA KATIKA MASUALA YA VYETI
1. KUPATA CHETI CHA...
Kwa kweli suala la ajira, hususan katika baadhi ya taasisi za umma kama PCCB, limekuwa chanzo cha masikitiko na kukatisha tamaa kwa wahitimu wengi.
Mimi ni mhitimu mwenye shahada inayokidhi kikamilifu sifa zilizotangazwa katika nafasi husika. Hata hivyo, jambo lililonishangaza ni kuambiwa kuwa...
Tumeajiriwa toka Januari 2026 wenzetu wachache wamepata mshahara wa Januari na Februari wengine malipo yetu bila ya sababu za msingi hatujapata chochote hadi sasa hivi.
Wengine wetu walijitolea kufanya kazi toka muda huo hadi sasa lakini mazingira yamekuwa magumu.
Halmashauri hakuna jibu la...
Anonymous
Thread
ajiraajira mpya
halmashauri
kazi
magumu
mazingira
mazingira magumu
mpya
Kwa sasa, karibu kila huduma muhimu kwa watumishi imehamishiwa kwenye mfumo wa e-UTUMISHI (ESS). Kupitia mfumo huo, mtumishi anaweza kuomba likizo, mikopo, uhamisho, kuongeza wategemezi, kupata salary slip, na huduma nyingine nyingi bila usumbufu wa kufuatilia makaratasi kutoka ofisi moja hadi...
Anonymous (6687)
Thread
ajira
chama cha walimu (cwt)
ess utumishi
halmashauri
mwaka
urambo
vyama vya wafanyakazi
watumishi
watumishi wapya
wilaya
Mfumo wa Ajira Portal haueleweki na umekuwa kikwazo katika kutuma maombi ya kazi. Tangu mwaka 2025, ninapojaribu kuingiza NIN yangu, mfumo hunionesha kuwa tayari imeshatumika, hali inayonikwamisha kuendelea na mchakato wa maombi.
Pia, licha ya kuwasiliana kupitia barua pepe, hakuna majibu...
Ndugu zangu, naomba ushauri wenu.
Mdogo wangu aliitwa kwenye usaili wa maandishi (written interview) wa nafasi ya Registration Officer II – NIDA, na nikaja humu kuomba tips za maswali na kwa bahati nzuri amefaulu na kuitwa kwenye usaili wa mahojiano (oral interview).
Naomba kwa yeyote ambaye...
Ninaomba kuwasilisha kilio changu kuhusu kutokuwepo kwa maafisa wa mfumo wa Ajira Portal katika ofisi za Kivukoni, Dar es Salaam, jambo ambalo linasababisha usumbufu mkubwa kwa waombaji wa kazi wanaohitaji msaada wa kushughulikia changamoto mbalimbali zinazojitokeza kwenye mfumo huo.
Wiki mbili...
Anonymous (76e2)
Thread
ajiraajira portal
dar es salaam
kivukoni
mfumo wa ajira
Halmashauri ya Nyang’hwale ajira za july 2025 kada zingne zote wamepata hela yao ya kujikimu isipokuwa kada ya afya na tukiulizia kwa katibu wa afya anatufokea
Anonymous
Thread
afya
ajira
halmashauri
kada
kada ya afya
nyang'hwale
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.