ajira

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Bi. Hamida: Tumchague Prof. Lipumba awe Rais na mimi niwe Makamu wa Rais tuwezeshe watu wenye ulemavu kupata elimu na ajira

    TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA" BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF." KASULU, KIGOMA. Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira hospitalini au afya

    Just nimemaliza degree ya udaktari, natafuta hospitali au kituo cha kujishikiza kwa muda before internship or any health related work for now. Dar es salaam Thanks
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Rais Magufuli kuwaahidi nafasi za uteuzi akina Andrew Chenge, siyo kutonesha kidonda kwa mamilioni ya vijana wasiokuwa na Ajira?

    Tulimsikia alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni, huko Bariadi akimuahidi Mzee Andrew Chenge, ambaye alishinda kura za maoni jimboni kwake, kuwa atampa nafasi "nzuri" ya uteuzi, miongoni ya nafasi zake nyingi za uteuzi, kwa sharti tu la kumuunga mkono mgombea "wao" wa vikao vya juu vya Central...
  4. JamiiForums Tanzania Hawa sio matapeli wa ajira kweli? wao wanauza form ya maombi ya kazi Tsh 2500, Mirogena & Company Limited

    Habari wadau hawa jamaa wametangaza nasafa sa kazi lakin nashangaa wanakwambia jaza form alafu ulipie tsh 2500 ya form? Ukishaingia kwenye tovuti yao ndo unakutana na hizo habari za ada ya form kweli inaingia akilini hii kitu wanajiita...
  5. JamiiForums Tanzania Ajira au Partnership

    Tupo katika initial stages za kuanzisha kampuni mpya itayojulikana kwa jina la Abrar Bricks Ltd. Location ni Mkoa wa Pwani, Misugusugu, Kibaha. Tanzania. Tupo katika kutafuta ama ataependa kuajiriwa au kuwa partner mwanzilishikwenye kampuni kampuni ambayo ipi mbioni kuanzishwa. Tunahitaji...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi inayohusiana na Logistics and Transport

    Habari wana JF wa jamvi hili la Ajira. Nina diploma ya Logistics and Transport Management kutoka katika chuo cha usafirishaji (N.I.T), plus Microcomputer course kutoka University of Dar es salaam (U.C.C). Nina experience ya miaka miwili kusimamia magari na madereva, nina skills za kutosha...
  7. JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira Tanzania: Nafasi za Ajira ya Ualimu 13,000, waliotuma maombi kuziomba wafikia 80,000+ hadi leo!

    Hii ni ishara kuwa tatizo la ajira Tanzania ni kubwa sana. Kati ya nafasi za ajira ya ualimu wa shule za msingi & sekondari 13,000 zilizotangazwa na serikali ikiwa ni kumjibu mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA ndugu, Tundu Lissu, takwimu zinaonesha kuwa mpaka kufikia leo Jumatatu tarehe...
  8. JamiiForums Tanzania Maajabu hayaishi Tanzania. Kijana amemaliza chuo hana ajira lakini anaishabikia CCM

    Kuna classmates wangu kadhaa nawaona mitandaoni hasa Facebook wakiwa ndani ya nguo za CCM. Kwakuwa Mimi ni Mwajiriwa wa Serikali hii basi wanajua mimi ni mwana CCM pia. Nikiwahoji wanafanya kazi gani wanabaki kulia njaa tu na kunipiga mizinga au connection. Serikali si lazima ikuajiri lakini...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali hii "force account" mnaua ajira za vijana wetu wahandisi, badilisheni huu mfumo

    Ndugu zangu! Sote tunafahamu kazi kubwa ya wandisi wanaohitimu katika vyuo vyetu ajira zao nyingi zilikuwa zinapatikana kupitua kampuni za ujenzi. Kumbukeni miradi mingi katika nchi ni ile ya serikali, kama zahanati, barabara za vijijini, majengo ya madarasa, mabweni, na shughuli nyingine...
  10. JamiiForums Tanzania Ajira Mpya za Walimu zinaweza kuwaumiza zaidi wasio na kazi kabisa mtaani

    Sio muda mrefu Serikali imetangaza ajira 13000 kwa walimu wa sekondari na shule za Msingi. Jambo hili ni tumaini jipya kwa walimu hasa wale ambao walikuwa hawana 'michongo' tangu wamehitimu elimu zao Nawaza wale ambao wamejichimbia kijijini jinsi watakavyopata 'Bundle cost' (The newest form of...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Hizi ajira za pale DUCE mwenye degree haruhusiwi?

    Wakuu kuna ajira part time zimetangazwa pale Duce lakini mwisho form six.
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Waajiri wamuonya Lissu kupotosha kuhusu ajira

    NA MWANDISHI WETU JUMUIYA ya Watendaji Wakuu Vijana (The Young CEO Forum) wamemtaka Mgombea wa nafasi ya Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu, kuacha mara moja upotoshaji kuhusu kupandishwa mishahara ya wafanyakazi. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-20 kwenye kuongeza fursa za ajira

    Na Bwanku M Bwanku Fursa za ajira ni eneo muhimu sana katika kukuza maendeleo ya kiuchumi na kijamii ambapo jamii hususan vijana hupewa nafasi ya kuchangia utaalam wao katika kufanya kazi ili kuchangia kukuza maendeleo ya Taifa. Serikali iliyoundwa na CCM katika miaka mitano iliyopita iliweka...
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi ya civil technician

    Position: CIVIL TECHNICIAN (INTERN) Location: Mwanza, Tanzania Duties and Responsibilities To assist in the preparation of contract drawings; To assist in field surveys and data collection; To assist in caring out the printing of drawings and documents; To do clerk works for construction...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Asante Lissu amesababisha ajira za walimu kutangazwa, hotuba ya bajeti ya Waziri hapakuwa na hilo

    Ni mtu mpuuzi tu anayeweza kumdharau mtu kama Tundu Lissu. Lissu kasema Serikali haijaaijiri walimu tangu 2014, hapo hapo serikali inaitupa bajeti ya Ndalichako na kaika hali ya kupaniki inatangaza kufungua dirisha la kuajiri walimu kwa maelfu. Katika hotuba ya waziri wa elimu, yeye aliahidi...
  16. JamiiForums Tanzania Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Wakuu Salaam; Ofisi ya Rais-Tamisemi imefungua rasmi dirisha la kutuma maombi ya ajira kwa sekta ya elimu. Kila aliye na sifa anaweza kuomba ajira hiyo kupitia link ifuatayo :https://ajira.tamisemi.go.tz/ . Kigezo cha kua na kitambulisho au namba ya NIDA kimejumuishwa kama msingi kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Bomu la Ajira litamlipukia Rais Magufuli

    Rais Jakaya Kikwete Pamoja na mapungufu yake mengi ya corrupt system aliyokuwa ameijenga lakini alifanikiwa kutoa Ajira kwa watanzania kila mwaka,kupandishwa madaraja kwa wafanyakazi kila mwaka,kupeleka wafanyakazi kusoma kila mwaka na mengine mengi. Tanzania watu wanaingia kwenye soko Ajira...
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA kuathiri ndoa na ajira

    Nimeisoma ilani ya uchaguzi ya CHADEMA kurasa zote. Nimeona kasoro nyingi sana lakini kwa leo nitazungumzia kaosro mbili ambazo zina athari kwa jamii ya watanzania nazo ni ndoa na pia kwa watakaokuwa wanamaliza masomo na kutafuta kazi. Pia nitazungumzia na ushoga jao haupo katika ilani lakini...
  19. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutangaza ajira katika ya kampeni ni Rushwa

    Ahadi ya Rais ya kuajiri walimu ni rushwa ya waziwazi. Alitakiwa aseme akichaguliwa tu, anaanza kuajiri hao walimu Novemba baada ya kuapishwa. Tutegemee mengi ndani ya muda huu mfupi kama kupandisha madaraja na increment. TAKUKURU mna ubavu wa kulishughulikia hili?
  20. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Dirisha la ajira za walimu 13,000 wa msingi na sekondari kufunguliwa Jumatatu!

    Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo. Hii ni neema kwa mliosomea ualimu. Maendeleo hayana vyama!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…