Natafuta ajira ya udereva, nina uzoefu wa miaka 7 wa kuendesha magari ya mizigo

VentureCapitalist

JF-Expert Member
Mar 12, 2018
402
539
Habari wana JamiiForums,

Natafuta ajira ya udereva

Nina umri miaka 26.

Nina uzoefu wa miaka 7 kwenye magari ya mizigo, abiria na kawaida.

Pia ninaozefu wa kulima kwa trekta shambani.

Leseni yangu ni daraja B, C1, C2, C3, D, G, E

Tafadhali kwa ambaye ataniona naweza kumfaa naomba tuwasiliane kwa Private Message (PM)

Asanteni Sana.
 
Alistair logistics wametoa nafasi za udereva,zitafute kwa kusearch google
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom