Uchaguzi 2020 Ombi kwa Magufuli: Piga chini Wazee kuanzia 65-90, kwani hawana shukrani na ajira, kura za maoni ziwe na wenye maono sio walioshindwa kujenga nchi

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF,

Kuna Wazee wengi mfano wa Wassira bado wana uchu wa kuingia bungeni, Wazee kama Mkuchika piga chini wazee wote kwani ndio waliotudhooofisha kwenye kwenye maendeleo kwenye miaka waliohudumu walikuwa ni ndiyooo kwenda mbele, hawa wazee so kwamba wana lolote Bali ndio waliotengeneza CCM masilahi, bila kutengeneza ccm chotara kwa kuwaweka vijana wenye akili wangekukwamisha juhudi zako za maendeleo.

Wazee hawa ndio wenye mawazo ya kisangoma ndio maana waganga wajadi uchwara wametapakaza vibao vingi mjini. Naomba tena vizee vipige chini kwenye kura za maoni
 
Duu ni hatari basi modies wabadirishe miaka naona wa 65 mpaka 70 mko wakati muno. Kama unajua miaka ya wasira I
Acha wewe wangeshindwa kujenga nchi ungeikuta hivi? Wazee wetu walitumia kila aina ya mali zao kuijenga nchi hii Watanzania hasa wa sasa kuweni na Shukurani kwa Wazee wetu
 
Uzee is a state of mind. Watu Kama kibajaji, msukuma, lusinde, ndugayi.. nk, bila kujali miaka waliozaliwa, ni wazee Sana kimawazo.

Au humu jf, watu km magonjwa mtambuka, stroke, bia yetu, kawe alumni..nk Hawa akili zao ni za kizee mno. Watu sampuli hi ndo wa kupiga chini fasta maana hawanaga jipya siku zote, kazi yao Ni moja tuu: KUSIFU hata panapostahili kukosoa
 
Acha wewe wangeshindwa kujenga nchi ungeikuta hivi? Wazee wetu walitumia kila aina ya mali zao kuijenga nchi hii Watanzania hasa wa sasa kuweni na Shukurani kwa Wazee wetu
Tena walijenga nchi kwa moyo na bidii.
Leo watu hawajui kuwa nyumba iliyokuwa na thamani ya Tshs 100,000/= wakati huo zilitaifishwa na ndio mwanzo wa Shirika la Msajili wa Majumba sasa National Housing Corporation.

Ilikuwa mtu huruhuhusiwi kuwa na nyumba zaidi ya moja.

Miaka mitatu/minne iliyopita mtu anaitwa Masamaki wa TRA amekutwa ana nyumba 83 za kwake mwenyewe!
Halafu kizazi hiki kinawasonga wazee waliowatunzia nchi!
Come on.
 
Tena walijenga nchi kwa moyo na bidii.
Leo watu hawajui kuwa nyumba iliyokuwa na thamani ya Tshs 100,000/= wakati huo zilitifishwa na ndio mwanzo wa Shirika la Msajili wa Majumba sasa National Housing Corporation.

Ilikuwa mtu huruhuhusiwi kuwa na nyumba zaidi ya moja.
Miaka mitatu iliyopita mtu anaitwa Masamaki wa TRA amekutwa ana nyumba 83 za kwake mwenyewe!
Halafu kizazi hiki kinawasonga wazee waliowatunzia nchi!
Come on.
Zao LA mzee Mkapa Hugo. Enzibza Chukua Chako Mapema kwa Ccm Asiliabsasa kunabCCM chotara uwezibkuibabtena
 
Tatizo hao vijana ni kama akina Nape, Makamba, ambao wamejaa tamaa, au akina Sojo yule mnec wa Songwe. Ni bora wazee wanaoelewa mfumo kikubwa na vijana kuwa chini ya wazee ili kuwa control mihemuko.
Leo nimekuelewe mke wangu Mudawote!
 
Kama wazee bado wana akili nzuri wacha watuongoze, mavi-jana yenyewe ndio design ya akina Mlinga Goodluck unategemea nini?
 
Back
Top Bottom