BLACKHORSE AFRICA ni kampuni mpya iliypo arusha inatafuta wafanyakazi idara ya mauzo
wanahitajika wafanyakazi wa kike kwa ajili ya mauzo
sifa za waombaji
Elimu ya chuo diploma masoko na mauzo
Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu
Awe mkazi wa Arusha
Awe na uzoefu kwenye kampuni ya...
Fursa za ajira zinapotoka waombaji wanakuwa lundo sana, inaweza kutoka nafasi moja wakaomba watu 400. Ndicho kinachotokea kwenye kura za maoni kwa sasa.
Tazama Mkoa wa Mara watia nia 462. Ni kweli hawa wote wana wito na uwezo wa kutunga sheria na kusimamia serikali? Au wanasaka nini hasa...
Natafuta kazi ya muda au ya kudumu Dodoma
My experience ni kuanzia kwenye Sales & marketing,consultation, supervisory roles kama sales supervisor, property manager, Team leader
Nina uzoefu wa miaka 4, na pia nina very valuable skills kama Hardworking, Multitasking, Teamwork, na Fast learning...
Mimi si mtu mzima sana ingawa nami najongea miaka ya kuweza kugombea Urais wa Tanzania kwa mujibu wa Katiba yetu ya sasa(miaka 40). Hatahivyo, nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa siasa na mambo ya kinchi tangu nikiwa mdogo. Leo, nitalizungumzia Bunge kama Mhimili mmojawapo wa dola. Mingine, wengi...
Rais Magufuli anamaliza ungwe yake ya kwanza ya miaka 5 na sasa anakwenda ungwe ya pili 2020-25. Bila shaka atashinda kwa maana wapinzani wake wana hoja dhaifu na maandalizi yao ni muda mfupi kiasi ambacho wanakosa muda na agenda ya kupindua meza ya kifikra ili kuchukua Urais. Ila hoja yangu...
EMPLOYERSHIRIKA LA MZINGA
APPLICATION DEADLINE :2020-07-21
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. To operate, maintain and assist to repair production machines;
ii. To assist to design and inspect products manufactured and other work to ensure
they conform to specified standards, plus...
Ni jambo jema.
Tume ya Uchaguzi yaani NEC imetangaza ajira mpya 300,000 kuelekea uchaguzi mkuu October 2020.
Vijana changamkieni ajira bila kujali itikadi.
Source Nipashe
Maendeleo hayana vyama!
===
NEC: AJIRA 390,000 UCHAGUZI MKUU 2020
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), inatarajia kutangaza...
Miaka mitano hamna ajira kabisa wala kupandishwa mishahara wafanyakazi? Hebu vijana unganeni mumtoe huyu jamaa hata akiiba kura ingieni barabarani.
Hakikisheni utawala kama ule wa JK wa kuajiri kila mwaka madaktari na walimu unarudi la sivyo huyu jamaa atawaua maana hajali lolote bora mfe ila...
Habari zetu,
Mimi nimekuwa nikiomba kazi zinazotangazwa na Mohammed Enterprises Tanzania Limited - MeTL ila nimekuwa sipati majibu ya kuitwa, ila nikituma sehemu nyingine naitwa.
Unahisi nakosea wapi?
Ajenda kuu mwaka huu iwe ni suala la ajira watanzania tujiulize nani ana sera nzuri za kuwapa watoto wa wenye Nchi ajira ili nao wafike mahali pazuri kama ambavyo na wenyewe walipata ajira wakafikia hizo nafasi kubwa kubwa.
Tuache Kwanza habari za nyongeza ya mshahara kwa watumishi tujue...
Mh. Rais Dr. Magufuli tunakuomba kila mwenye shahada(degree)aendelee kulipwa hata baada ya kuhitimu shahada, mfano tukiwa milioni moja ukizidisha mara elfu tano ni kama milioni mia tano tu kwa mwezi na hapo wengi umeshawaajili hivyo tunakuwa kama laki tano tu ambao ni sawa na milioni mia mbili...
Habari wana JamiiForums,
Natafuta ajira ya udereva
Nina umri miaka 26.
Nina uzoefu wa miaka 7 kwenye magari ya mizigo, abiria na kawaida.
Pia ninaozefu wa kulima kwa trekta shambani.
Leseni yangu ni daraja B, C1, C2, C3, D, G, E
Tafadhali kwa ambaye ataniona naweza kumfaa naomba...
Hello JF...
Nimeijibu hii katika one of the topics but nimeona tudiscuss.
Kuna changamoto kubwa sasa hivi kupata ajira kwa wanaohitimu vyuoni.
Hata humu tukiona graduates wakitafuta kazi yoyote itakayowafanya waishi.
MImi leo ningependa kupendekeza kuwe na Facilitator/ Agency katika...
Wana JF,
Kuna Wazee wengi mfano wa Wassira bado wana uchu wa kuingia bungeni, Wazee kama Mkuchika piga chini wazee wote kwani ndio waliotudhooofisha kwenye kwenye maendeleo kwenye miaka waliohudumu walikuwa ni ndiyooo kwenda mbele, hawa wazee so kwamba wana lolote Bali ndio waliotengeneza CCM...
Huyu jamaa swala la ajira ameliona lakawaida sana bora ajenge barabara, madaraja na flyover na kununua wapinzani tu. Mwenzake jk swala la ajira alilikumbatia sana kiasi ambacho kila mwaka walimu wote waliajiliwa labda ukatae mwenyewe ajira. Madaktari nao wanasugua benchi kitaa.
Ikumbukwe kwamba...
Habari za Leo wakuu,
Naombeni kuuliza kati ya hizo kozi mbili tajwa ni ipi ina uwanja mpana wa ajira kwa hapa Tanzania?
Na ni ipi ipo wide?
Natanguliza shukrani.
1. Magufuli alisema kazi ya urais ni kazi ngumu sana anatamani aondoke hata leo, lakini bado kachukua fomu ya kuomba kuongoza dola (sio fomu ya kuomba nafasi ya chama kuwa mgombea). Na tena fomu ilikuwa moja tu.
2. Naona wakuu wa mikoa, wilaya, DED na wateule karibia wote wanataka kuwa wabunge...
Hivi unatambua kuwa hizi ni ajira kubwa sana mtandaoni kwa sasa?
Authors, trainers, motivators, consultants, councillors, inspirers, and teachers in any field.
Kama una uwezo au ujuzi katika Mambo haya uwanja ni wako. Cha msingi ni kujiboresha na kutafuta connection kubwa ya watu...
Kuna kundi kubwa sana la vijana wasiokuwa na ajira ama wako kwenye ajira zisizo rasmi na ajira za ujira mdogo. Hawa wote wanategemea siku moja kupata kazi zenye maslahi ya kuridhisha.
Kibaya zaidi kuna watu wameajiriwa serikalini na sekta binafsi lakini sio wote walio na malengo ya kustaafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.