BAVICHA: Ajira rasmi zimepungua kwa 78.1% katika kipindi cha Awamu ya Tano

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868

IMG_20200626_171427.jpg
 
Kama jambo la msingi kama hilo la ajira hali imekuwa mbaya hivyo, hii Serikali imefeli, na mbaya zaidi Serikali kujiingiza kwenye biashara ndio inazidi kuididimiza Sekta Binafsi inayoajiri watu wengi zaidi, hivyo hali ya kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja itazidi kuwa mbaya zaidi siku za mbeleni.
 
Bawacha,bavicha? Badala ya kuwaza wakitoe vipi chama chao kipo shimoni kinadidimia wanawaza kuitokomeza CCM!!! Maajabu hayaishi kwa bavicha
Mwenye kiti wa chama chakavu anaogopa Hadi vikao vya ndani vya Bawacha, Bavicha ni lzm polisi waone intelligencia
 
Kwa chama kipi hicho kijisaccos kilichojifia? Acha masihara
Heri ya saccoss wanachama wote wanufaika kuliko chama Mali binafsi ya mwenyekiti ndie mmiliki wote ni kufata amri aendae kinyume sumu inamuhusu.

Kutoka Mali ya wakulima na wafanyakazi Hadi kuwa Mali binafsi ya familia.
 
Naona umeongea kinyume Sacco's Ni Mali binafsi ya mwenyekiti na ndio mwenyekiti wa kudumu,na hakuna anae faidika hata wabunge anawakata Mishahara na zile billion's kala peke yake
 
Naona umeongea kinyume Sacco's Ni Mali binafsi ya mwenyekiti na ndio mwenyekiti wa kudumu,na hakuna anae faidika hata wabunge anawakata Mishahara na zile billion's kala peke yake
We uoni fomu imeprintiwa moja tu ya mmiliki wa chama aondoki kesho Wala keshokutwa
 
Hili suala la ajira wala halihitaji umri mkubwa wala elimu kubwa kutambua kuwa kuna anguko kubwa la ajira katika awamu hii pendwa.
Mbaya zaidi hali imekuwa tete kotekote serikalini na sekta binafsi kote vilio tu.
 
Kwa hali ninavyoiona on the ground nadhani hiyo 78.1% imewekwa tu kama Kupunguza makali, ila Mimi nikiambiwa ni 99.9% nitawaamini sana.
 
Kipaumbele cha CCM ni kuhakikisha CHADEMA inakufa. Swala la kuzalisha ajira sio Kipaumbele cha serikali ya awamu ya tano.
 
CCM inatakiwa kufukuzwa madarakani ni kupe mwekundunu ananyonya watanzania,ona walivyoharibu ajira
 
Back
Top Bottom