ajira

  1. JamiiForums Tanzania Wanaotafuta kazi, ajira, internship, apprenticeship, kujitolea, pitia HAPA

    Wanaotafuta kazi, ajira, internship, apprenticeship, kujitolea, pitia HAPA. Jiulize, je wewe ni: 1. Unayejali kazi (Professional) 2. Mwadilifu (Ethical) 3. Mwenye mtazamo sahihi (Right attitude) 4. Mbunifu, utakayeongeza thamani uendako (creative, add value). Jiandikishe TAESA.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Dereva wa uber natafu gari ya kazi iwe hesabu au mkataba

    Mimi ni dereva wa uber natafu gari ya kazi iwe hesabu au mkataba pia nina account ya uber na leseni namba yangu ni 0764254637
  3. J

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini: Ni zipi sifa za kusitisha ajira kihalali?

    Ili kusitisha ajira kuwe kwa halali mbele ya sheria ni lazima kuwe na misingi na kufuata taratibu zilizoainishwa. Mwajiri anahitajika kua na sababu za halali na za haki za kusitisha ajira. Mbali na sababu hizi za halali za kusitisha ajira, mwajiri ni lazima afuate taratibu za halali za kusitisha...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini: Fahamu kuhusu kusitishwa kwa ajira kusiko kwa haki

    Kusitisha ajira maana yake ni kumalizika kwa mahusiano ya kikazi baina ya mwajiri na mwajiriwa au mfanyakazi, kusitisha ajira kihalali, kuachisha kazi isivyo halali, kusitisha kazi kwa makubaliano, mwajiri kusitisha kazi, kuachishwa kazi, kuacha kazi, kustaafu, kuritaya, mwenendo mbaya wa kazi...
  5. JamiiForums Tanzania Una matatizo ambayo yanakusumbua lakini hujui wapi pa kuanzia kuyatatua?

    UNA MATATIZO AMBAYO YANAKUSUMBUA LAKINI HUJUI WAPI PA KUANZIA KUYATATUA? JE, unafikiri ni nani wa kulaumiwa kwa changamoto na matatizo yote unayopitia? Ni mzazi, mlezi, Ndugu, Jamii au serikali yetu? Na Je, unajua kuwa kusuluhisha tatizo lolote lile bila kujua chanzo chake, ni kama kushindana...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira, nina shahada ya uhandisi wa uchimbaji madini (Bsc Mining Engineering) nina uzoefu wa miaka 3

    Habari wana jamii, natafuta ajira yeyote inayohusiana na maswala ya madini. Elimu yangu ni shahada ya uhandisi wa uchimbaji madini(Bsc Mining Engineering), nimesajiliwa ERB kama graduate engineer, nina uzoefu wa miaka mitatu nimefanya kazi quarry mine na gypsum mine, na uwezo wa kutumia design...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Tanzania ajira hakuna au vijana ndio hawaajiriki?

    Habari wadau! Ebu leo tuongee ukweli hivi kweli Tanzania ajira ni tatizo au tatizo ni wahitimu wetu na vyuo vyetu vinavyozalisha hao wahitimu.? Si kwamba kuna vyuo vinatoa wahitimu wepesi wenye degree na GPA za chupi na zenye uzito wa kinyoya na weupe kichwani kabisa kiasi ambacho hata...
  8. JamiiForums Tanzania Vijana wasio na ajira waache kuiangalia Serikali, watumie YouTube kujinasua kiuchumi

    Youtube kuna kila kitu waweza jifunza kutengeneza mashine yeyote, waweza jifunza vitu vingi vya kukukingizia kipato. Ona hawa vijana wa Mumbai Uswahilini walioingia shindano la American GOT talents na kushinda dola Milioni Moja.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Job Opportunity: Safari – Tour Operator General Manager

    First Class Africa (FCA) is the premier provider of African experience. At First Class Africa, we are a vibrant team who imagine and do things differently. We have re-imagined the African tourism and hospitality delivery model and are now seeking a highly regarded hands on General Manager to...
  10. JamiiForums Tanzania Masters zenye soko kwa mtu mwenye BAEd ni zipi?

    Naomba kufahamu kwa mwenye BAEd ni masters degree gani zinafaa zaidi ili kwenda na soko la ajira? GPA 3.5
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Kikwete: Soko la ajira limekuwa gumu kiasi kwamba, ufaulu wa darasani pekee hautoshi kukupa ajira

    Wasomi wameongezeka tofauti na miaka ya nyuma ambapo ukimaliza kusoma degree kampuni kadhaa zinakusubiria na kukupa ofa nyingi, ili kuendelea kukuza uchumi wetu lazima tuwe wabunifu tufikirie nje ya boksi. Programu hii ya kujengea uwezo wasomi wetu ili kukabiliana na changamoto ya ajira kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka

    Duniani kote ajira ni changamoto, lakini namna ya kulishughulikia ndiyo tatizo zaidi hapa kwetu Tanzania. Kwanza Serikali imekuwa chanzo kikubwa cha tatizo hili na kupelekea kutengeneza mpaka propaganda ili ionekane imeajiri. Suala la Serikali kudai imeongeza kiasi cha ajira kinakifikirisha...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu nina degree ya procurement na uzoefu wa mwaka 1 kwenye banking and finance natafuta kazi

    Salamu nyingi kwenu wakuu, Mimi ni kijana mwenye elimu ngazi ya degree na pia Nina uzoefu wa Mwaka 1 kwenye banking and finance. Naomba msaada wenu ili nipate kazi iwe kwenye taasisi, shirika au kampuni au mahali pengine popote iwe kwenye stores, marketing, customer services department au...
  14. JamiiForums Tanzania Sipo tayari kufanya ajira take home chini ya milioni moja

    Mie ni muhitimu wa Degree ya Kwanza ya Banking na Finance mwaka huu wa 2020 na nimepata GPA kubwa. Kinachonishtua ni ofa zinazo patikana ni mishahara kiduchu mno! Kiukweli, over my dead body, sipo tayari kwa ajira ambayo take home yake ni chini ya milioni moja. Hope zinapatikana bila shaka.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Rushwa imeifikisha pabaya TAMISEMI. Je, hawa viongozi wanaoiongoza wanapaswa kuwepo hapo?

    Barua ya wazi kwa sekretarieti ya ajira na TAMISEMI Ndg, Viongozi wenye dhamana inayohusiana na AJIRA hususani Ajira za ualimu Mimi kama Mtanzania wa kawaida mwenye akili timamu na ambae pia ni Mdau wa ELIMU Naiomba Ofisi yako iweze kutoa ufafanuzi kuhusu baadhi ya majina ya waajiriwa wa Kada...
  16. JamiiForums Tanzania Mtu akipewa ujuzi huu anaweza kujiajiri Tanzania na hata nje ya nchi kwa ufanisi sana

    Wakuu ajira imekuwa shida sana na inauma kuona mtu akiteseka sababu ya kukosa ajira. Mi nilikuwa na wazo kuwa zianzishwe centre za kufundishana huu ujuzi wa kitaani tulio nao ili mtu akiienda sehemu akaufanye vizuri/ kujiajiri vizuri. Hizi kozi ziwe fupi tu, mwezi mmoja hadi miezi mitatu. Ni...
  17. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Ndumbaro umejichanganya sana kuhusu ajira 13,000 za walimu

    Badala ya kutoa majibu yanayo eleweka umeishia kujichanganya huku ukijibu kisiasa zaidi kwa kujikanyaga kanyaga Umesema mmetii agizo la mheshimiwa Rais la kuajiri walimu 13000 hapo hapo unasema mmeajiri walimu 8000 katika awamu ya kwanza. Hata hao elfu 8 hawajafika. wengine wapatao 5000...
  18. JamiiForums Tanzania Logo, Sticker na Poster za biashara kwa bei ya chini ya 5000/=

    Habari wanajamiiforum... mimi naitwa Alpha ninapenda kuwasogezea baadhi ya huduma zangu kwenu leo. ni matumaini yangu wengi watakao soma post hii ni aidha wafanya biashara au wafanya biashara watarajiwa au vyovyote vile. Ningependa kuwashirikisha baadhi ya huduma zangu ambazo ni pamoja na 1...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada tutani, Ajira mpya za ualimu

    Habari wanajukwaa wenzangu, natumai mu wazima mkiendelea na mapumziko ya weekend hii. Moja kwa moja nalipanda jukwaa hili nikihitaji msaada kuhusu ajira mpya za ualimu. Kifupi Mimi ni mhandinsi Ujenzi miaka ya 2016 nilibahatika kupata ajira serikalini ya kufundisha kwa kuwasikuwa na pa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Mwalimu ajira mpya, fahamu haya yatakusaidia

    Mambo muhimu yatakayokufanya udumu kwenye ajira 1. Kamwe usile miwa ya shule (usitembee na wanafunzi). Miwa ya shule ni mitamu ila nakuasa usijaribu kwa usalama wako. 2. Usihoji kila kitu kwa mkuu wa shule hasa MAPATO na MATUMIZI. Wakuu hawapendi watu wanaohoji. 3. Kopa kwa kiasi. Baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…