Mzee Edward Lowassa aliwaisema kuwa janga la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka

Oct 24, 2020
63
150
Ndugu zangu haya maneneo aliyasema Edo mwenyewe, lile gwiji la siasa haya maneno yanachembe chembe nyingi za ukweli, kwani leo uwezi kusikia mtu au kiongozi anasimama na kusema elimu ni ufunguo wa maisha mbele za watu, kwani kuna wengine elimu wanaiona kama imefunga maisha yao laivu.

Mtu anadigrii ya bachera yake ya yumani resosez kaweka vyeti sandukuni kama nguo mwaka wa 9 yaani haelewi alikuwa anafanya nini shule, ila anamapicha ya graduasheni na mataji kibao shingoni kumbe yanamnyonga kimaisha.

Mimi kama Mtoto wa Mchungaji naongeza unabii wangu hapa kuwa kilakitu alichokileta mgeni ni kibaya tu, iwe mwarabu au mzungu vyote ni vibaya kwetu na ni mabomu yanayosubiri kulipuka. Vitu vya kigeni vingi ukiviangalia latika short run vinaonekana kama ni vizuri lakinia ukinyanyua macho mbele katika long run ni hatari sana kwetu sisi waafrika.

Angalia vitu hivi vyote ni vibaya na si vyetu wengi wenu hamjui hatata kidogo baadhi wachache sana wanaelewa kidogo sana, vitu hivi ni kama Utumwa, Ukoloni, Mapinduzi ya viwanda, Ubepari, imperializimu, Democrasia, Ukristu, Uislamu na utandawazi hivi vyote si vyetu tulikuwa na vyetu tukaviita vya kishenzi ngoja tuone sasa hivi vya kigeni kama si vya kishenzi.

Angalia kijana ambaye kabla ya kwenda hizo shule aliweza kujitegemea kama kulima, kuchunga ng'ombe, kurithi kazi aliyokuwa akifanya babayake lakini anaporudi kutoka chuo hawezi tena kufanya kitu chochote cha jamii yake hata kusafisha banda la ng'ombe awezi tena anaona kinyaa na hata chakula cha asili kama ni kijijini kwao kinamshinda kula kweli elimu ni ufunguo wa maisha.

Ninamaliza kwa kusema kuwa Kila kitu kilicholetwa na wageni ni vibaya kwetu na ni vya kishenzi. Hata kanisa na Msikiti tuliletewa yaani Afrika tulikuwa na Mungu ambaye alikuwa anaonekana katika shida na raha tuka mkataa na kuwafuwata miungu ya kiarabu na kizungu imetugawa sisi tunaona sawa tu. Yaani tukaona Mungu wa wazungu na waarabu ni bora kuliko Mungu wa baba zetu, saa inakaribia na saa imefika tutajua tu.
 
sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,468
2,000
Hayo sio maneno ya kinabii, ni suala lililowazi... Kila mtu angeweza kusema hivyo. With due respect, no credits to the mentioned dude.
 
kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
1,262
2,000
Tatizo la ajira limesababishwa na sera mbovu za CCM awamu hii ndo imeliongeza maradufu. Kama wakoloni waliweza ccm wameshindwa vipi hali mkoloni aliacha kila kitu akaondoka na begi lake tu.
 
pilipili--mbuzi

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
1,110
2,000
Ndugu zangu haya maneneo aliyasema Edo mwenyewe, lile gwiji la siasa haya maneno yanachembe chembe nyingi za ukweli, kwani leo uwezi kusikia mtu au kiongozi anasimama na kusema elimu ni ufunguo wa maisha mbele za watu, kwani kuna wengine elimu wanaiona kama imefunga maisha yao laivu. Mtu anadigrii ya bachera yake ya yumani resosez kaweka vyeti sandukuni kama nguo mwaka wa 9 yaani aelewi alikuwa anafanya nini shule, ila anamapicha ya graduasheni na mataji kibao shingoni kumbe yanamnyonga kimaisha.

Mimi kama Mtoto wa Mchungaji naongeza unabii wangu hapa kuwa kilakitu alichokileta mgeni ni kibaya tu, iwe mwarabu au mzungu vyote ni vibaya kwetu na ni mabomu yanayosubiri kulipuka. Vitu vya kigeni vingi ukiviangalia latika short run vinaonekana kama ni vizuri lakinia ukinyanyua macho mbele katika long run ni hatari sana kwetu sisi waafrika.

Angalia vitu hivi vyote ni vibaya na si vyetu wengi wenu hamjui hatata kidogo baadhi wachache sana wanaelewa kidogo sana, vitu hivi ni kama Utumwa, Ukoloni, Mapinduzi ya viwanda, Ubepari, imperializimu, Democrasia, Ukristu, Uislamu na utandawazi hivi vyote si vyetu tulikuwa na vyetu tukaviita vya kishenzi ngoja tuone sasa hivi vya kigeni kama si vya kishenzi.

Angalia kijana ambaye kabla ya kwenda hizo shule aliweza kujitegemea kama kulima, kuchunga ng'ombe, kurithi kazi aliyokuwa akifanya babayake lakini anaporudi kutoka chuo hawezi tena kufanya kitu chochote cha jamii yake hata kusafisha banda la ng'ombe awezi tena anaona kinyaa na hata chakula cha asili kama ni kijijini kwao kinamshinda kula kweli elimu ni ufunguo wa maisha.

Ninamaliza kwa kusema kuwa Kila kitu kilicholetwa na wageni ni vibaya kwetu na ni vya kishenzi. Hata kanisa na Msikiti tuliletewa yaani Afrika tulikuwa na Mungu ambaye alikuwa anaonekana katika shida na raha tuka mkataa na kuwafuwata miungu ya kiarabu na kizungu imetugawa sisi tunaona sawa tu. Yaani tukaona Mungu wa wazungu na waarabu ni bora kuliko Mungu wa baba zetu, saa inakaribia na saa imefika tutajua tu.
Kaabudu mizimu wewe mwenyewe.
 
chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,250

Imekaa vibaya.
 
713

Senior Member
Apr 1, 2018
107
250
Mungu aliumba akili hakuumba Elimu wengi tuna akili ila tunadanganywa na hadaa Za Elimu ndio maana tuwajinga

#msemo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom