Dereva wa uber natafuta kazi

Jumanneugama

New Member
Feb 28, 2021
1
2
Habari ndugu zangu Mimi ni dereva wa Uber natafuta gari ya kazi.

Nina uzoefu wa Kazi zaidi ya miaka miwili ya Uber Nina account ya uber na bolt pia nina leseni class c pia gari iwe ya mkataba au hesabu niko teyari.

Namba yangu ni 0624055653
 
Kama unatafuta ajira na upo teyari kulinda....ebu njoo gardaword....ila hakikisha wewe ni mrefu...uwe na cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha nida...bila kusahau TIN...Ofisi zipo mikocheni kwa mwinyi mshahala kimo cha chini ni 250k
 
Duh hivi unajua mziki wa kuipata 250 kwa week na uber au unaropoka tu?
 
Duh hivi unajua mziki wa kuipata 250 kwa week na uber au unaropoka tu?
we ndio unaropo...**ka mzee haujaelewa mwenzako anasema nn unadakia dakia tu mzee, mwenzako haongelei uber kuleta 250,000 kwa wiki ila kamwambia aende gardaword anaweza pata kazi ya ulinzi mashara kima cha chini ni 250,000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom