ajira

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ofisi za wanaoshughulika na ajira portal zipo sehemu gani kwa Dar es Salaam?

    Nimekuwa na tatizo kidogo kuhusiana na mfumo wa ajira portal ie online application. Hapo wameweka namba za msaada kama ukihitaji kuwapigia. Lakini hizi namba huwa aidha hazipatikani kabisa au unaambiwa ziko busy! Sasa nimeamua kufuatilia ofisini na ndio maana naomba maelekezo kwa anayefahamu...
  2. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Fursa za Ajira na Kazi kwa Vijana ni Muhimu kwa Maendeleo ya Dunia

    Kazi\ajira ni sehemu muhimu ya maisha ya watu. Ina maana kubwa zaidi ya malipo anayopata mtu. Inamaanisha kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi binafsi kuhusu jinsi anavyotaka kuishi maisha yake. Hata hivyo, wapo ambao wanakabiliwa na ukosefu wa kazi/ajira za kuwawezesha kiuchumi hivyo kuathiri kwa...
  3. daraja la kigamboni

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye ajira portal: Verification certificate ni nini?

    Wenye kujua tafadhali
  4. H

    JamiiForums Tanzania Msaada Ajira Portal ya Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Wakuu Portal ya Tume ya Utumishi wa Mahakama ni Pasua kichwa, kila ukijaribu ku register ili ufanye application haikubali ukipiga simu ya maulizo unajibiwa "linafanyiwa kazi na watu wa IT" na deadline imekaribia. Kuna ambaye amejaribu amefanikiwa kutuma application anisaidie ? Au ndio janja...
  5. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tuzae na wanawake wazuri ili watoto wetu wasikose ajira huko mbeleni

    Najua kuna watu watanipinga ila huu ndio ukweli. Muonekano wa mtu unaweza kumsaidoa kupata fursa au kukosa fursa fulani. Kuna watu wengi nawajua wapo kwenye vitengo nyeti si kwa sababu wana uwezo kichwani bali muonekano wao umewabeba. Wewe unayelilia ajira kabla ya kumlaumu Mungu hebu...
  6. vnn

    JamiiForums Tanzania Waombaji wote kupitia ajira portal naombeni mnijibu hili swala

    Je kwenye uandishi wa barua ya maombi, anwani unaandika ya taasisi husika au unaandika anwani ya sekretarieti ya ajira? pia je barua ya maombi inawekwa pale kwenye kipengele cha Recomendation Letter au inawekwa sehwmu gani? naombeni msaada katika hilo wakuu🙏🙏🙏
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal watu wa BCOM Finance mmetusahau

    Tafadharini jamani wahusika wa hili swala(Ajira portal)najua wahusika mko hapa na mnatatua shida zinazolalamikiwa kwenye hili jukwaa,NAWAPONGEZA KWA HILO issue kubwa hapa ni sie wenye bachelor ya finance kutokukumbukwa kwenye kazi zote za account officer, auditing na hata financial management...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ajira sekta binafsi Vs ajira za serikali za mitaa

    Hili lipoje , mnapomaliza chuo na mkafanikiwa kuajiriwa , mmoja akijiriwa sekta binafsi na mwingine akajiriwa serikalini hasa hizo ajira za local government, maisha ya aliyeajiriwa private sector huwa mazuri ukilinganisha na wale wa serikalini,lakini as time goes on wajiriwa wa serikali maisha...
  9. Hajto

    JamiiForums Tanzania Ajira bila kupitia Utumishi

    Habari zenu mabibi na mabwana,naomba kuuliza jamani eti ni shirika gani ama idara ya serikali gani inaajiri wenyewe bila ya kupitia utumishi
  10. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaupiga mwingi Sana katika suala la ajira na Mambo mengine

    Jamani kama mtu anafanya vizuri kwanini tusimpongeze? Binafsi bado sijapata ajira ya serikali lakini nina matumaini makubwa kuwa Mambo yatarudi kama zamani. Sasa hivi ajira zinatangazwa utumishi, halmashauri mbalimbali n.k. hii itasaidia kupunguza ugumu wa maisha kwani mzunguko wa pesa utakuwa...
  11. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa ni utumwa; mlio nje ya Ajira Rasmi kazeni Buti. Wenzangu jobless nafasi yenu kwa busara yangu ukajiajiri, utakuja kunishukuru

    Jiajiri utaepukana na mateso manyanyaso na kuabudia binadamu asiye na shukran. Marais na viongozi wetu wanafanyakazi ya ziada Sana. Katika utendaji kazi Kuna Mambo mengi yamefichikamana. Hutaona mapema. Jiajiri na hakikisha unaongeza ujuzi mara Kwa mara kw kile unachoamini utatusua. Hata kama...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kupata ajira magereza kwa cheti cha kidato cha nne?

    Habari za muda huu wakuu nina Degree, Je, naweza kuomba ajira za magereza kwa kigezo cha form four na kutakua na uwezekano wa kupanda cheo hapo baadae kutokana na elimu niloyonayo? Vigezo vyote ninavyo kama JKT. Nawasilisha
  13. Jbg Joely Songoyi

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya ajira za Jeshi la Magereza

    Jbg
  14. pmanlima

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuacha ajira na kujiajiri bila kujutia mbeleni

    USIACHE AJIRA KABLA YA KUJITATHIMINI KWANZA: hapa namaanisha ujiulize je ajira yako inakupa furaha au inakukera na unaenda tu ili uweze kukidhi mahitaji yako ? na je ukijitathimini ukiwa uzeeni kwako baada ya kuendelea na hiyo ajira bila kujaribu kujiajiri utajilaumu au hautajilaumu? basi...
  15. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za Utumishi zinachanganya. Matangazo yametoka mawili, lipi ni sahihi?

    Wadau, tarehe 28 May Utumishi walitangaza nafasi za kazi kwa watanzania kada mbalimbali ILA Kuna kitu kimenichanganya hapa kama ifuatavyo: Haya matangazo yanaonesha yako mawili na hata idadi ya Ajira zinatofautiana, Kuna tangazo moja lina posts 1904 total na tangazo la pili lina posts 2057. So...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia, Sasa ajira ni za kumwaga vijana wanafanya kazi tofauti na miaka mitano iliyopita

    Nakumbuka miaka mitano iliyopita ilikuwa ya matusi kwa vijana eti wajiajiri kinara wa kutamka hivyo akiwa ni rais na Ndugai. Sasa mama kaona Kulikuwa na tatizo mahara na Sasa both prive sector and public sector ziko active kutoa ajira. Kila aliyesoma angalau ana cha kufanya hata kama hakikidhi...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hali ya Ajira imeanza kutengamaa taratibu

    Vijana wapo wanachapa kazi angalau huwez fananisha na miaka ya nyuma Namuomba Ndugu Samiah Suluhu hakikishe anafufua sekta binafsi ili vijana waweze Kupata Ajira kwa wingi Kama enzi za Mzee Mrisho Jakaya kikwete. Au Mzee Mwinyi.
  18. Tape measure

    JamiiForums Tanzania Ajira zinazopatikana katika njia za Digitali (Freelancing Jobs)

    Freelancing jobs: Hizi ni kazi za mtandaoni ambazo mtu unafanya ukiwa katika ofisi yako ama nyumbani kwako zinaitwa freelancing jobs, ajira hizi unakuwa hujaajiriwa na mtu yeyote bali umejiajiri mwenyewe, kwa lugha nyepesi unaweza kuita kazi za mkataba/ contact jobs. Hapa ni wewe na mwenye kazi...
  19. emmarki

    JamiiForums Tanzania ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

    Mama kaachia asali, mpaka July wengi mtakuwa mnasheherekea. Nimekuwekea baadhi ya vidokezo vichache vinavyoweza kukunyima nafasi ya kuchaguliwa kwa ajili ya usaili (SHORTLISTED) kwa wanaopotia ajira portal. Kutosaini barua yako ya maombi, najua kabla ya kupakia barua yako ya maombi mfumo...
  20. Kididimo

    JamiiForums Tanzania NACTE ichunguzwe. Imeshindwa kutoa Vyeti kwa wakati vya Wahitimu wa LITA. Wanaenda kukosa ajira zilizotangazwa na Serikali

    Serikali yetu makini hivi karibuni imetangaza nafasi za ajira lukuki kwa vijana waliohitimu Mafunzo ya mifugo sehemu mbalimbali. LITA kama Taasisi ya Serikali yenye ithibati ya kutoa mafunzo hayo ikisimamiwa na NACTE imekuwa ikitoa wanafunzi lukuki kila mwaka. Ili uweze kutambulika kifani ni...
Back
Top Bottom