Habari za siku nyingI wana jf?
Poleni sana na kazi.
Nijielekeze kwenye maada. Natatizwa sana na namna mfumo wa maombi ya ajira TAMISEMI unavyofanya kazi hadi kupata idadi inayohitajika.
*Hivi mfumo unachaguaje watu?
*Naamini kuna watu wanaousimamia na kuulinda mfumo usiingiliwe, je unalindwa na...
Ikiwa ni siku 4 baada ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu kutangaza ajira za muda za Sensa. Watu 119,468 wameshajitokeza kuomba ajira hizo ambapo waombaji 58,916 ni wale ambao hawana ajira sawa na 49.3%
Idadi hiyo ni ya kuanzia Mei 4 hadi saa saba kamili Mei 9, 2022. Aidha katika walioomba kazi hizo...
Kwa wale wanafunzi na mtu yeyote binafsi ambae angependa kuweka windows 11 kwenye mashine yake. Tunaweka window 11 ki proffesional zaidi. Tunakuwekea ikiwa na keys na application zinginezo kama
Integrated / Pre-installed:
- Updates are integrated until 8 May, 2022
Chorme
Winrar
7Zip
Vlc
Winamp...
Ndugu zangu hii kitu mimi hainiingii akilini.
Ukifatilia mijadala ya vijana wa CCM kuhusu hali halisi ya siasa na chama chao utashangaa.
Nimekuwa nikifatilia mijadala Star Tv kwenye kipindi cha Siasa, demokrasia na uchumi wale wageni wanaowakilisha chama na kujitanabaisha kuwa ni wasomi hawana...
Kuna kilio kikubwa sana toka kwa watu ambao hawakusoma vyuo vya Tanzania yetu. Ajira za serikalini zinazoelekezwa katika vyuo vya elimu ya juu vinahitaji uwe na kiwango fulani cha GPA, nadhani iwe 3.8 kwenda juu. Hili ni hitaji sahihi lakini kuna tatizo la kukariri neno GPA hata kwa watu...
Kwanza, mafuta bei yake iko chini huko Zanzibar. Pia maisha ya Wazanzibari ni nafuu mno kwasababu hakuna mfumuko wa bei.
Pili, ukitupia jicho kwenye umeme bei iko chini na ni karibu na bure. Mwaka huu rais wa visiwa hivyo alitangaza kuwa nguzo za umeme itakuwa bure
Tatu, mwaka wa mwisho wa...
TAMISEMI walipewa kibali cha kuajiri waalimu wapya 9,800 na walioomba ajira hadi kufikia Mei 4 ni watu 119,133 ambayo ni 12.15 larger than the available posts. Hiyo ni sawa na 1215.6%, na hapa TAMISEMI wameongeza muda wa kutuma maombi. Je Hii inakupa picha gani?
Hata kwa watumishi wa afya, watu...
Kwenu watendaji wa Tamisemi.
Kuna vijana wengi wameomba ajira za ualimu ambao sio walimu na mfumo umewakubali kabsa bila shida
Sasa kwa ushauri tu muanze na mchujo wa vyeti vya chuo kabla ya kitu kingine mtanishukulu badae
Mabere Makubi alifukuzwa na ITV baada ya kuripoti Habari ya maandamano ya machinga Mwanza.
Alishinikizwa kwenda Kwenye vyombo vya HABARI kuomba radhi.
Akatumwa MTU ITV kwenda kushinikiza afukuzwe kazi.
Familia yake ikaanza kuteseka na akaanza kuombaomba huku waliomfanyia huu unyama wakiwa...
Kumezuka tabia ya baadhi ya Waajiri ikiwemo Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili siku za Jumamosi ( hususani Usaili wa Mchujo).
Kitendo hiki ni Kinatafsiriwa kama Ubaguzi (Discrimination) kwa waumini wa Kanisa la Waadvetista Wasabato ambao Jumamosi ni siku ya Ibada therefore, by doing so...
Habari za leo wakuu. Kwa wale wenye diploma za ualimu tunaoomba nafasi za ajira tamisemi kwenye kipengele cha NACTE reg number tunajaza namba gani naona kwangu inagoma.
Kuna namba iko kwenye cheti cha chuo ila nikiweka haikubali niweke nta level pia niattach cheti.
Mwaka mmoja baada ya kuimaliza kidato cha sita, nilirudi nyumbani kuona hali inaendaje. Ups and downs zilipita za kutosha, hatimaye Mwananchi Communication Limited wakatangaza kuwa kampuni ya ATY kutoka Mafinga ina ajira. Maelezo kiasi na malipo ni mazuri, niende na chakula tu na chakula changu...
Why women fail to fight until they get Life and end up giving up naked to live with every Man who seduces them turns him into a source of money
But we galla Love for them
most of women are shit
Imekuwa ni kawaida kuona figisu figisu ikitawala katika ajira za walimu. Baadhi ya figisu figisu hizo ni kama ifuatavyo.
1. Kutangazwa kwa nafasi za walimu wa Physics na Hesabu lakini wakachaguliwa baadhi ya walimu wa biology na chemistr. Walimu wa chemistry na biology ambao hawakuomba wakaona...
Habari wakuu,
Kwa wale WAOMBAO ualimu, Tamisemi Kuna kipengele kimeongezeka ambacho ni uzoefu wa kufundisha.
Kipengele hicho kipo baada ya sehemu iliyoandikwa viambatanisho vingine.
Kipengele hiki kinaonekana kwa waombaji wapya kuanzia juzi usiku, ebu cross check profile yako Kama...
Wakuu Wasalaam,
Nina CHETI cha Kiapo toka Mahakamani kutokana na majina kutofanana katika vyeti vya Shule, NIDA na Kuzaliwa.
Sijajua nakiweka katika section.
Msaada please
Wadau katika hizi Ajira zilizoitangazwa na Serikali niliona Kuna Ajira za Sheria na Kilimo/Mifugo kama sikosei.
Ila mpaka Sasa hizo za sheria sijaona zinatangazwa.. sijajua hizo zingine za mifugo. Hivyo wadau zikitangazwa hizi za Sheria mnitaarifu mapema. Now naingia huko Chaka kufanya mavuno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.