Mtangazaji wa ITV Mabere Makubi usiangaike na ajira ITV, wiki ijayo utapata ajira nje nakamilisha mazungumzo

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,979
Mabere Makubi alifukuzwa na ITV baada ya kuripoti Habari ya maandamano ya machinga Mwanza.

Alishinikizwa kwenda Kwenye vyombo vya HABARI kuomba radhi.

Akatumwa MTU ITV kwenda kushinikiza afukuzwe kazi.

Familia yake ikaanza kuteseka na akaanza kuombaomba huku waliomfanyia huu unyama wakiwa wanakula Idd na Pasaka na familia zao.

Waandishi wenzake wamemtenga, Nyanda anatumia akaunti yake ya Instagram kuzidi kumchafua akidhani anamsaidia.

Anamwandika as if anamwombea msamaha kumbe indirect anamzalilisha nakutumika na system kuonyesha kwamba serikali inaweza kukufanya chochote.

Taarifa hizi nimezifikisha Kwa mdau wa masuala ya Habari nchi jirani, anafuatilia CV yake aone kama anaweza kumpa kazi ya reporter kutokea Tanzania. Wakiona CV inafaa watamchukua.

Nimeshauriana pia na wenzetu waandishi wa Habari ana wamiliki binafsi , wanaangalia namna ya kumsaudia Mzee wetu huyu aweze kuendeleza taaluma yake.

Lakini hii inatufundisha kwamba hakuna solidarity miongoni mwawana Habari. Kila Siku wanateseka lakini ukifuatilia hotuba Yao Leo is as if Kila kitu kipo sawa.

Wakati huo huo wapo mawakili wanafuatilia namna ya kuchukua hatua endapo ITV walikiuka taratibu za ajira

Tumsaidie mwenzetu; tuungane. Imeandikwa na F.T.F,
 
Mabere Makubi alifukuzwa na ITV baada ya kuripoti Habari ya maandamano ya machinga Mwanza.

Alishinikizwa kwenda Kwenye vyombo vya HABARI kuomba radhi.

Akatumwa MTU ITV kwenda kushinikiza afukuzwe kazi.

Familia yake ikaanza kuteseka na akaanza kuombaomba huku waliomfanyia huu unyama wakiwa wanakula Idd na Pasaka na familia zao.

Waandishi wenzake wamemtenga, Nyanda anatumia akaunti yake ya Instagram kudhidi kumchafua akidhani anamsaidia. Anamwandika as if anamwombea msamaha kumbe indirect anamzalilisha nakutumika na system kuonyesha kwamba serikali inaweza kukufanya chochote.

Wewe mwenyewe kanjanja tu utamsaidiaje mwenzio kuajiliwa nje?

Unadhani una uwezo huo? Hebu acha vituko!
 
Kumbe ITV nao ni wakora?
 
Lakini hii inatufundisha kwamba hakuna solidarity miongoni mwawana Habari. Kila Siku wanateseka

Wakati huo huo wapo mawakili wanafuatilia namna ya kuchukua hatua endapo ITV walikiuka taratibu za ajira
It's very painful!, most media correspondences ni deiwaka!.
Hili nililijua baada ya kifo cha Daudi Mwangosi wa Channel Ten.

P
 
Mabere Makubi alifukuzwa na ITV baada ya kuripoti Habari ya maandamano ya machinga Mwanza.

Alishinikizwa kwenda Kwenye vyombo vya HABARI kuomba radhi.

Akatumwa MTU ITV kwenda kushinikiza afukuzwe kazi.

Familia yake ikaanza kuteseka na akaanza kuombaomba huku waliomfanyia huu unyama wakiwa wanakula Idd na Pasaka na familia zao.

Waandishi wenzake wamemtenga, Nyanda anatumia akaunti yake ya Instagram kudhidi kumchafua akidhani anamsaidia. Anamwandika as if anamwombea msamaha kumbe indirect anamzalilisha nakutumika na system kuonyesha kwamba serikali inaweza kukufanya chochote.

Taarifa hizi nimezifikisha Kwa mdau wa masuala ya Habari nchi jirani, anafuatilia CV yake aone kama anaweza kumpa kazi ya reporter kutokea Tanzania. Wakiona CV inafaa watamchukua.

Nimeshauriana pia na wenzetu waandishi wa Habari ana wamiliki binafsi , wanaangalia namna ya kumsaudia Mzee wetu huyu aweze kuendeleza taaluma yake.

Lakini hii inatufundisha kwamba hakuna solidarity miongoni mwawana Habari. Kila Siku wanateseka lakini ukifuatilia hotuba Yao Leo is as if Kila kitu kipo sawa.

Wakati huo huo wapo mawakili wanafuatilia namna ya kuchukua hatua endapo ITV walikiuka taratibu za ajira

Tumsaidie mwenzetu; tuungane. Imeandikwa na F.T.F,
Huku tunapoendelea wananchi watajikuta wanakero hawana pakusemea. Rais anatakiwa aachie uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa wananchi kuzungumza kero zao. Akiendelea kuwakumbatia hao Tiss n.k wanamdanganya tu nchi inaharibika. Wapiga kura ni hao hao wananchi
Huu utishwaji tishwaji umepelekea vyombo vya habari vinareporty vikao na seminar za serikali lakini mambo yanayogusa jamii moja kwa moja wanaogopa. Mf. Millard Ayo ni bure kabisa
 
Waandishi wa habari Tz,Bongo Muvi,,na waimba taarabu wote kuanza Diamond mpk Homorapa...Nyie mkipata na msiba msitushirikishe raia wema...Pambaneni na hali zenu...

Ni watu wa hovyo Sana hapa Tz Zama hizi...
 
Mkiambiwa Tanzania ni moja ya nchi ambazo wananchi wake hawana furaha mnabisha eti ooh mbona tunakula ugali matembele kwa raha mustarehe bila kusikia milio ya risasi mara sijui blahblah gani .sababu zenyewe ndio kama hizi za kunyimana amani kwenye nchi yako mwenyewe
 
38 Reactions
Reply
Back
Top Bottom