ajira

  1. Nangu Nyau

    JamiiForums Tanzania Hatari kwenye soko la ajira

    Moja kwa moja kwenye hoja. Ni wakati sasa wa kuangalia kwa jicho kali ulinzi wa ajira za vijana wa Kitanzania na Watanzania kwa ujumla. Milango tulioifungua kwa kuruhusu wageni kuingia na kupata ajira kwa hoja ya kadili muwekezaji aonavyo inaanza kuwa hatari kwa ajira za wazawa na mustakabali...
  2. sandpiper

    JamiiForums Tanzania Ajira zilizoko mbioni kutoweka

    Watu wengi wanapendelea watoto wao waje kufanya kazi ambazo wao wanafanya . Lakini miaka inayokuja baadhi ya ajira zitakuwa hazipo tena badala zitafanywa na maroboti au mashine. Hizi ni baadhi ya ajira ambazo ziko mbioni kutoweka: Bank teller Mara nyingi ukienda benki kuweka au kutoa pesa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Waomba ajira huumia sana wakati majina ya waliopata ajira yanapotoka

    Waomba ajira huumia sana wakati majina ya waliopata ajira yanapotoka. Unakuta tangazo la ajira lilikuwa linataka wanaotakiwa kutuma maombi waliomaliza kuanzia 2012 had 2019 lakini utakuta baadhi ya waliopata ajira wamehitimu 2020 had 2021 na waliomaliza ndani ya miaka husika wamekosa.
  4. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Jinsi Utumishi walivyotuzuia watu zaidi 50 tusiingie kufanya usaili wa ajira

    Ilikuwa ni jumamosi iliopota tukiwa tunajianda watu takribani 200 tukiwa tunajianda kuingia kwenye usaili wa ajira wakati tukiwa katika ukaguzi wa kuingia katika chumba cha mtihani tufanye written paper Ghafla tulijikuta watu takribani 50 tulizuuliwa kuingia kwenye pepa ya written Kwa makosa...
  5. Amina68

    JamiiForums Tanzania Waombaji wa ajira za kada za afya, majina yao yameorodheshwa

    TANGAZO LA KUITWA KAZINI Wizara ya Afya inapenda kuwataarifu waombaji wa ajira za kada za afya zilizotangazwa kwenye Tovuti ya Wizara ajira.moh.go.tz tarehe 16 Aprili, 2022 hadi tarehe 03 Mei, 2022 kwamba zoezi la uchambuzi wa maombi ya kazi yaliyopokelewa limekamilika. Waombaji waliokidhi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza changamoto ya ajira?

    Bado kichwa changu kinauma kwa kutafakari ni nini haswa kifanyike kupunguza hizi changamoto za ajira kwa vijana wa kitanzania?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kupata ajira ni huruma au haki?

    Napenda kuuliza kupata ajira ni huruma au haki? Limenitokea leo kuna nafasi ya kazi itakuwa wazi soon,mmoja wa hiyo kazi ambae kisifa analingana na Mimi kaajiriwa serikalini Nikasema isiwe kesi, ngoja nimpandie mwajiri wake niombe hiyo kazi Kumbe alikuwa hajampa taarifa bosi wake Kama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Giza latanda, kwa waliosoma degree kupata ajira serikalini ni sawa na punda kupita tundu la sindano

    Sio siri kwa jinsi mwelekeo ulivyo kwa Sasa kwa watu waliosoma degree kupata kaz serikalin no asilimia ndogo Sana. Na kwa masikitiko makubwa wengi waliosoma degree ni wenye uchumi mdogo walifanya hivyo kutokana na kulipiwa ada na serikali. Najua kuna baadhi ya wanamember watasema kusoma ni...
  9. mwenye shamba

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya kuripoti ajira mpya ualimu

    Jamani naombeni kujua tarehe ya kuripoti tu ndugu zanguni,huku mtaani pamenichosha kabisa.
  10. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Baada ya hizi ajira za TAMISEMI, Wanaume wenzangu mmejiandaaje na mapenzi ya Bluetooth?

    INTRODUCTION Ashukuriwe Mhe. Raisi Mama Samia kwa kutuletea hizi ajira zaidi ya 11,000 hakika ameupiga mwingi.  PROBLEM Ila Sasa nataka kuongea na kuuliza mabaharia MMEJIANDAAJE NA NDOA/MAPENZI YA BLUETOOTH kati yenu na hao wapenzi wenu? SCENARIO Unataka kunielewa? Twende pamoja.... 1. Upo...
  11. Tall Guy fam

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ninakutana na changamoto hii kwenye Ajira Portal!

    Habari wakuu, Changamoto ninayokutana nayo kwenye ajira portal ni baadhi ya kazi zinafeli kuapply kwasababu ya kigezo cha degree ya kwanza (BSc). Nina Masters ya Environmental Science na Bachelor ya Environmental Conservation. Kwa mfano wanahitaji assistant lecturer wa Environmental science...
  12. More Chances

    JamiiForums Tanzania Nikiomba tena ajira niiteni mbwa nimekaa paleee

    Nimekosa tena ajira ya ualimu kipindi ambacho naiihitaji mno, Pdf zima limejaa certificate na diploma sisi bachelor sjui tukale wapi? Kungekuwa kuna namna ya kuibadilisha degree kuwa certificate ningefanya hivo ili mradi nizame ajirani. Nimeamua kuachana kabisa na huu ujinga wa kuifikiria...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kuchagua walimu kwenye ajira ni VIZURI MNO lakini havifuatwi KIKAMILIFU

    Ajira za walimu ndo vizo zimeshatoka tayari na tunaipongeza serikali kwa kutoa ajira hizo. Vigezo vilivyotumika NAKUBALIANA NAVYO ila kwa bahati mbaya sana HAVIFUATWI kwa ukamilifu wake na nitatoa mifano. Vigezo hivyo ni: 1. Mwaka wa kuhitimu ni kigezo cha kwanza. 2. Waliohitimu mwaka mmoja...
  14. fullcup

    JamiiForums Tanzania Nimekosa ajira za ualimu tena

    Ndugu zanguni nimekosa ajira tena! Nikiamini kwa 75% kuwa Kama tumetumia namba za NIDA basi umri na mwaka wa kumaliza chuo vitanibeba lakini wapi! Mwaka wa kuhitimu chuo kikuu 2015, umri wangu miaka 34 lakini nimepiga gape na vitoto vya mwaka 2020 na umri wa chini ya 25! Serikali kweli walikaa...
  15. system hacker

    JamiiForums Tanzania Book Keeping, Commerce na Economics yawe masomo ya lazima ili vijana wajiajiri

    Duuuu ni ngumu sana kuelewa watu wa Serikali kusisitiza watu wajiajiri; lakini walau watu hawajengewi mentality ya ki business. Kwa Tanzania yetu mandatory subjects yangekuwa: • Book Keeping • Commerce • economics • Computer Studies Imagine wale F.4 wanaomaliza wakiwa na Div. 0 / IV na hawana...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa yangu amechanganyikiwa baada ya kukosa ajira za ualimu

    Jamaa kamaliza chuo since 2015, matarajio yake yalikuwa this time lazima alambe ajira. Surprisingly hajaona jina lake. Alichofanya amenunua k-vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
  17. A

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI kwanini mliwahangaisha ndugu zetu kuomba ajira

    Kwanza niwape pole wadogo zangu mliohitimu miaka ya 2015 na 2016. Wenyewe mmejionea walivyotoa majina Hivi tamisemi inakueaje mtu wa mwaka Jana achukuliwe aachwe wa miaka ya nyuma? Mmekaa miezi miwili bila kutoa majina kumbe mnaingiza ndugu zenu? Bashungwa vijana wanakuchukia sana
  18. L

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa ajira mpya ualimu na afya

    Hizi hapa ajira mpya ualimu na afya
  19. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Wale mtakaofanikiwa ajira za Ualimu njooni hapa tujuzane

    Wana JamiiForums habari za leo Nimeona nilete Uzi huu kwanii yamebaki Masaa machache waziri mwenyedhamana kutangaza majina ya waliopata kazi kulitumikia Taifa katika kada yavualimu na kada ya afya. Hivyo basi wale mtakao fanikiwa njooni hapa tujuzane . ili uweze kupata mwenzio, .au wa njia...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ajira port lakini kila nikiomba naambiwa failed

    AJIRA PORTAL NINA ACADEMIC QUALIFICATIONS ZINAZOKIZI LAKINI KILA NIKI APPLY NAAMBIWA FAILED? Mwenye uzoefu naomba anisaidie Kama Ni professional qualifications pia naomba kujua kwa watu wa education KIPENGELE Cha professional qualifications inatakiwa kujaza vitu gani
Back
Top Bottom