Observation hii nimeifanya kwa muda mrefu, nimeongea na watumishi waliojiriwa na kufanya kazi private sector Kisha wakajiriwa serikalini, waliofanya kazi maisha yao yote private sector na wafanyakazi waliojiriwa serikalini kisha wakajiriwa private sector na waliojiriwa na kufanya kazi maisha yao...
Akichangia hoja ya Utoshelevu wa Watumishi wa Umma na mifumo ya ajira nchini Bungeni leo, Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ameagiza Sekretarieti ya Ajira kutangaza vijana waliofaulu usaili wa ajira za utumishi wa Umma na Julai 1, ajira zote mpya zianze...
Sekretarieti ya Ajira, hivi hamna mtu wa quality assuarance? ili akague adverts zenu kabla ya kuwekwa kwa portal na kwenye webiste? hivi hamnuoni kwamba kuna kazi nyingi zina makosa?
Unakuta kazi ipo kwenye category yako na programme yako iko listed lakini huwezi kuomba kazi unaambiwa programe...
Chuo Kikuu cha Dodoma kupitia utumishi kimetangaza nafasi 221 za ajira.
Watu mbalimbali wanatakiwa kujaza nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Tutorial Assistants, assistant lecturers, lecturers, technicians, transcribers n.k katika fani mbalimbali.
Wenye sifa nafasi hii.
Hivi lilikuwa ni...
Kwenu tamisemi
Nawaomba muongeze hii certification kwenye portal yenu na iwe muhimu/lazima mnapotaka kuajiri watu wanaoenda kusimamia miradi.
Hii certificate inatolewa na Project Management Institute (PMI) ya Marekani kama standard ya dunia nzima kwenye usimamizi wa miradi.
Itaongeza sana...
Wakuu habari,
Naomba msaada wa maelekezo ya kufika hapo Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Udom nikitokea stand ya dalala Sabasaba.
Asante sana 🙏
Hawa Tamisemi wako kimya tu kuhusu ajira za walimu. Bila shaka wamelenga ajira zianze julai mosi. Sasa ni vizuri wakatoa majina mapema ili watu wajipange, wasije wakatoa majina kisha kutoa muda mfupi wa kuripoti na vitisho kuwa mtu asiporipoti mapema nafasi yake itachukuliwa. Ninachoshangaa ni...
Kwa uelewa wangu mdogo huwa najua kwamba watu wanao takiwa kupewa vibali ya kazi na uhamiaji ni wale Expert tena na wao ni kwa muda fulani, lakini nashindwa kuelewa pale napo kutana na walinzi wa getini kwamba nao ni Expert na wametolewa Asia huko. Wafanya kazi za ndani wapo walio letwa kutoka...
Sekretarieti ya ajira tupeni ufafanuzi kwanini hizo ajira za PURA wasipewe watu waliosomea Petroleum Geology, Petroleum Engineering na Petroleum Chemistry?
Serikali ilipokua inaanzisha hizi kozi ililenga watu hawa waajiriwe kwenye taasisi zilizojikita zaidi kwenye mambo ya mafuta na gesi.
Sasa...
Huku ni KUPITILIZA na tunasema HAIKUBALIKI KABISA. Haiingii akilini watu na akili zao kuamua kutokuheshimu kwa makusudi imani ya watu ambao wanapaswa kuwa kwenye ibada KANISANI na kuipanga siku hiyo kuwa ni siku ya kuwasaili waombaji wa ajira.
Ina maana wanaoendesha usaili huu kama ni wakristo...
Mkutano wa 90 wa Kimataifa wa Kazi unaofanyika mjini Geneva umetangaza Juni 12 kila mwaka kuwa "Siku ya Dunia dhidi ya Ajira kwa Mtoto", na kuzitaka nchi zote duniani kutoa kipaumbele kwa tatizo la utumikishwaji wa watoto na kuchukua hatua halisi na zenye ufanisi za kutatua tatizo hili.
Abraar Computer Class.
Fursa ya ajira ya kudumu.
Kuna nafasi ya ajira ya Mwalimu wa kufundisha "short courses" za Basic Computer Applications.
Mwalimu awe na uwezo wa kufundisha kwa vitendo (practical) kwa aslimia 90 na theory asilimia 10, kuanzia watoto wadogo mpaka watu wazima adult...
Bila kuwepo Mikakati, Shirika la Kazi Duniani (ILO) linakadiria kuwa, Idadi ya Watoto wanaotumikishwa inaweza kuongezeka kwa Milioni 8.9 ifikapo mwisho wa 2022, kutokana na umasikini pamoja na kuongezeka kwa mazingira magumu
Hali ya Ajira kwa Watoto inatajwa kuwa mbaya zaidi katika Nchi...
Watu wengi wanatamani kuanzisha biashara mbalimbali, zenye mitaji ya maelfu, laki, mamilioni n.k
Changamoto inakuja, ni nani wa kumuajiri; au ni nani wa kusimamia hiyo biashara.
Inapotokea ameajiriwa kijana; yule kijana anaanza kuhujumu biashara, kuiba kidogo kidogo ili aende akaanzishe ya...
Hello mambo zenu. Naomba kuuliza, ivi ukiwa kwenye mfumo wa kuomba ajira kwenye portal katika ku apply kazi, zile barua tunazotakiwa kuandika address ya muandikiwa tunaweka ipi? Mfano hapa unaomba ajira
EMPLOYER
Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI)
Kwahyo address tunajaza ya muhimbili au...
Kwa wale wanaopenda wanyama,nchini Kenya kuna fursa kubwa ya kulea wanyama kama paka na mbwa.
Malipo ya kazi hii ni shilingi 1000 ya Kenya sawa na shilingi 18000 ya Tanzania kwa saa.
Kazi ya mlezi wa mnyama ni kumpa chakula ,kucheza naye, kumsafisha na kumpeleka hospitali mnyama
Kabla...
Niko naomba nafasi ya assistant Nursing officer, sifa inayotakiwa ni An ordinary diploma in nursing, cha kushangaza nimeomba sehemu moja tu ya bugando, sehemu nyingine eti naambiwa sina sifa,
tazama 👇👇
Sifa zinazotakiwa
Mimi Qualification nilizonazo na ambazo nimejaza kwenye akaunt...
Kamishna Jenerali wa Jeshi La Magereza anatangaza Nafasi za Kazi 1241- za kujiunga na Jeshi kwa Mwaka 2022.
Mwisho wa kutuma Maombi Tarehe 15 .JUNI.2022
--
Wadau kwema, niwapongeze kwa kufanikiwa kuiona siku mpya hakika Tumepata kibali cha siku mpya.
Katika pita pita zangu ktk.mfumo wa fursa za ajira utumishi wa umma, nimekutana na kitu ambacho kimenifanya niwaze na kutilia shaka uweledi wa sekretarieti.
Nimeambatanisha picha za moja ya nafasi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.