ajira

  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni kutuaminisha kwamba Umachinga na Bodaboda ni suluhisho la ajira kwa vijana

    Naandika nikiwa na masikitiko makubwa sana. Ina maana viongozi wetu hawaoni kwamba umachinga na bodaboda sio suluhisho la uhakika kuhusu ajira? Viongozi wote wa Chama Tawala na upinzani kwa nyakati tofauti wamekuwa wakitumia makundi haya mawili ku-boost agenda zao za kisiasa wakati wakijua hizo...
  2. knownless

    JamiiForums Tanzania Utumishi hivi mnatumia mfumo upi katika kupanga waomba ajira kulinga na kada zao?

    Natumaini wote ni wazima. Imenibidi nianzishe uzi huu nikiwa naamini baadhi ya wahusika wa Utumishi wataona na wachangiaji wengine watatoa maoni yao. Utumishi wametangaza kazi nyingi sana, ambalo ni jambo jema kwa sisi wasaka ajira. Tatizo linaanzia kwa baadhi ya wasaka ajira kushindwa kuomba...
  3. wilson nisha

    JamiiForums Tanzania Ajira ambayo Ina faida Sana japo ni Jambo jipya DEALNO1. Welcome

    Napenda kushiriki nanyi kuhusu deal no1. Ni online part time job ambayo inalipa Sana lkn issue hii ni mpya haikuwepo. Unakuwa wakala wa ku2ma orders online na kulipwa commission hapohapo ipo since 2017 japo kibongo imekuja sio mda. Capital ni kuanzia Dolla 10. Kiasi Cha kawaida sana...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu Binafsi vinalipa mishahara midogo sana

    Kichwa cha habari chahusika. Vyuo vikuu binafsi nchi hii ambavyo vingi vinamilikiwa na taasisi za dini wanalipa wahadhiri wao mishahara midogo sana. Huwezi amini mishahara ni midogo kuliko hata walimu wa shule za sekondari. Kwa mfano Mhadhiri msaidizi analipwa Tsh Milioni moja kabla ya makato...
  5. Riz king

    JamiiForums Tanzania Hizi ajira za TAMISEMI zinatoka baada ya muda gani?

    Wajuzi wa mambo hii PDF inayosubiliwa na vijana wenzangu wa Kitanzania huchukua kipindi gani hadi kukamilika.
  6. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Ni Muhimu Sana Kuwajumuisha Watu Wenye Ulemavu Katika Fursa za Ajira

    Watu bilioni moja (takribani asilimia 15 ya idadi ya watu duniani) wana ulemavu na takribani milioni 785 kati yao wana umri wa kufanya kazi. Kote duniani, watu wenye ulemavu wanakumbana na viwango vya juu vya ukosefu wa ajira kuliko watu wasio na ulemavu. Wanapoajiriwa, pia wana uwezekano...
  7. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Jamani fuatilieni Halmashauri mbalimbali, sasa zinamwaga ajira

    Kweli Mama Samia anaupiga mwingi, Ajira zinazomwagwa Sasa hv na Halmashauri mbalimbali nchini ni kufuru yaan Kila Halmashauri Ajira kibao Watendaji wa mitaa, mabwana Shamba na mifugo, madereva, maafisa manunuzi. Tembeleeni tovuti za halmashauri mbalimbali ili mufahamu namna ya kuomba kazi hzi...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Serikali Kufanya Mapitio ya Sera za Biashara Kwa Kuziboresha Kuwezesha Sekta Binafsi Kuchangia Uzalishaji Ajira Milioni 8- Waziri, Dr. Ashatu Kijaji

    Wanabodi, Nilihudhuria hii eventi Mshindi wa kwanza wa shindano la “STARTUPPER OF THE YEAR CHALLENGE BY TOTALENERGIES, Innocent Sule (mwenye Rasta ambaye picha yake pia inaonekana ukutani) wa kiwanda cha Soma Factories Tanzania Group ambao wanatengeneza mabegi ya shule yanye taa ya solar ya...
  9. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza upatikanaji wa ajira za mortually attendant

    Wakuu habari Leo nimeona Tangazo chuo cha Bugando wanatarajia kutoa mafunzo ya mortually attendant Nauliza vipi upatikanaji wake wa ajira kwa anayefahamu atujuze
  10. T

    JamiiForums Tanzania Yanasemwa mengi juu ya ajira za Sensa, nami niseme machache

    Kuna wanaosema ajira hizi za sensa wapewe ambao ni watumishi ili kudhibiti uzembe utakaojitokeza na wengine wanadai wapewe ambao hawana ajira ili walau wapate mitaji. Makundi yote ukiwasoma katikati ya mstari wana hoja zenye mashiko lakini kuna sehemu nakubaliana kutokukubaliana. Kundi la...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu amepata GPA ya 2.9 Shahada ya Sheria, atapata ajira kweli huyu?

    Eti wadau huyu ataajiriwa kweli au aendelee na mambo mengne?
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ajira wateuliwe wasomi waliofanikiwa kutengeneza ajira kupitia elimu zao

    Huu ni ushauri: Napendekeza Wizara ya ajira wateuliwe wasomi waliofanikiwa kutengeneza ajira kupitia elimu zao. Serikali isitishe kuteua mawaziri watafuta ajira katika hii wizara nyeti. Wanakosa ubunifu kwasababu wanakua hawana uzoefu wala ujuzi unaoweza kusaidia kuwapa uelekeo watanzania...
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Ajira za Sensa: Matapeli kazini

    Hizi Ajira za Sensa ambazo sifa Ni nyepesi Sana. Hivyo waombaji watakua wengi itakayopelekea kuongeza ushindani. Tutarajie matapeli kuiltambaa na beat ili kuwapiga hao "makarani tarajali" 1. Tapeli anatumia Gmail. 2. Mchango @35,000 (malazi na chakula). 3. Picha je?
  14. Shangani

    JamiiForums Tanzania Namba za help desk Sekretarieti ya Ajira hazifanyi kazi

    Namba za Help Desk +255735398259/+255784398259 Malalamiko ++255736005511/ 255679398259 Ijulikane kuwa hizi namba hazipo au kama mtu ana malalamiko afike hapo Dodoma kuliko kuweka namba ambazo hazipo na hazifanyi kazi.
  15. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Ajira kwa Watoto ni Uovu wa Kijamii Unaomuathiri Kila Mmoja

    Je, unaweza kufikiria maisha yako na mafanikio yako bila elimu uliyopata? Watoto wengi duniani, ikiwemo Tanzania, wanaibiwa fursa za maendeleo zinazoletwa na elimu bora kwa sababu wanasukumwa kufanya kazi ili kupata riziki ya kifedha. Kwa mujibu wa UNICEF na ILO, takribani mtoto 1 kati ya 10...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mbowe aache ubaguzi: Wanachama wengi wa CHADEMA ni jobless, kwanini asiwatafutie ajira hao, anatafutia wenye kazi?

    Nimeona tamko la Mbowe kumtafutia mbunge mmoja ajira ya mshahara wa milioni 34. Hiki chama asilimia kubwa hawana ajira, wanaganga njaa, kwanini hawatafutii ajira hawa? Vijana wa chadema, hata hili mmeshindwa kuhoji?
  17. Inanambo

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira waoneeni watafuta ajira huruma

    Ni jambo la kusikitisha Watalaam wa Secretariat ya Ajira kuwanyima Watafuta Ajira fursa ya Usaili. Eti huujaitwa kwenye Usaili (Shortlisted) kwa kuwa hujazibitisha Vyeti vyako kwa Wakili au Mwanasheria. Ingawa umekidhi vigezo vyote vya Sifa ya Ajira tajwa. Hivi wanashindwa Jumuiya mtafuta...
  18. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Vijana mnaishije huko mtaani wakati hamna ajira wala hamjajiajiri?

    Jamani hali ya ajira si shwari, kuna watu wamesugua benchi miaka zaidi ya mitatu achilia mbali wale junior jobless, huku hawana ajira wala hawajajiajiri😓😓😓 Inasikitisha sana hii hali ndani ya nchi yetu. Hebu tujuzane, ni mbinu gani mnaitumia kuendelea ku-survive?
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Je, Ajira ya Tsh 34m kwa mwezi ilikuwa sawa na rushwa kwa Halima Mdee? Alikuwa sahihi kuikataa?

    Wakuu nimetuliza sana akili na kufikiria kauli ya Mbowe kwamba alimwomba aachie ubunge kwa madai kwamba tayari alishamtafutia ajira ya kulipwa USD 15000 kwa mwezi. Kuna maswali kadhaa nimejiuliza nikaona nilete thread hapa huenda tukapata majibu yaliyojaa facts toka kwa wafuasi wa Chama Cha...
  20. let the caged bird sings

    JamiiForums Tanzania Harakati za Ajira

    Ni kwa muda uliwai zunguka kutafuta b Ajira bila mafanikio?. Rafiki yangu alitembelea limu zaidi ya miaka 4 hadi akachoka. Taratibu akili imemkaa kakubali yaishe na kaoa hivi juzi. Nope:, picha si ya jamaa yangu.
Back
Top Bottom