Habari wakuu,
Changamoto ninayokutana nayo kwenye ajira portal ni baadhi ya kazi zinafeli kuapply kwasababu ya kigezo cha degree ya kwanza (BSc). Nina Masters ya Environmental Science na Bachelor ya Environmental Conservation. Kwa mfano wanahitaji assistant lecturer wa Environmental science...
Nimekosa tena ajira ya ualimu kipindi ambacho naiihitaji mno, Pdf zima limejaa certificate na diploma sisi bachelor sjui tukale wapi?
Kungekuwa kuna namna ya kuibadilisha degree kuwa certificate ningefanya hivo ili mradi nizame ajirani.
Nimeamua kuachana kabisa na huu ujinga wa kuifikiria...
Ajira za walimu ndo vizo zimeshatoka tayari na tunaipongeza serikali kwa kutoa ajira hizo. Vigezo vilivyotumika NAKUBALIANA NAVYO ila kwa bahati mbaya sana HAVIFUATWI kwa ukamilifu wake na nitatoa mifano.
Vigezo hivyo ni:
1. Mwaka wa kuhitimu ni kigezo cha kwanza.
2. Waliohitimu mwaka mmoja...
Ndugu zanguni nimekosa ajira tena!
Nikiamini kwa 75% kuwa Kama tumetumia namba za NIDA basi umri na mwaka wa kumaliza chuo vitanibeba lakini wapi!
Mwaka wa kuhitimu chuo kikuu 2015, umri wangu miaka 34 lakini nimepiga gape na vitoto vya mwaka 2020 na umri wa chini ya 25!
Serikali kweli walikaa...
Duuuu ni ngumu sana kuelewa watu wa Serikali kusisitiza watu wajiajiri; lakini walau watu hawajengewi mentality ya ki business.
Kwa Tanzania yetu mandatory subjects yangekuwa:
• Book Keeping
• Commerce
• economics
• Computer Studies
Imagine wale F.4 wanaomaliza wakiwa na Div. 0 / IV na hawana...
Jamaa kamaliza chuo since 2015, matarajio yake yalikuwa this time lazima alambe ajira.
Surprisingly hajaona jina lake.
Alichofanya amenunua k-vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
Kwanza niwape pole wadogo zangu mliohitimu miaka ya 2015 na 2016. Wenyewe mmejionea walivyotoa majina
Hivi tamisemi inakueaje mtu wa mwaka Jana achukuliwe aachwe wa miaka ya nyuma?
Mmekaa miezi miwili bila kutoa majina kumbe mnaingiza ndugu zenu?
Bashungwa vijana wanakuchukia sana
Wana JamiiForums habari za leo
Nimeona nilete Uzi huu kwanii yamebaki Masaa machache waziri mwenyedhamana kutangaza majina ya waliopata kazi kulitumikia Taifa katika kada yavualimu na kada ya afya.
Hivyo basi wale mtakao fanikiwa njooni hapa tujuzane
. ili uweze kupata mwenzio,
.au wa njia...
AJIRA PORTAL NINA ACADEMIC QUALIFICATIONS ZINAZOKIZI LAKINI KILA NIKI APPLY NAAMBIWA FAILED?
Mwenye uzoefu naomba anisaidie Kama Ni professional qualifications pia naomba kujua kwa watu wa education KIPENGELE Cha professional qualifications inatakiwa kujaza vitu gani
Observation hii nimeifanya kwa muda mrefu, nimeongea na watumishi waliojiriwa na kufanya kazi private sector Kisha wakajiriwa serikalini, waliofanya kazi maisha yao yote private sector na wafanyakazi waliojiriwa serikalini kisha wakajiriwa private sector na waliojiriwa na kufanya kazi maisha yao...
Akichangia hoja ya Utoshelevu wa Watumishi wa Umma na mifumo ya ajira nchini Bungeni leo, Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ameagiza Sekretarieti ya Ajira kutangaza vijana waliofaulu usaili wa ajira za utumishi wa Umma na Julai 1, ajira zote mpya zianze...
Sekretarieti ya Ajira, hivi hamna mtu wa quality assuarance? ili akague adverts zenu kabla ya kuwekwa kwa portal na kwenye webiste? hivi hamnuoni kwamba kuna kazi nyingi zina makosa?
Unakuta kazi ipo kwenye category yako na programme yako iko listed lakini huwezi kuomba kazi unaambiwa programe...
Chuo Kikuu cha Dodoma kupitia utumishi kimetangaza nafasi 221 za ajira.
Watu mbalimbali wanatakiwa kujaza nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Tutorial Assistants, assistant lecturers, lecturers, technicians, transcribers n.k katika fani mbalimbali.
Wenye sifa nafasi hii.
Hivi lilikuwa ni...
Kwenu tamisemi
Nawaomba muongeze hii certification kwenye portal yenu na iwe muhimu/lazima mnapotaka kuajiri watu wanaoenda kusimamia miradi.
Hii certificate inatolewa na Project Management Institute (PMI) ya Marekani kama standard ya dunia nzima kwenye usimamizi wa miradi.
Itaongeza sana...
Wakuu habari,
Naomba msaada wa maelekezo ya kufika hapo Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Udom nikitokea stand ya dalala Sabasaba.
Asante sana 🙏
Hawa Tamisemi wako kimya tu kuhusu ajira za walimu. Bila shaka wamelenga ajira zianze julai mosi. Sasa ni vizuri wakatoa majina mapema ili watu wajipange, wasije wakatoa majina kisha kutoa muda mfupi wa kuripoti na vitisho kuwa mtu asiporipoti mapema nafasi yake itachukuliwa. Ninachoshangaa ni...
Kwa uelewa wangu mdogo huwa najua kwamba watu wanao takiwa kupewa vibali ya kazi na uhamiaji ni wale Expert tena na wao ni kwa muda fulani, lakini nashindwa kuelewa pale napo kutana na walinzi wa getini kwamba nao ni Expert na wametolewa Asia huko. Wafanya kazi za ndani wapo walio letwa kutoka...
Sekretarieti ya ajira tupeni ufafanuzi kwanini hizo ajira za PURA wasipewe watu waliosomea Petroleum Geology, Petroleum Engineering na Petroleum Chemistry?
Serikali ilipokua inaanzisha hizi kozi ililenga watu hawa waajiriwe kwenye taasisi zilizojikita zaidi kwenye mambo ya mafuta na gesi.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.