ajira

  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Lugha za mwili unazotakiwa kuziepuka wakati wa usaili wa kazi

    1. Epuka kuegemea ukuta au kupishanisha miguu 2. Epuka kukunja mikono yako kifuani; inaonyesha unajiamini kupita kiasi au dharau 3. Unapoulizwa maswali; daima angalia mbele, usiiname chini 4. Epuka kutafuna kitu chochote mdomoni au kung’ata kucha 5. Kama umekaa usiegemee sana kiti -...
  2. Msanumbi

    JamiiForums Tanzania UBORA wa elimu na ajira

    Tanzania hususani idara ya elimu bado tuna mapungufu kadha ambayo yakifanyiwa kazi basi soko la ajira litakua kwa Kasi na vijana kupungua kukaa vijiweni na kutumia mihadharati, Mfano mitaala elimu ya sasa ni tofauti na miaka ya 2000 kurudi nyuma, Tulikua na masomo kama sayansi kilimo, stadi za...
  3. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kama huna cheti cha CO-19 ajira sensa sahau

    Ndo ipo ivoo kwasababu 1.utakutana na watu wengi Uzi tayari
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu wa namna ya kumaliza tatizo la ajira

    Tuanze na hivi vitu viwili, kwanza:- Ajira za kudumu zifutwe, na badala yake zipewe mikataba ya miaka 10 Hii itasaidia idadi ya watu wengi kuajiriwa Wengi watakula keki ya taifa Itaongeza ubunifu na ujenzi wa viwanda Sekta binafsi zitakuwa kwa kasi Uchumi utakuwa kwa kasi n.k Watu waajiriwe...
  5. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vijana mliofanikiwa kupata ajira hasa za hivi karibuni

    Awali ya yote niwapongeze sana. Kama mjuavyo, hizo fursa kuna wengi walizitamani lakini hawakufanikiwa. Kwahiyo hongereni sana. Nimeamua kufungua uzi huu ili ku-share nanyi vitu angalau kwa uchache ambavyo vinaweza kuwasaidia. Hii ndio faida ya JF. 1) Kwanza kabisa, natambua vijana mlio wengi...
  6. MANKA MUSA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kinara wa kuzalisha ajira Tanzania

    No Joke- Rais Samia Ametengeneza ajira nyingi zaidi ndani ya kipindi cha miezi 18 kuliko Marais wa Tatu waliopita Tanzania. Amerejesha asilimia 90 ya kazi zilizopotea chini ya janga la Corona. Amepandisha madaraja na mishahara kwa Watumishi wa Sekta ya Umma kwa asilimia 23 jambo ambalo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ualbino sio ulemavu bali ni kundi la watu wenye mahitaji maalumu

    Ualbino sio ulemavu bali ni kundi lenye mahitaji maalumu. Maana ya ualbino. Ni hali ya upungufu wa chembe chembe za rangi ya ngozi, nywele, na hata macho. Upungufu huo husababisha mtu au mnyama kuwa na ngozi nyeupe au macho yasiyo kuwa na rangi. Ulemavu. Ni hali ya kuwa na hitilafu ya kudumu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuwaongezea gharama waombaji wa ajira bila sababu za msingi

    UMUOFIA KWENU WAUNGWANA! Kwanza niwapongeze waliopata ajira nasema Hongereni! Na mliokosa ajira poleni sana lakini tambueni kuwa Mungu yupo pamoja na nyinyi!! MSIKATE TAMAA. WITO WANGU KWA SERIKALI ,Nafasi nyingi zimehamishiwa Halmashauri ambapo watu wanaomba moja kwa moja. Kumejitokeza...
  9. Collins george

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira

    Habari wana member wa Jamii forum..kwa majina naitwa Collins George kutokea dar-es-salaam nimemaliza chuo mwez huu wa 7 nikisomea Bachelor in Information Technology (BIT). Sijawa muhitim complete kwa kua nasubili matokeo yangu ya mwisho ili nipokee chety...kwa kipindi ichi nnachosubil kupokea...
  10. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa kibali ajira 600 Maliasili na Utalii

    Rais Samia Suluhu ametoa kibali cha ajira ya watumishi 600 ambao wataajiriwa katika taasisi mbalimbali zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na utalii. Kuna wakati mtu akienda chuo hataki kabisa kusoma faculty za utalii kwa kuhofia kukosa ajira, lakini sasa Rais Samia Suluhu anazidi kuwapa moyo...
  11. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Je, Rais anao mpango wowote kuhusu ajira kwa vijana au anasubiri kampeni?

    Hili janga la ukosefu wa ajira naona kama linazimwa hivi. Je, kuna mpango wowote wa kutatua? Au tusubirie saundi za kwenye kampeni.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tafadhali sana NBS msishiriki dhambi inayopangwa na hawa watendaji na Halmashauri, naombeni muwe waamuzi wa mwisho kwenye ajira za sensa

    Nimejaribu kupitia maoni mbalimbali ya wadau mbalimbali kuhusu ajira za sensa na zaidi maoni yao wengi yamejikita katika hofu walinayo juu ya mwisho mbaya unakaoenda kutokea ikiwa zoezi hili litakuja kukamilishwa na usaili utakaosimamiwa na watendaji. Nausema ni mwisho mbaya kwa Sababu zoezi...
  13. Cheusi Mangala

    JamiiForums Tanzania Nimepata ajira Katavi, naomba kujua mazingira ya huko

    Jamani nimepangwa hospitali ya rufaa ya mkoa Katavi. Naomba kujua mazingira ya hii hospitali yakoje? Je ni mpya au?
  14. Amina68

    JamiiForums Tanzania Kweli kuna tatizo la ajira, nafasi 2 zagombaniwa na watu 890+, wote wameitwa Dodoma (Chakula, usafiri, kulala juu ya muombaji) F6 Leavers JIFUNZENI

    Kweli kuna tatizo la AJIRA, NAFASI 2 zagombaniwa na watu 890+ Kuna nafasi zilitangazwa kwenye magazeti ya Serikali TSN , aisee... Ktk nafasi ya accountant II ,wameomba watu 7600, interview wameitwa 900+. Nafasi zipo mbili ,wazazi tunajambo la kufanya kwa Watoto wetu.
  15. October 10

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada ajira/connection

    Wakuu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+, elimu yangu ni Diploma Naomba connection ya ajira, kibarua popote pale. Natanguliza shukrani.
  16. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Naona nikienda kuwa academician, nimechoka ajira kwenye private sector

    Kiukweli wakuu, mimi ni mmoja wa watu ambao kwa sasa nazipigania hizi ajira za u tutorial assistant kwa kiu kubwa sana. Ni kwamba nipo kwenye private sector lakini ki uhalisia kabisa baada ya kujitafakari, nimeona endapo nitabaki huku nilipo kwa sasa, sio tu kwamba uchumi wangu utadumaa ila kwa...
  17. mwanazuoniog

    JamiiForums Tanzania Ajira Mpya 44 Tanzania

    Deleted
  18. B

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Portal wapo kweli ofisini? Dawati la msaada ambalo halisaidii kitu

    Habari wana JF, kumekuwa na malalamiko ya watu wengi sana kuhusu system ya ajira portal na hata pale unapokuwa na changamoto fulani na kuhitaji msaada kutoka kwao kupitia "help desk" numbers imekuwa changamoto kuwapata. Utapiga simu muda wote zinatumika, labda wanakuwa very busy kuwahudumia...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya mkurugenzi TIC na Maliasili kuondolewa kwenye Ajira Portal

    Kufuatia maelekezo wa Waziri wa Fedha, nafasi za wakurugenzi wakuu wa taasisi hizo mbili zilitangazwa kwenye Ajira Portal ya Utumishi. Ghafla nafasi hizo ziliondolewa na hata leo hii ukizitafuta kupata rejea zake hazipo. Kama kuna anaejua kwanini zimeondolewa atufahamishe
  20. Abdul Ghafur

    JamiiForums Tanzania Furssa ya ajira fundi pikipiki

    Abraar Education Centre tunahitaji fundi pikipiki mzoefu ambae ana uwezo wa kutatua matatizo yote ya kiufundi kwa pikipiki zilizozoeleka Tanzania. Tunaanzisha kituo kipya cha mafunzo ya ufundi pikipiki kwa vitendo. Fundi awe na uzoefu wa kutosha kufanya kazi zake bila kusimamiwa. Kutatolewa...
Back
Top Bottom